Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,197
- 1,429
Lin umesikia wapenda haki wanajitokeza kuwakanya hao wengine wanaojitokeza randomlyLakini mm sizani kama hao wanao tamka hayo maneno ni waislam, kwa sababu waisilami halisi ni wapenda haki, nadiriki kusema hao sio ni magenge ya kuhuni tu.
Mbona amuungani na wasio waislam kupambana na hao wahuni na mashekhe wao ? Maana hata mtume wenu alifundisha kuwa jambo la haki likitoka kwa asiye muislamu dhidi ya jambo lisilo la haki litokalo hata kwa muislamu basi muhamadi aliagiza waislamu wamuunge mkono huyo asiye muislamu dhidi hata ya muislamu dhalimu....sasa kama usemacho ni kweli ? Wapo wapi mashekh na waislamu wanao ungana na TEC na wakristo na wasio na dini kupingana na MASHEKH WAHUNI WA SAMIA NA SAMIA MWENYEWE ?...WAPO WAPI WAISLAMU WALIO PINGA MKATABA WA KIHUNI WA DP WORLD...WAKO WAPI WAISLAMU WANAO MKEMEA KIKWETE NA FAMILIA YAKE KWA KULIGEUZA TAIFA LETU KUWA PANGO LA WAHUNI ?Sisi waislam hatuwezi na hatutaki vit, ukweli ni Kwamba nyie waislam mnaounga mkono huu ujinga ni kutoka CCM, hakuna muislam timamu anaweza kusapoti huu ujinga unprofessional wa serikali haramu
Huwezi kuwa mtanzania kama hujui haki zinazoporwa wazi wakati huu, ikiwemo haki ya kuishi, haki ya kukusanyika na kuchangia mawazo bila hofu na haki ya kuchagua viongozi kwa misingi ya katiba iliyopo ambapo kila mtanzania ana kura moja yenye nguvu sawa. Mwisho ni haki ya kuwawajibisha viongozi hao.Haki gani Wakatoliki wanao ihubiri ? Na kusimama nayo ?
Hujajibu swali nililo kuuliza.Huwezi kuwa mtanzania kama hujui haki zinazoporwa wazi wakati huu, ikiwemo haki ya kuishi, haki ya kukusanyika na kuchangia mawazo bila hofu na haki ya kuchagua viongozi kwa misingi ya katiba iliyopo ambapo kila mtanzania ana kura moja yenye nguvu sawa. Mwisho ni haki ya kuwawajibisha viongozi hao.
Na ukisema kwamba hakuna uminywaji wa haki Tanzania unaonyesha wazi kuwa uko disconnected na uhalisia, yaani umejizima data
Nchi yetu ya Tanzania katika mambo ya utawala haijajielekeza katika dini yoyote lakini watu wake wana dini, na dini kubwa zenye wafuasi wengi ni waislamu na wakristo. Tumeamua kuishi hivyo kutokana na ukweli kuwa kulikuwepo na uhasama na hata kupelekea vita kati ya makundi ya dini hizi mbili katika historia yake, hivyo wazee wetu wakaamua mambo ya dini yawe ni baina ya mtu na imani yake na katika mambo ya nchi yawe nje ya mifumo ya kidini ili tuweze kuishi kwa pamoja.Leo acha nitoe ya moyoni hi kitu sisawa,. Aisee nimezaliw kwenye uisilamu na nimekulia kwenye uislamu na mpaka hivi Sasa nipo na dini yangu,ila kunajambo linanikwaza sana kuhusu Hawa viongozi wetu aisee
( 1) Hawa viongozi wangu hawawezi kujenga hoja zao bila kutaja upande wa pili ,yani lazima
( 2) Hawawezi kujielezea hisia zao bila vitisho(bakozi) mara tutawakata vichwa.
(3) Hawajui wanachokipigania aisee ni aibu sana na wanaivua nguo dini yetu kutwa kucha wanahubiri vita.
(4) Hongera kwa wakatoliki kwa kuhubiri haki ,nakuisimamia.
(5) Tukiitwa kobazi tusichukie
Nimemaliza
Ukishaanza kufananisha nchi na familia mkuu, kila unachokisema baada ya hapo hakina maana kwasababu kimejengwa kwenye msingi mbovu. Yani sina haja ya kusoma huko mbele.Hujajibu swali nililo kuuliza.
Baba yako au mama yako akikukosea unamkosoa kwa adabu au kwa utovu wa adabu ? Unamkosoa hadharani au kwa siri ?
