City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Aisee 😯 😯 😯Polisi hawana intelligentsia kabisa.. Wamezingira nyumba akitoka tu wamkamate mwenyekiti.
Baadae intelijensia ikawaambia amesafiri jana kwenda Arusha. Wakawa na uhakika 100% tayari amewasili Arusha. Wakapata na ujasiri wa kutangaza kwamba amejifungia kwenye ofisi ya chama Arusha.
Wanakuja kushangaa mwamba kaibuka Magomeni 😅😅
Poor intelligence.
Sasa kama walikuzingira na hapo umefika mnazi mmoja, sasa lengo lao lilikuwa ni lipi, au n ww mwnyw umejishtukia kuwa labla walikuwa wakuzingira nyumba yako?Pamoja na nyumba yangu Tandika Mwembeyanga kuzingirwa tangu saa 4 usiku, Lakini muda huu niko mnazi mmoja, sasa kama hapa kuna uvungu basi sawa
Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho kwamba Wauaji ni Watu wa serikali na Wanalindwa kwa Udi na Uvumba.
Kujitokeza hadharani kwa Freeman Mbowe huko Magomeni, Huku akijua kwamba atapigwa risasi ili afe au atakamatwa, Kumekata Ngebe na kuwafunga mdomo waliodhani hili jambo ni Utani, Huu ni Ushindi Mkubwa sana.
Hata ukimuuliza leo IGP au hata RPC Murilo kwanini wanazuia Maandamano ya Chadema, hawatokuwa na Majibu yoyote zaidi watasema ni Amri kutoka Juu.
Bali Swali ni hili, Unateka mtoto kama Soka na kumuua ili upate nini, uokoe nini au ushinde kitu gani ambacho kijana huyo alikuzuia kukishinda? Kama mnataka kuimaliza Chadema kwanini msimuue Mbowe au Lissu ili mkate kabisa mzizi wa Fitna?
Bali ifahamike kwamba Mungu siyo fala, Na Kila Ubaya Utalipwa.
Kajificha kwenye mashamba ya ulanzi!Tapeli tu huyo.
Ungekuja kuandamana kama unajiamini ili ufundishwe adabu.Wewe na kikundi chako cha Wauaji mmejaribu kunidukua ili mniue mmeshindwa, Wajinga sana nyie, hivi unadhani unaweza kudukua mtu jf, Mbinu za kipumbavu sana!
Mnadhani mnaweza kunitisha mimi nyie wachumia tumbo?
We jamaa ni mjinga sana! Nachukua nafasi hii kutangaza hadharani kwamba nimekudharau sanaUngekuja kuandamana kama unajiamini ili ufundishwe adabu.
Mratibu wa Maandamano anawezaje kujificha? Halafu kinachowafurahisha kwenye Utekaji na mauaji ni kipi?Kajificha kwenye mashamba ya ulanzi!
Kashakwambia kifo ni kifo tu huo ndio msimamo wake akae akae wapi? Yupo Ruvuma huko anakabidhiwa vibuyu vingineatakaa na familia zilizopoteza jamaa ili kupata ufumbuzi.
Wewe ni msaliti na tapeli tu .We jamaa ni mjinga sana! Nachukua nafasi hii kutangaza hadharani kwamba nimekudharau sana
Luca tuliaWewe ni msaliti na tapeli tu .
Wewe umo katika waliokamatwa?au ndo unatuhubiria usichoweza kukitenda?Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho kwamba Wauaji ni Watu wa serikali na Wanalindwa kwa Udi na Uvumba.
Kujitokeza hadharani kwa Freeman Mbowe huko Magomeni, Huku akijua kwamba atapigwa risasi ili afe au atakamatwa, Kumekata Ngebe na kuwafunga mdomo waliodhani hili jambo ni Utani, Huu ni Ushindi Mkubwa sana.
Hata ukimuuliza leo IGP au hata RPC Murilo kwanini wanazuia Maandamano ya Chadema, hawatokuwa na Majibu yoyote zaidi watasema ni Amri kutoka Juu.
Bali Swali ni hili, Unateka mtoto kama Soka na kumuua ili upate nini, uokoe nini au ushinde kitu gani ambacho kijana huyo alikuzuia kukishinda? Kama mnataka kuimaliza Chadema kwanini msimuue Mbowe au Lissu ili mkate kabisa mzizi wa Fitna?
Bali ifahamike kwamba Mungu siyo fala, Na Kila Ubaya Utalipwa.
Na wewe afsa mkamaria tuliaLeo chadema mmemsaliti mbowe aisee🤣🤣🤣🤣
Well SaidLengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho kwamba Wauaji ni Watu wa serikali na Wanalindwa kwa Udi na Uvumba.
Kujitokeza hadharani kwa Freeman Mbowe huko Magomeni, Huku akijua kwamba atapigwa risasi ili afe au atakamatwa, Kumekata Ngebe na kuwafunga mdomo waliodhani hili jambo ni Utani, Huu ni Ushindi Mkubwa sana.
Hata ukimuuliza leo IGP au hata RPC Murilo kwanini wanazuia Maandamano ya Chadema, hawatokuwa na Majibu yoyote zaidi watasema ni Amri kutoka Juu.
Bali Swali ni hili, Unateka mtoto kama Soka na kumuua ili upate nini, uokoe nini au ushinde kitu gani ambacho kijana huyo alikuzuia kukishinda? Kama mnataka kuimaliza Chadema kwanini msimuue Mbowe au Lissu ili mkate kabisa mzizi wa Fitna?
Bali ifahamike kwamba Mungu siyo fala, Na Kila Ubaya Utalipwa.
Umejificha mkuu. Usingepata muda kuandika huu Uzi.Pamoja na nyumba yangu Tandika Mwembeyanga kuzingirwa tangu saa 4 usiku, Lakini muda huu niko mnazi mmoja, sasa kama hapa kuna uvungu basi sawa
Wewe umesema wewe umekamatwa?Wewe umo katika waliokamatwa?au ndo unatuhubiria usichoweza kukitenda?
Hahaha 🤣🤣🤣Na wewe afsa mkamaria tulia
Wale waandamanaji kutoka "mikoani" waliowakwepa Polisi hadi jana usiku waliposakwa hadi kwenye Magesti wameenda wapi? Ahahahahaha! Ukiwa Chadema kweli wewe ni nyumbu! Ahahahahaha!!!Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho kwamba Wauaji ni Watu wa serikali na Wanalindwa kwa Udi na Uvumba.