Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

Polisi hawana intelligentsia kabisa.. Wamezingira nyumba akitoka tu wamkamate mwenyekiti.

Baadae intelijensia ikawaambia amesafiri jana kwenda Arusha. Wakawa na uhakika 100% tayari amewasili Arusha. Wakapata na ujasiri wa kutangaza kwamba amejifungia kwenye ofisi ya chama Arusha.

Wanakuja kushangaa mwamba kaibuka Magomeni 😅😅

Poor intelligence.
Aisee 😯 😯 😯
 
Pamoja na nyumba yangu Tandika Mwembeyanga kuzingirwa tangu saa 4 usiku, Lakini muda huu niko mnazi mmoja, sasa kama hapa kuna uvungu basi sawa
Sasa kama walikuzingira na hapo umefika mnazi mmoja, sasa lengo lao lilikuwa ni lipi, au n ww mwnyw umejishtukia kuwa labla walikuwa wakuzingira nyumba yako?
 
Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho kwamba Wauaji ni Watu wa serikali na Wanalindwa kwa Udi na Uvumba.

Kujitokeza hadharani kwa Freeman Mbowe huko Magomeni, Huku akijua kwamba atapigwa risasi ili afe au atakamatwa, Kumekata Ngebe na kuwafunga mdomo waliodhani hili jambo ni Utani, Huu ni Ushindi Mkubwa sana.

Hata ukimuuliza leo IGP au hata RPC Murilo kwanini wanazuia Maandamano ya Chadema, hawatokuwa na Majibu yoyote zaidi watasema ni Amri kutoka Juu.

Bali Swali ni hili, Unateka mtoto kama Soka na kumuua ili upate nini, uokoe nini au ushinde kitu gani ambacho kijana huyo alikuzuia kukishinda? Kama mnataka kuimaliza Chadema kwanini msimuue Mbowe au Lissu ili mkate kabisa mzizi wa Fitna?

Bali ifahamike kwamba Mungu siyo fala, Na Kila Ubaya Utalipwa.
 
Wewe umo katika waliokamatwa?au ndo unatuhubiria usichoweza kukitenda?
 
Well Said
 
Wale waandamanaji kutoka "mikoani" waliowakwepa Polisi hadi jana usiku waliposakwa hadi kwenye Magesti wameenda wapi? Ahahahahaha! Ukiwa Chadema kweli wewe ni nyumbu! Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom