Kwa sehemu uko sahihi, kwa sehemu umekosea. Mungu anajali hata sura au uso wa mtu. SomaMungu anangalia dhamira ya mtu.Kujionyesha au kujificha hakuna maana yoyote kwa Mungu.Kama kusudi la ombi lako ni baya ata ungeomba wazi au kujificha hakuna maana.Ndio maana wanasema bwana utazama moyo(unaweza ficha kila mtu lakini huwezi kumficha Mungu)
Kama haufanyi makusudi kutokana na malengo yako binafsi Kwa mtazamo huu! Shida yako ni kubwa sana, uvumiliwe tu .Pole sana. Kumbe hujajua hadhi yangu? Mimi ni mwana wa Mungu.
‘Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika wana wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake’ (Yohana 1:12). Kwakuwa mimi ni mwana wa Mungu, siwezi kukaa kimya. Nina wajibu wa kusema ukweli wa Baba yangu.
Sema dawa imekuingia tu. Mbona muda unakairbia kuisha? Jitahidi kumaliza tu dozi kesho asubuhi.Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.
Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”
Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Mfa maji hakosi kutapatapa, kama unavyofanya.Umeelewa? Maombi ya kujionesha, yenye majivuno na kujitangaza hata kama ni ya muda mrefu, Mungu hayasikii
Maombi anayoyasikia Mungu ni maombi ya faragha, sala inayotoka katika moyo safi na mnyenyekevu, na machozi ya ndani yasiyo na matangazo.
"Lakini wewe unaposali, ingia chumbani mwako[sio mtandaoni], funga mlango [hata members wa JF wasijue] na umwombe Baba yako aliye sirini. Naye Baba yako aonaye sirini atakupa thawabu yako." (Mt 6:6)
Ni ndugu au kabila lako?Mimi nafanya kazi pamoja na Mungu
1 Kor 3:9
Maana sisi tu wafanya kazi pamoja na Mungu...
Sina malengo mengine zaidi ya kuwafudisha watu kuyashika yote aliyoyaagiza Yesu(Mt 28:19-20). Agizo mojawapo la Yesu ni hilo: Usalipo, usijionesheKama haufanyi makusudi kutokana na malengo yako binafsi Kwa mtazamo huu! Shida yako ni kubwa sana, uvumiliwe tu .
Sawa angalia hapa kipindi Yesu anamfufua Lazaro(the book of John 11:41-42).Kwa sehemu uko sahihi, kwa sehemu umekosea. Mungu anajali hata sura au uso wa mtu. Soma
Mt 6:17-18
Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso; ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
Basi Kwa hiyo shida yako Tunakuvumilia tu!Sina malengo mengine zaidi ya kuwafudisha watu kuyashika yote aliyoyaagiza Yesu(Mt 28:19-20). Agizo mojawapo la Yesu ni hilo: Usalipo, usijioneshe
Asante sana .Ubarikiwe kwa kumfungua ufahamu huyu mtoa mada mkurupukaji.Kanisa Katoliki haliwezi kukutupuka.Nje na ulokole ulio nao ulipaswa uwe mchawi wewe bibi yaani wewe na Bi faiza foxy mnakula kichwa.
Toka enzi na enzi maombi ya namna hiyo(kitaifa/kanisa) yalikuwepo
Na hapa naweka mifano michache tu ....na kulingana na utandawazi wa sasa lazima vyombo vya habari kwa Aina zake vitumike.
1.Kutoka 14 na 15 – Waisraeli walipovushwa bahari ya Shamu, taifa zima lilimwomba na kumsifu Mungu kwa wimbo wa Musa na Miriamu (Kutoka 15:1–21).
2. 2 Mambo ya Nyakati 6–7 – Wakati Sulemani alipozindua hekalu, alisali sala ndefu ya kitaifa kwa niaba ya Israeli lote. Taifa lote lilishiriki ibada hiyo, na Mungu akajibu kwa kuteremsha moto na utukufu wake (7:1–3).
3. Ezra 9 na Nehemia 9 – Baada ya kurejea kutoka utumwani Babeli, watu wote walikusanyika, wakaungama dhambi zao kama taifa na kumwomba Mungu warekebishwe. Hii ilikuwa toba ya pamoja.
4. Yona 3 – Ingawa si taifa la Israeli, tunaona mfano wa taifa lote la Niniwe kufunga na kumwomba Mungu baada ya onyo la Yona, na Mungu akawasamehe.
5. Yoeli 2:15–17 – Nabii Yoeli aliagiza tarumbeta ipigwe ili taifa lote liitwe kwa kufunga na kuomba rehema za Mungu.
Kwa hiyo, maombi ya taifa zima yalikuwa jambo la kawaida hasa wakati wa hatari, dhambi ya kitaifa, au ibada maalum ya agano.
Ulimi huo huo unalaani na huohuo unaomba baraka za Mungu? Ni vigumu sana kupata majibu hata ukiomba NovenaMfa maji hakosi kutapatapa, kama unavyofanya.
Nani? Mr njaa?Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.
Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”
Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Leta vifunguMtoa mada yuko sahihi asilimia zote, maombi yakujitangaza Kwa Mungu hayajibiwi kwa mujibu wa biblia
Kujitangaza ni nini??? Tuanzie hapoMtoa mada yuko sahihi asilimia zote, maombi yakujitangaza Kwa Mungu hayajibiwi kwa mujibu wa biblia