Ukweli lazima usemwe Samia sio mbaya kiivyo na inawezekana hata October 29 yeye sio muhusika mkuu kwasababu yuko front page

Watoto wa Magomeni Kag_Usa wanakuzoom tu ukiwa unaosha damu kama wafuga ng'ombe wanavyoosha Maziwa wapate faida nyingi.
 
Hujanunuliwa ila umelogwa
 
Hiki ndo nilimaanisha kwenye Uzi wangu kama hajakuelewa hapa basi
 
Unaandka "Ukweli lazima usemwe..." halafu unabaki kubabaika tu na mada inayokuzidi kimo.

Nenda kanywe chai naye, mambo yenu yaishie huko huko.

Hopeless Kabisa.
 
Mleta uzi apewe blue tiki haraka sana kwa kufikia daraja ya juu kabisa ya upumbavu
 
Hili naungana na wewe kabsaaa...yeye ni samaki kwenye maji hakuna atakaeona machozi yake ..
Ila nakuhakikishia kuanzia 2031 ipo siku wa Tanzania watajua kilichokuwa kinaendelea nyuma ya pazia
 
Ukweli haujawahi kushindwa kufika mwisho wa safari mda utazungumza
 
Ukweli haujawahi kushindwa kufika mwisho wa safari mda utazungumza
 
Binafsi nakataa ujanunuliwa ila wasiwasi wangu mkubwa sana ila InshaAllah utakaa sawa tu
 
Ukweli haujawahi kushindwa kufika mwisho wa safari mda utazungumza
Binafsi nakataa ujanunuliwa ila wasiwasi wangu mkubwa sana ila InshaAllah utakaa sawa tu
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hahaa JF imekuwaje sikuhizi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