CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Hujanunuliwa ila umelogwaMnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake. Napata mashaka sana hata saula la October 29 yeye anaweza kua sio muhusika mkuu Ila kwasababu yuko front page basi lawama zote zimemwagukia yeye lakini inawezekana kuna mengi sana tulitakiwa kuyajua kabla ya kutoeka kwa Polepole ndo maana alitoeka ghafla. Sidhani kama mama anafurahia mateso anayopitia Tundu Lissu kwa kweli ni vile Polepole alituonyesha adui yetu tukashidwa kumtambua
Unaandka "Ukweli lazima usemwe..." halafu unabaki kubabaika tu na mada inayokuzidi kimo.Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake. Napata mashaka sana hata saula la October 29 yeye anaweza kua sio muhusika mkuu Ila kwasababu yuko front page basi lawama zote zimemwagukia yeye lakini inawezekana kuna mengi sana tulitakiwa kuyajua kabla ya kutoeka kwa Polepole ndo maana alitoeka ghafla. Sidhani kama mama anafurahia mateso anayopitia Tundu Lissu kwa kweli ni vile Polepole alituonyesha adui yetu tukashidwa kumtambua
Mleta uzi apewe blue tiki haraka sana kwa kufikia daraja ya juu kabisa ya upumbavuMnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake. Napata mashaka sana hata saula la October 29 yeye anaweza kua sio muhusika mkuu Ila kwasababu yuko front page basi lawama zote zimemwagukia yeye lakini inawezekana kuna mengi sana tulitakiwa kuyajua kabla ya kutoeka kwa Polepole ndo maana alitoeka ghafla. Sidhani kama mama anafurahia mateso anayopitia Tundu Lissu kwa kweli ni vile Polepole alituonyesha adui yetu tukashidwa kumtambua
Hili naungana na wewe kabsaaa...yeye ni samaki kwenye maji hakuna atakaeona machozi yake ..Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake. Napata mashaka sana hata saula la October 29 yeye anaweza kua sio muhusika mkuu Ila kwasababu yuko front page basi lawama zote zimemwagukia yeye lakini inawezekana kuna mengi sana tulitakiwa kuyajua kabla ya kutoeka kwa Polepole ndo maana alitoeka ghafla. Sidhani kama mama anafurahia mateso anayopitia Tundu Lissu kwa kweli ni vile Polepole alituonyesha adui yetu tukashidwa kumtambua
Binafsi nakataa ujanunuliwa ila wasiwasi wangu mkubwa sana ila InshaAllah utakaa sawa tuMnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake. Napata mashaka sana hata saula la October 29 yeye anaweza kua sio muhusika mkuu Ila kwasababu yuko front page basi lawama zote zimemwagukia yeye lakini inawezekana kuna mengi sana tulitakiwa kuyajua kabla ya kutoeka kwa Polepole ndo maana alitoeka ghafla. Sidhani kama mama anafurahia mateso anayopitia Tundu Lissu kwa kweli ni vile Polepole alituonyesha adui yetu tukashidwa kumtambua
Hahaa JF imekuwaje sikuhizi ?Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake. Napata mashaka sana hata saula la October 29 yeye anaweza kua sio muhusika mkuu Ila kwasababu yuko front page basi lawama zote zimemwagukia yeye lakini inawezekana kuna mengi sana tulitakiwa kuyajua kabla ya kutoeka kwa Polepole ndo maana alitoeka ghafla. Sidhani kama mama anafurahia mateso anayopitia Tundu Lissu kwa kweli ni vile Polepole alituonyesha adui yetu tukashidwa kumtambua