Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

Polisi hawana intelligentsia kabisa.. Wamezingira nyumba akitoka tu wamkamate mwenyekiti.

Baadae intelijensia ikawaambia amesafiri jana kwenda Arusha. Wakawa na uhakika 100% tayari amewasili Arusha. Wakapata na ujasiri wa kutangaza kwamba amejifungia kwenye ofisi ya chama Arusha.

Wanakuja kushangaa mwamba kaibuka Magomeni 😅😅

Poor intelligence.
Shame 😅😅😅😉
 
Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho kwamba Wauaji ni Watu wa serikali na Wanalindwa kwa Udi na Uvumba.

Kujitokeza hadharani kwa Freeman Mbowe huko Magomeni, Huku akijua kwamba atapigwa risasi ili afe au atakamatwa, Kumekata Ngebe na kuwafunga mdomo waliodhani hili jambo ni Utani, Huu ni Ushindi Mkubwa sana.

Hata ukimuuliza leo IGP au hata RPC Murilo kwanini wanazuia Maandamano ya Chadema, hawatokuwa na Majibu yoyote zaidi watasema ni Amri kutoka Juu.

Bali Swali ni hili, Unateka mtoto kama Soka na kumuua ili upate nini, uokoe nini au ushinde kitu gani ambacho kijana huyo alikuzuia kukishinda? Kama mnataka kuimaliza CHADEMA kwanini msimuue Mbowe au Lissu ili mkate kabisa mzizi wa Fitna?

Bali ifahamike kwamba Mungu siyo fala, Na Kila Ubaya Utalipwa.
Nyumbu buanna!! Mnachekesha sana, kwani we umetekwa?
 
Bilionea wa kyela kawa kawaida yako hujawahi kutiwa kwenye kashkash yoyote ya CHADEMA itabidi wakuangalie kwa jicho la pekee huenda huwa unawachomesha wenzako
 
Bali Swali ni hili, Unateka mtoto kama Soka na kumuua ili upate nini, uokoe nini au ushinde kitu gani ambacho kijana huyo alikuzuia kukishinda? Kama mnataka kuimaliza CHADEMA kwanini msimuue Mbowe au Lissu ili mkate kabisa mzizi wa Fitna?
Pointi kubwa sana hii unamuua mtoto Soka ili upate nini ulinde kiti cha Samia?
 
Kujitokeza hadharani kwa Freeman Mbowe huko Magomeni, Huku akijua kwamba atapigwa risasi ili afe au atakamatwa, Kumekata Ngebe na kuwafunga mdomo waliodhani hili jambo ni Utani, Huu ni Ushindi Mkubwa sana.
Mkuu kwenye hili ni ushahidi tosha kwamba Wadanganyika hawawezi kudai haki zao. Pale Magomeni, kwa mujibu wa JF, Mbowe alikuwa anazungumza na waandishi wa habari, au mwandishi wa JF kasema uongo. Ikitokea kasema uongo amekiuka miiko ya uandishi wa habari.
Hata ukimuuliza leo IGP au hata RPC Murilo kwanini wanazuia Maandamano ya Chadema, hawatokuwa na Majibu yoyote zaidi watasema ni Amri kutoka Juu.
Huenda hili la kwanini, Muliro alishasema. Kwangu nawaona Wadanganyika waoga na kulialia. Nilishauri humu kwamba wanaotaka ushauri wa hili waende ng'ambo ya pili. Wale tunaodhani haki italetwa kisahanini wacha tusubiri na tulalamike. Umeona wapi mtu kuchukua kisu akajichinja mwenyewe?

Ukishasema President must go ni lazima ufanye kweli. Usitarajie huruma.
 
Msaliti mkubwa wewe.huna lolote lile zaidi ya unafiki.ungetoa pua yako barabarani ili ukione cha mtema kuni kutoka kwa askari wetu shupavu.

