Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Unafikiri yale ya Captain Tesha ni bahat mbaya?.HUJUI KITU UNAONGEA KAMA MTU WA MTAANI
Tatizo ni kupenda kuskia Yale wanayo yapenda tuNina uhakika 100% ninajua zaid yako.
Nakaaga na Kardinal wa jeshi meza moja wakat tunakunywa vimea.
Na wao ndio wanajua Intelejensia ya nchi hii kuliko hata jeshi la polisi.
Mm sipend siasa. Ila nikikaa nae anaongelea sana Siasa .
Hawa vijana wanapenda kuskia Yale wanayopenda tuUnafikiri yale ya Captain Tesha ni bahat mbaya?.
Unajua Tesha yuko wapi?.
Unajua kuwa kuna Vijana wa Idara walipigana Risasi na mmoja kafariki pale Ikulu? Unajua chanzo kilikuwa ni nini?.
Siwezi kukupinga mkuuSamia ni mwovu kuliko hata mtangulizi wake,angetaka angeweza kukomesha kabisa utejaji na mauaji kwa wakosoaji na wapinzani hasa Chadema lakini tangu ameingia yeye madarakani vitendo vya utekaji, upotezaji na mauaji kwa wakosoaji ndiyo vimeongezeka sana, watu kubambikiwa kesi za uhaini na ugaini ndiyo usiseme. Mauaji ya maelfu ya Watanganyika yalikuwa na baraka zake 100^ kwani hajawahi kuyajutia sana sana amekuwa akitoa kauli za kuhalalisha mauaji yale. Huyu ni mwovu hata shetani anasubiri.
Kitu ambacho hawajui Samia hakutaka hata kuendelea baada ya ile term ya MagufuliUnafikiri yale ya Captain Tesha ni bahat mbaya?.
Unajua Tesha yuko wapi?.
Unajua kuwa kuna Vijana wa Idara walipigana Risasi na mmoja kafariki pale Ikulu? Unajua chanzo kilikuwa ni nini?.
Shida yenu mnafanya mambo kwa mazoea!. Hamjui kumsoma mtu wala alama za nyakati au la kwa sababu mnazozijua ninyi mnaamua kujizima data. Hivi ukiisoma haiba ya Lissu unaona ni mtu wa kujazwa ulaghai halafu akakubali?.Kumbuka Kuwa Mama ndio aliruhusu vyama vya siasa vifanye mikutano yao ambayo Magufuli alikataza.
Kumbuka Mama ndio alimhakikishia usalama Tundu Lissu , alikutana nae Ubelgiji akiwa tayar Raisi na kumwambia rudi nyumban hakuna mtu atakugusa.
Pamoja na wana siasa wengne wakina Lema na etal.
Sasa utajiuliza kwanini sasahivi wanamshikilia Lissu?.
Falsafa za 4R za Mama . Zinafanya kaz kwa kushirikiana na wanasiasa wa kipinzani, ila kwa maridhiano.
kumbuka Mbowe aliachiwa na siku hiyo hiyo alienda ikulu kushikana mikono na Samia.
Ile ni kwa sababu kuna maridhiano walifikiana .
Sasa Lissu alishafuatwa na kuambiwa aridhiane kwenye ABC ila akagoma na akaropoka. Kwahiyo wanampa mateso ili arudi mezani wafanye maridhiano namna gan wanafanya siasa zao kama vyama vya Siasa.
Ni hili tu ndio linamuwekw Lissu ndan hadi leo.
Lissu anaweza kuja kua Rais wa nchi hii kilaShida yenu mnafanya mambo kwa mazoea!. Hamjui kumsoma mtu wala alama za nyakati au la kwa sababu mnazozijua ninyi mnaamua kujizima data. Hivi ukiisoma haiba ya Lissu unaona ni mtu wa kujazwa ulaghai halafu akakubali?.
Anyways,endeleeni kumuhifadhi huko korokoroni lakini wakati huo huo msisahau kwamba aliyegoma asife kwa risasi ndiye huyo huyo atampigania na kumtukuza!
Kusimamia HAKI bila kuyumba hakujawahi kumtupa mtu. Mungu mwenye HAKI atawashangaza!
NiacheeeMimi na wewe tena shoga angu 😂😂😋😋
Nitakufatilia kwa ukaribu sanaSawa
Baada ya kumchomesha wakamuandikia na script aseme "kifo ni kifo" tu kuhusu kifo cha Mzee Kibao?Ni vigumu sana ila najua nyuma yake kuna watu walimchomesha
Baada ya kumchomesha wakamuandikia na script aseme "kifo ni kifo" tu kuhusu kifo cha Mzee Kibao?Ni vigumu sana ila najua nyuma yake kuna watu walimchomesha
Samia ni mwovu kuliko hata mtangulizi wake,angetaka angeweza kukomesha kabisa utejaji na mauaji kwa wakosoaji na wapinzani hasa Chadema lakini tangu ameingia yeye madarakani vitendo vya utekaji, upotezaji na mauaji kwa wakosoaji ndiyo vimeongezeka sana, watu kubambikiwa kesi za uhaini na ugaini ndiyo usiseme. Mauaji ya maelfu ya Watanganyika yalikuwa na baraka zake 100^ kwani hajawahi kuyajutia sana sana amekuwa akitoa kauli za kuhalalisha mauaji yale. Huyu ni mwovu hata shetani anasubiri.
Kwa nini nchi masikini zaidi duniani zipo kusini mwa jangwa ala sahala na 80% ya population yake ni wakristo?Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake. Napata mashaka sana hata saula la October 29 yeye anaweza kua sio muhusika mkuu Ila kwasababu yuko front page basi lawama zote zimemwagukia yeye lakini inawezekana kuna mengi sana tulitakiwa kuyajua kabla ya kutoeka kwa Polepole ndo maana alitoeka ghafla. Sidhani kama mama anafurahia mateso anayopitia Tundu Lissu kwa kweli ni vile Polepole alituonyesha adui yetu tukashidwa kumtambua
pengne haujanielewa.Shida yenu mnafanya mambo kwa mazoea!. Hamjui kumsoma mtu wala alama za nyakati au la kwa sababu mnazozijua ninyi mnaamua kujizima data. Hivi ukiisoma haiba ya Lissu unaona ni mtu wa kujazwa ulaghai halafu akakubali?.
Anyways,endeleeni kumuhifadhi huko korokoroni lakini wakati huo huo msisahau kwamba aliyegoma asife kwa risasi ndiye huyo huyo atampigania na kumtukuza!
Kusimamia HAKI bila kuyumba hakujawahi kumtupa mtu. Mungu mwenye HAKI atawashangaza!