Ukweli lazima usemwe Samia sio mbaya kiivyo na inawezekana hata October 29 yeye sio muhusika mkuu kwasababu yuko front page

Kitu ambacho hawajui Samia hakutaka hata kuendelea baada ya ile term ya Magufuli

Wataelewa mdogo mdogo.
wakumbuke pia ule mkutano wa Jan,2025 wa kumpitisha Samia haukuwa na lengo lile.

Ila kuna Wenye Maamuzi waliamua iwe vile. Na wakafanikiwa.

nadhan sasa watakuwa wanajua nani ana remote.
 

Inawezekana. Ila sasa nyoka anauma kichwaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

Damn!
 
Baada ya kumchomesha wakamuandikia na script aseme "kifo ni kifo" tu kuhusu kifo cha Mzee Kibao?
Ile ni namna yake ya kuzima ile hoja.

Ukitaka kujua pia kuna watu wako nyuma na wanafanya haya maamuzi.
Fikiria tume ngap zimeundwa kuchunguza haya mauaji, alaf zimeishia wap?.Majibu yake yako wap?.

nani ameshtakiwa? Au kuhusishwa?.
 
Halafu akipewa taarifa naye anazipokea tu kama zilivyo bila angalau kufuatilia matokeo ya hizo missions kitaifa na kimataifa?
 
Halafu akipewa taarifa naye anazipokea tu kama zilivyo bila angalau kufuatilia matokeo ya hizo missions kitaifa na kimataifa?

Kuna taarifa anapewa na anazisema hadharan had WaTZ tunashangaa.😊😊😊

Ile Mo29 si alisema kuna watu wenye Silaha nzito, wana mafunzo maalumu, wako uraiani?. Na wamefadhiliwa na watu kutoka nje.

Kumbuka huyu ni Raisi, na anapewa intelejensia ya hali ya juu.

Sasa hawa wanaompa intelejensia wakisema wamepewa taarifa na wana ushahidi kuwa StudentTeacher ana mpango wa kuua viongozi wa serikali. Na wamekuterminate. 😎😎😎 Rais atasemaje hapa zaid ya kupokea tu taarifa.

Sasa alipokea taarifa za namna hiyo ile Mo29. Na akaambiwa polisi wametumia risas za moto kudeal na hao watu.

Aliunda tume na tume imeleta majibu na ameunda tume nyingne ili kujua nan Ni muhusika Mkuu. Si ndio 😊😊😊😊

Sasa hiyo tume ya nani ni muhusika mkuu haitakuja na majibu. Kama kawaida yao.
 
Si aamuru wampe evidence?
 
Rubbish
 
Si aamuru wampe evidence?
Aliunda tume na tume imeleta majibu na ameunda tume nyingne ili kujua nan Ni muhusika Mkuu vurugu za Mo29.

Umeshaisikia tena hiyo tume?.😊😊😊😊 unahisi italeta majibu? Na majibu yatakuwaje kama ikileta?.
 
Aliunda tume na tume imeleta majibu na ameunda tume nyingne ili kujua nan Ni muhusika Mkuu vurugu za Mo29.

Umeshaisikia tena hiyo tume?.😊😊😊😊 unahisi italeta majibu? Na majibu yatakuwaje kama ikileta?.
Halafu ataunda tena tume nyingine izichunguze hizo tume mbili au sio?.
Ni mwendo wa tume za kuchunguzana!πŸ˜€
 
Aliunda tume na tume imeleta majibu na ameunda tume nyingne ili kujua nan Ni muhusika Mkuu vurugu za Mo29.

Umeshaisikia tena hiyo tume?.😊😊😊😊 unahisi italeta majibu? Na majibu yatakuwaje kama ikileta?.
Anafanya jitihada zakuficha.
 
Kama wapo naye anakubaliana nao otherwise angestep down.
Obvious anakubaliana nao.
Wana muunga mkono na wanampa uhakika kuwa mambo yatakuwa sawa.

Raisi wa Cameroon, Paul Biya, 93 yrs, yuko Madarakani had sasa (toka 1982), na robo tatu ya siku za mwaka anamalizia nje ya nchi yake kwa ajili ya matibabu.

Unahisi ni wakina nan wanafaidi zaidi had kumwambia asitoke madarakani?.

Hao hao ndio Wako hadi TZ😊😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…