Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

Me nilijua tu hakuna atakaeingia barabaran kuandamana wabongo ni waoga sana wana kelele nyingi mitandaoni ila vitendo ni 0
Hata kwenye uchaguzi kutamwaga polisi kuliko hao walio mwaga leo hamtakua na ubavu wa kulinda kura zenu mjiandae kisaikojia.

hii ishu ingekua imeratibiwa Zanzibar na chama kikuu cha upinzani ingefanikiwa ata kwa %70 walau kidogo hawana uwoga wa polisi.
 
100% perfect
 
Roho imekuuma kwa kuwa hatujavunjwa miguu
 
Usilie, Mambo Bado
 
Nani kakuloga?
 
Muwe mnaacha kujifariji kwa mambo ya kipuuzi hasa baada ya kufeli,kubalini kwamba tumefeli pakubwa na mjipange upya. Lengo kuu la maandamano hayo ya mchongo ilikuwa ni kuhakikisha akina Soka waliotekwa wanatudishwa je,wamerudishwa?ilikuwa ni kuhakikisha waliomteka na baadae kumuua mzee Ally Kibao wanakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria je,mefanikiwa kwa kiasi gani? Lengo lilikuwa kuhakikisha IGP,DGIS na waziri wa mambo ya ndani wanajiuzulu je,wamejiuzulu? Mlisema kama hayo yote hayawezekani basi Samia Must Go je amego where?
Shida yenu huwa hamuoni mlipofeli badala yake mnaishia kujifariji badala ya kuangalia mnatokaje hapo.
 
Pamoja na nyumba yangu Tandika Mwembeyanga kuzingirwa tangu saa 4 usiku, Lakini muda huu niko mnazi mmoja, sasa kama hapa kuna uvungu basi sawa
Nimekuona ayeyeyeyeyeeeeeeee we ni jasiri sana polisi wamekuona wakakimbia kwa hofu yaani wewe ndo kamanda wa ukweli wa kukivusha chama chenu🤣🤣🤣
 
Usiondoke JF
 
Labda kama nchi ni ya mmeo tu, asubiri yaliyofika dikteta Magufuli
Wacha weee kwahio ndo mmepanga hayo sio???? Mnataka mrudie tena sio......tunawangoja.....uzuri mnaosema haya wengi mpo nje ya nchi ila wa hukuhuku ndo kama leo ma keyboard warriors tu
 
Wacha weee kwahio ndo mmepanga hayo sio???? Mnataka mrudie tena sio......tunawangoja.....uzuri mnaosema haya wengi mpo nje ya nchi ila wa hukuhuku ndo kama leo ma keyboard warriors tu
Je Jiwe hakufa?
 
Mama Dr Samia leo ameutubia Ruvuma Hana furaha usoni Kuna kitu kinamsumbua.Ilq wale waliosoma.Dua Tanga majibu tutayaona tu
 
Sijayaona huku nanjilinji
 
Jipeni moyo tu.

Hayo maandamano yamefanyika wapi?

Siyo yamedondokea pua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…