Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho kwamba Wauaji ni Watu wa serikali na Wanalindwa kwa Udi na Uvumba.

Kujitokeza hadharani kwa Freeman Mbowe huko Magomeni, Huku akijua kwamba atapigwa risasi ili afe au atakamatwa, Kumekata Ngebe na kuwafunga mdomo waliodhani hili jambo ni Utani, Huu ni Ushindi Mkubwa sana.

- LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

Hata ukimuuliza leo IGP au hata RPC Murilo kwanini wanazuia Maandamano ya Chadema, hawatokuwa na Majibu yoyote zaidi watasema ni Amri kutoka Juu.

Bali Swali ni hili, Unateka mtoto kama Soka na kumuua ili upate nini, uokoe nini au ushinde kitu gani ambacho kijana huyo alikuzuia kukishinda? Kama mnataka kuimaliza CHADEMA kwanini msimuue Mbowe au Lissu ili mkate kabisa mzizi wa Fitna?

Bali ifahamike kwamba Mungu siyo fala, Na Kila Ubaya Utalipwa.

Ujumbe umefika wangeteka watu zaidi na kuwauwa
 
Wasaliti wakubwa nyie.Mmejificha chumbani kwenu huko tena uvunguni ,halafu saizi ndio mnajifanya kutoa pua zenu hapa. Mlikuwa wapi wakati Mbowe anakamatwa peke yake kama kuku? Waandishi wa habari ndio wamebaki wanamtetea na kumuombea asikamatwe na polisi huku Ninyi mmejificha porini huko.
Ndio maana watu wanakuona hauna akili.
 
Mbowe
Wasaliti wakubwa nyie.Mmejificha chumbani kwenu huko tena uvunguni ,halafu saizi ndio mnajifanya kutoa pua zenu hapa. Mlikuwa wapi wakati Mbowe anakamatwa peke yake kama kuku? Waandishi wa habari ndio wamebaki wanamtetea na kumuombea asikamatwe na polisi huku Ninyi mmejificha porini huko
Mbowe hakukamatwa kama kuku alikamatwa kwa heshima na taadhima na kila mtu asiengejua kuwa Mbowe yupo magomeni ila ujumbe umefika
 
Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho kwamba Wauaji ni Watu wa serikali na Wanalindwa kwa Udi na Uvumba.

Kujitokeza hadharani kwa Freeman Mbowe huko Magomeni, Huku akijua kwamba atapigwa risasi ili afe au atakamatwa, Kumekata Ngebe na kuwafunga mdomo waliodhani hili jambo ni Utani, Huu ni Ushindi Mkubwa sana.

- LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

Hata ukimuuliza leo IGP au hata RPC Murilo kwanini wanazuia Maandamano ya Chadema, hawatokuwa na Majibu yoyote zaidi watasema ni Amri kutoka Juu.

Bali Swali ni hili, Unateka mtoto kama Soka na kumuua ili upate nini, uokoe nini au ushinde kitu gani ambacho kijana huyo alikuzuia kukishinda? Kama mnataka kuimaliza CHADEMA kwanini msimuue Mbowe au Lissu ili mkate kabisa mzizi wa Fitna?

Bali ifahamike kwamba Mungu siyo fala, Na Kila Ubaya Utalipwa.
Hongereni sana CHADEMA.

Nimefanya mazoezi sana leo ya kutembea kuanzia stesheni, mnazi mmoja, faya hadi Makumbusho ambapo nimejionea mengi sana.

Hakuna kulala, Viongozi wakitoka tangazeni maandamano tena na tena hadi walegeze wapuuzi hao
 
Polisi hawana intelligentsia kabisa.. Wamezingira nyumba akitoka tu wamkamate mwenyekiti.

Baadae intelijensia ikawaambia amesafiri jana kwenda Arusha. Wakawa na uhakika 100% tayari amewasili Arusha. Wakapata na ujasiri wa kutangaza kwamba amejifungia kwenye ofisi ya chama Arusha.

Wanakuja kushangaa mwamba kaibuka Magomeni 😅😅

Poor intelligence.
hawa jamaa ni wababaishaji, kwa huu utekaji ni kuintimidate
 
Kuna mmoja nimemuona anapita njia na baiskeli yake wamemkamata.
Umeshakuwa mtaji wa polisi sasa.maana dhamana hapo utatoka na hela.wamekosa waandamanaji wanakamata wapita njia
😄 watu ndiyo watawajua wao ni nani leo watu watalala sana lokup
Kutoka na mpunga
Kuna watu wanajipitia tu wamenyakuliwa
Jamaa washapata mtaji 😄

Ova
 
100% wapi wewe?
Acha porojo.

Jitahidini kukuza chama kwanza, Mbowe ananyakuliwa Magomeni kama raia wa kawaida.

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani taifa anakamatwa kama machinga, halafu unakuja unaleta porojo hapa.
Unafikiri Raila Odinga anaweza kubebwa na POLISI kirahisi kama alivyobebwa Mbowe leo pale Magomeni?

Inabidi mjitafakari kama chama, hali yenu ni mbaya mno.
 
Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho kwamba Wauaji ni Watu wa serikali na Wanalindwa kwa Udi na Uvumba.

