Kitu ambacho hawajui Samia hakutaka hata kuendelea baada ya ile term ya Magufuli
Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake. Napata mashaka sana hata saula la October 29 yeye anaweza kua sio muhusika mkuu Ila kwasababu yuko front page basi lawama zote zimemwagukia yeye lakini inawezekana kuna mengi sana tulitakiwa kuyajua kabla ya kutoeka kwa Polepole ndo maana alitoeka ghafla. Sidhani kama mama anafurahia mateso anayopitia Tundu Lissu kwa kweli ni vile Polepole alituonyesha adui yetu tukashidwa kumtambua
Ile ni namna yake ya kuzima ile hoja.Baada ya kumchomesha wakamuandikia na script aseme "kifo ni kifo" tu kuhusu kifo cha Mzee Kibao?
Halafu akipewa taarifa naye anazipokea tu kama zilivyo bila angalau kufuatilia matokeo ya hizo missions kitaifa na kimataifa?Mauaji ya Mo29 hayakuwa na 100% baraka za Raisi.
Yale IGP ndio anahusika. Yeye ndio alitoa order ya shoot to Kill.
Polisi wako trained. Wangeweza kupiga raia Risas za miguuni. Ila kuna orders wakipokea zinawapa mamlaka ya nini wafanye kukabiliaa na tukio fulan.
aliyetoa order ni Mkuu wa Polisi.
Kuhusu utekaji, upotezwaji na mauaji.
Ni vyema ukajua kuwa kuna kitengo maalumu na moja ya kazi zake/matakwa ndio hiyo.
Haya mambo yanafanyika na Rais anapewa tu taarifa. Kuwa kuna tukio la hatar kwa usalama wa nchi na tumelizuia. Namna gan wamelizuia pia wanasema na kwanini wameamua kulizuia kwa namna hiyo.
Kuhusu Kesi za uhaini na ugaidi.
Rais pia anapewa taarifa na ndio baadae ataamua kama ni kusamehe au aache sheria ifuate mkondo wake.
Nini kinamfanya asikatae kutumika vibaya?Ile ni namna yake ya kuzima ile hoja.
Ukitaka kujua pia kuna watu wako nyuma na wanafanya haya maamuzi.
Fikiria tume ngap zimeundwa kuchunguza haya mauaji, alaf zimeishia wap?.Majibu yake yako wap?.
nani ameshtakiwa? Au kuhusishwa?.
Halafu akipewa taarifa naye anazipokea tu kama zilivyo bila angalau kufuatilia matokeo ya hizo missions kitaifa na kimataifa?
Si aamuru wampe evidence?Kuna taarifa anapewa na anazisema hadharan had WaTZ tunashangaa.😊😊😊
Ile Mo29 si alisema kuna watu wenye Silaha nzito, wana mafunzo maalumu, wako uraiani?. Na wamefadhiliwa na watu kutoka nje.
Kumbuka huyu ni Raisi, na anapewa intelejensia ya hali ya juu.
Sasa hawa wanaompa intelejensia wakisema wamepewa taarifa na wana ushahidi kuwa StudentTeacher ana mpango wa kuua viongozi wa serikali. Na wamekuterminate. 😎😎😎 Rais atasemaje hapa zaid ya kupokea tu taarifa.
Rubbishwhat I know,
1. Samia S.H anabahati saana, si rahisi kuwa waziri, makamo wa raisi, mpaka raisi kama huna bahati saana.
2. SSH anakubalika saana, angeshaangushwa na watendaji wake au na system kabla hajafika alipo leo
3. SSHni mtu sahihi kwa wakati sahihi kuwa rais, imagine tungeendelea na magufuli, au tungempaka majaliwa sijui ingekuwje mpaka sasa
4. kwa kifupi aliiandikiwa alitawale hili taifa, atatawala kwa shida saana ila atafanikisha mambo yake aliyoyapanga kwa nchi,
5. Lastly tutammis saana akimaliza muda wake, imagine tunammis Magufuli, sembuse SSH
Aliunda tume na tume imeleta majibu na ameunda tume nyingne ili kujua nan Ni muhusika Mkuu vurugu za Mo29.Si aamuru wampe evidence?
Halafu ataunda tena tume nyingine izichunguze hizo tume mbili au sio?.Aliunda tume na tume imeleta majibu na ameunda tume nyingne ili kujua nan Ni muhusika Mkuu vurugu za Mo29.
Umeshaisikia tena hiyo tume?.😊😊😊😊 unahisi italeta majibu? Na majibu yatakuwaje kama ikileta?.
Kama wapo naye anakubaliana nao otherwise angestep down.Ni vigumu sana ila najua nyuma yake kuna watu walimchomesha
Ndio Siasa sasa zilivyo.Halafu ataunda tena tume nyingine izichunguze hizo tume mbili au sio?.
Ni mwendo wa tume za kuchunguzana!😀
Hizo sio siasa sema utapeliNdio Siasa sasa zilivyo.
😊😊😊😊.
Anafanya jitihada zakuficha.Aliunda tume na tume imeleta majibu na ameunda tume nyingne ili kujua nan Ni muhusika Mkuu vurugu za Mo29.
Umeshaisikia tena hiyo tume?.😊😊😊😊 unahisi italeta majibu? Na majibu yatakuwaje kama ikileta?.
Tutaondoka wote ondoa shakaYamekua ayo tena utafanya niondoke JF
Obvious anakubaliana nao.Kama wapo naye anakubaliana nao otherwise angestep down.