Sasa kama walikuzingira na hapo umefika mnazi mmoja, sasa lengo lao lilikuwa ni lipi, au n ww mwnyw umejishtukia kuwa labla walikuwa wakuzingira nyumba yako?
chadema.png
 
Kwa kujitetea hamjambo, 😄😄 hata jambo likifeli munatafuta pakujishikia kufuta aibu watanzania wa sasa wanajielewa sio kama zaman wanajua uchu wenu wa madaraka kupitia migongo yao wamegoma hadi wafuasi wenu kuandamana 😁😁 huzuni kwa kweli
FB_IMG_1721156810235.jpg
 
Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho kwamba Wauaji ni Watu wa serikali na Wanalindwa kwa Udi na Uvumba.

Kujitokeza hadharani kwa Freeman Mbowe huko Magomeni, Huku akijua kwamba atapigwa risasi ili afe au atakamatwa, Kumekata Ngebe na kuwafunga mdomo waliodhani hili jambo ni Utani, Huu ni Ushindi Mkubwa sana.

- LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

Hata ukimuuliza leo IGP au hata RPC Murilo kwanini wanazuia Maandamano ya Chadema, hawatokuwa na Majibu yoyote zaidi watasema ni Amri kutoka Juu.

Bali Swali ni hili, Unateka mtoto kama Soka na kumuua ili upate nini, uokoe nini au ushinde kitu gani ambacho kijana huyo alikuzuia kukishinda? Kama mnataka kuimaliza CHADEMA kwanini msimuue Mbowe au Lissu ili mkate kabisa mzizi wa Fitna?

Bali ifahamike kwamba Mungu siyo fala, Na Kila Ubaya Utalipwa.
UMEJIPUNJA- WEKA HATA 1000000000%
 
Mhhh. Kweli makurukurutabu ni janga la taifa. Eti lengo kuu la maandamano ya maandamano ya chadema ilikuwa ni kuijulisha dunia yote na tasisi zote za dunia na kwamba leo lengo hilo limefanikiwa kwa 100%. Hii ni akili ya samaki.

Hamujui hata dunia ni kitu gani. Kwenu Amerika na Ulaya magharibi ndiyo dunia nzima. Kwa taarifa yenu huko China, India Ukraine, Palestina, Amerika ya kusini, UAE na kadhalika hawana habari of your existence in this planet called dunia.

Hao mnaowaita dunia (USA, Canada and UK) ujumbe wenu walishausikia mapema tu na ku react kwa kuielekeza kwa maandishi na kwa matamko serikali yetu inachotakiwa kufanya. Raisi wetu shupavu aliwakoromea sana hao unaowaita dunia. Koromeo lake liliungwa mkono na kukaziwa zaidi na Umoja Afrika (AU) na Umoja wa Mataifa (UN).

Hao mnaosingizia wametekwa na kuuliwa na polisi hamna hamna ushahidi wo wote. Wengi wao inawezekana wametekwa na kuuliwa na chadema yenyewe kwani historia yake inajulikana kwenye masuala haya kuanzia ya Chacha Wenge nk. Inawezekana wengine wameuawa kwa kutembea na wake za watu, au kuiba mali za watu, kudhurumu wenzao, imani za ushirikina na kadhalika.

Uchunguzi (Criminal investigation) ya masuala haya siyo nyepesi kama ambavyo akili yenu inawatuma. Yanahitaji utaalamu wa juu na infrastrure ya juu katika dunia ya leo. Hata huko kwenye nchi zilizoendelea, zenye makamera kila mahali, forensic laboratories za hali ya juu, drones, artificial intelligence ya hali ya juu, robots na setilites za kutosha bado changamoto zipo nyingi tu kwani wahalifu nao wana akili na wanaweza ku evade hizo systems.

Sasa sembuse sisi ambao tunatumia zaidi ushirikishwaji wa wananchi huko mitaani, vijijini na vitongojini katika criminal investigation zeu. Kwa akili yenu mnafikiri maandamano ndiyo criminal investigation technique madhubuti ya kuwapata hao wahalifu. Mmeambiwa hiyo ni akili ya samaki. Leo mtakuwa mmejifunza kutokana na maandamano mliyokuwa mmeyapanga ku fail vibaya sana kwa wananchi kuyapuuzia mbali. Hata wewe hukuonekana huko kwa kuogopa kuchapwa virungu na kumwagiwa maji ya washa washwa. Kama mna akili hamtarudia tena hiyo dhana yenu ya maandamano.
 
Back
Top Bottom