Kujitokeza hadharani kwa Freeman Mbowe huko Magomeni, Huku akijua kwamba atapigwa risasi ili afe au atakamatwa, Kumekata Ngebe na kuwafunga mdomo waliodhani hili jambo ni Utani, Huu ni Ushindi Mkubwa sana.

- LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

Hata ukimuuliza leo IGP au hata RPC Murilo kwanini wanazuia Maandamano ya Chadema, hawatokuwa na Majibu yoyote zaidi watasema ni Amri kutoka Juu.

Bali Swali ni hili, Unateka mtoto kama Soka na kumuua ili upate nini, uokoe nini au ushinde kitu gani ambacho kijana huyo alikuzuia kukishinda? Kama mnataka kuimaliza CHADEMA kwanini msimuue Mbowe au Lissu ili mkate kabisa mzizi wa Fitna?

Bali ifahamike kwamba Mungu siyo fala, Na Kila Ubaya Utalipwa.
Mungu ana mambo mengi ya kufanya hawezi angaika na hizi lawama zako za kitoto, kama huwezi kupambana hakuna mtakacho ifanya ccm
 
Polisi hawana intelligentsia kabisa.. Wamezingira nyumba akitoka tu wamkamate mwenyekiti.

Baadae intelijensia ikawaambia amesafiri jana kwenda Arusha. Wakawa na uhakika 100% tayari amewasili Arusha. Wakapata na ujasiri wa kutangaza kwamba amejifungia kwenye ofisi ya chama Arusha.

Wanakuja kushangaa mwamba kaibuka Magomeni 😅😅

Poor intelligence.
Mkuu

Watu wa elimu ya STD seven
How they can have interagency unit.

Wamefundishwa kupiga na kutumia mtutu.
Mtutu kila mtuu anajua kutumia
 
Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho kwamba Wauaji ni Watu wa serikali na Wanalindwa kwa Udi na Uvumba.

Kujitokeza hadharani kwa Freeman Mbowe huko Magomeni, Huku akijua kwamba atapigwa risasi ili afe au atakamatwa, Kumekata Ngebe na kuwafunga mdomo waliodhani hili jambo ni Utani, Huu ni Ushindi Mkubwa sana.

- LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

Hata ukimuuliza leo IGP au hata RPC Murilo kwanini wanazuia Maandamano ya Chadema, hawatokuwa na Majibu yoyote zaidi watasema ni Amri kutoka Juu.

Bali Swali ni hili, Unateka mtoto kama Soka na kumuua ili upate nini, uokoe nini au ushinde kitu gani ambacho kijana huyo alikuzuia kukishinda? Kama mnataka kuimaliza CHADEMA kwanini msimuue Mbowe au Lissu ili mkate kabisa mzizi wa Fitna?

Bali ifahamike kwamba Mungu siyo fala, Na Kila Ubaya Utalipwa.
Nakuunga mkono wa 100+%

Mkuu nchi imerindima kila mahali
Leo nimepita mitaa ya Mwanza mjini nakutana na land cruise za kutosha ma polisi wameshona ndani wapaki kila mahali
While maandamano yametangazwa Dsm tuu!
 
Mimi kama Mtanzania ambaye watanzania wenzangu wamekufa na wengine kutekwa ukianza kuniambia mambo ya ushindi sikuelewi Kabisa.....

Politizing the Issues....
 
Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho kwamba Wauaji ni Watu wa serikali na Wanalindwa kwa Udi na Uvumba.

Kujitokeza hadharani kwa Freeman Mbowe huko Magomeni, Huku akijua kwamba atapigwa risasi ili afe au atakamatwa, Kumekata Ngebe na kuwafunga mdomo waliodhani hili jambo ni Utani, Huu ni Ushindi Mkubwa sana.

- LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

Hata ukimuuliza leo IGP au hata RPC Murilo kwanini wanazuia Maandamano ya Chadema, hawatokuwa na Majibu yoyote zaidi watasema ni Amri kutoka Juu.

Bali Swali ni hili, Unateka mtoto kama Soka na kumuua ili upate nini, uokoe nini au ushinde kitu gani ambacho kijana huyo alikuzuia kukishinda? Kama mnataka kuimaliza CHADEMA kwanini msimuue Mbowe au Lissu ili mkate kabisa mzizi wa Fitna?

Bali ifahamike kwamba Mungu siyo fala, Na Kila Ubaya Utalipwa.
Wacha blaa blaa wewe kibaraka ,,mumeshughulikiwa hasa.

Kazi inaendelea 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DAQXvsstG8p/?igsh=MTVraWExYmNmbXl6MA==
 
Polisi hawana intelligentsia kabisa.. Wamezingira nyumba akitoka tu wamkamate mwenyekiti.

Baadae intelijensia ikawaambia amesafiri jana kwenda Arusha. Wakawa na uhakika 100% tayari amewasili Arusha. Wakapata na ujasiri wa kutangaza kwamba amejifungia kwenye ofisi ya chama Arusha.

Wanakuja kushangaa mwamba kaibuka Magomeni 😅😅

Poor intelligence.
Ndo wajuwe Akili ndogo Haijawahi kushinda akili KUBWA
 
Back
Top Bottom