Ukweli na Hoja isiyojadiliwa:- Financially, Ndoa zinaumiza sanaa wanaume

Hatujachelewa mdogo mdogo tutawaelemisha.
Kulelewa na single mother si dhambi na ni uongo kwamba watoto wa single mama wanakosa heshima ya ndoa.
Tabia ya mtoto haitokani na mzazi Bali misingi ya malezi toka utotoni.
Kuanzia utotoni mtoto anatakuwe katika malezi zaidi ya aina mbili kwa ajiri ya badae yake 1. Maisha ya kiroho pamoja na nidhamu - hutengeneza good character ( hofu mbele za Mungu, na upendo Kwa watu wote ). 2. Uhusiano mwema, nidhamu na adabu katika jamii nzima ( Kwa wakubwa, watoto na rika lake ) 3. Nidhamu ya maisha Kwa Kila hatua Kwa Kadri anavyo kuwa ukijumuisha namba moja na mbili. Haya yote yanategemea jamii anayokulia iwe ndoa, single parent na hata kama anajilea. Ila ukiona leo namba moja na mbili jamii nyingi imevipiga chini, na Hilo ni tatizo la jamii nzima na sio single parent au walio ndoani
 
Kataa ndoa, okoa maisha walishaingia humu?
 
Kataa ndoa, okoa maisha walishaingi
Kuna mshikaj flani ni mwanajesh, wamebwagana na mke wake, Sasa hivi jamaa amemuachia mke wake gari, na asset nyingine Ila nyumba ndo wanaipiga mnada.
 
Na wao huona kawaida
Mwenzao asipozaaa humuona falaaa..!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Usi lazimishe mi tazamo wako kukubalika kwa wote, kama wewe ume amua kukataa ndoa n juu Yako sisi wengine tuache tuendelee
Wengine ndoa ndio zime tupa barkaa maisha yamekua mswano na sio msoto hivo jitafakari usiingie uku una one kana una gundu mzee
 
Usi lazimishe mitazamo wako kukubalika kwa wote, kama wewe ume amua kukataa ndoa n juu Yako sisi wengine tuache tuendelee
Wengine ndoa ndio zime tupa barkaa maisha yamekua mswano na sio msoto hivo jitafakari usiingie uku una one kana una gundu mzee
Changamoto watanzania wengi hamjibu hoja zaidi ya kum-attack mtoa hoja tena "Personally"

Bro, hoja hujibiwa na hoja na wala sio kum-attack mtoa hoja.

JIBU HOJAAAA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mungu angetuumba tofauti na hivi tulivyo mnafikiri ndoa zingehutajika???Shida ni asili ndo inalazimisha watu waingie kwenye ndoa.Kuna ukamilifu wa asili ambao hata binadamu hatuhujui unatoka wapi, unaohitaji Ke/Me waishi pamoja. Hii sio kwa binadamu tu, ni kwa viumbe wote..tofauti wao wako progrmmed, sisi tuko na utashi..ndo maana hali inakua ngumu.Hakuna mtu anatamani kuishi peke yake, au kwenda kukutana na wanawake au wanaume hovyo hovyo nje huko kama mbwa wanavyofanya, hatukuumbwa hivyo.Na hakuna mtu anatamani kuishi peke yake, ni shida tu na ugumu wa mioyo na ukaidi wa wanadamu...but Mwanaume hakamili vizuri katika maisha ya hapa duniani bila mwanamke na vise versa is true.
THUS NDOA NI MUHIMU KWA AFYA YA AKILI, KIROHO KIMWILI NA UKAMILIFU WA MAISHA YA MWANADAMU.Mwanadamu ni social creature, hiyo sociality inaanzia kwenye familia..sisi hatukuumbwa kama chui kwamba wao wanakaa mmoja mmoja wanakutana kupandana tu, nop.

Labda kwa watu wanaokataa ndoa kwa sababu binafsi au imani, wanatoa sadaka, wengine ndoa lazima HATA KAMA ZINAUPUMBAVU NA UJINGA MWINGI.....It is better kuliko kuishi kama chui.
 
Unajua wewe jau sana 😹😹
Binti yako kavunja ungo lini mpaka mkakaa mkadiscuss kuhusu mimba?

JF haiishiwi vituko alooh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…