Jambo la muhimu VIJANA wanawakataa ninyi muslims itikadi kali.Wewe muislamu muongo kiasi hiki ? Huenda wewe sio muislamu kabisa.
Umewahi kujiuliza kwanini wanawataja sana hao TEC ? Usione watu ni wajinga, wanawataja sababu imebidi wawataje, hao TEC ndio wachochezi wakubwa sana juu ya hii kadhia, sababu TEC hawawakanyi raia wanapo fanya uovu, huu ni uzandiki na sio mafundisho ya dini. Sasa kwanini hawasiamii misingi ya dini au hawafanyi kama dini yao unavyo wafundisha.
Ndio maana nasema hivi wewe huenda sio Muislamu, sababu hakuna Sheikh aliesema hivyo, huenda unabeba beba tu vitu mitandaoni pasi na kusikiliza mwenyewe, yule hakusema maneno hayo bali alisema mtatuka tumekatana vichwa.
Hata kama wewe sio Muislamu usiwadhulumu Waislamu kwa chuki zako. Wafanyie uadilifu.
Wapi wamehubiri vita ? Wakati Kila siku wanahubiri amani.
Nasisitiza wewe sio Muislamu, sababu hufanyi uadilifu.
Haki gani Wakatoliki wanao ihubiri ? Na kusimama nayo ?
Shida yenu Wakristo ni vichwa mchunga sana, yaani kuhoji mambo huwa hamuhoji, akishasema kiongozi wenu basi hata kufikiria hamfikirii.
Tuiteni tu kobazi hatukasiriki wala nini, sababu hata Yesu alivaa Kobazi.
Halafu suala la kuitwa sisi kobazi ni jambo dogo sana, wala halibadilishi chochote.
Kumtii Kiongozi hata KATIKA UOVU?Unajua wewe haki yako ni kumtii kiongozi hata kama muovu, maadamu hakuamrishi katika kumuasi Mungu. Hii haki wewe unaijua ? Ushawahi kuofanyia kazi ?
Mungu wetu anayeipenda Tanganyika na Udugu wetu akubariki sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Leo acha nitoe ya moyoni hi kitu sisawa,. Aisee nimezaliw kwenye uisilamu na nimekulia kwenye uislamu na mpaka hivi Sasa nipo na dini yangu,ila kunajambo linanikwaza sana kuhusu Hawa viongozi wetu aisee
( 1) Hawa viongozi wangu hawawezi kujenga hoja zao bila kutaja upande wa pili ,yani lazima
( 2) Hawawezi kujielezea hisia zao bila vitisho(bakozi) mara tutawakata vichwa.
(3) Hawajui wanachokipigania aisee ni aibu sana na wanaivua nguo dini yetu kutwa kucha wanahubiri vita.
(4) Hongera kwa wakatoliki kwa kuhubiri haki ,nakuisimamia.
(5) Tukiitwa kobazi tusichukie
Nimemaliza
Leo acha nitoe ya moyoni hi kitu sisawa,. Aisee nimezaliw kwenye uisilamu na nimekulia kwenye uislamu na mpaka hivi Sasa nipo na dini yangu,ila kunajambo linanikwaza sana kuhusu Hawa viongozi wetu aisee
( 1) Hawa viongozi wangu hawawezi kujenga hoja zao bila kutaja upande wa pili ,yani lazima
( 2) Hawawezi kujielezea hisia zao bila vitisho(bakozi) mara tutawakata vichwa.
(3) Hawajui wanachokipigania aisee ni aibu sana na wanaivua nguo dini yetu kutwa kucha wanahubiri vita.
(4) Hongera kwa wakatoliki kwa kuhubiri haki ,nakuisimamia.
(5) Tukiitwa kobazi tusichukie
Nimemaliza
Sisi itikadi kali sasa ndio tunahimiza amani.Jambo la muhimu VIJANA wanawakataa ninyi muslims itikadi kali.
Hizi ngonjera umeandika hakuna kijana atakusikiza.
Kama unabisha tazama kwenye social media nyinsi hao Masheikh wanavyopuuzwa tena na vijana wa kiislamu.
Pole sana mzee.
Ndio maana kadhia imekuwa kubwa sana kwenu, kijana familia ndio msingi mama wa uongozi, asikudanganye mtu.Ukishaanza kufananisha nchi na familia mkuu, kila unachokisema baada ya hapo hakina maana kwasababu kimejengwa kwenye msingi mbovu. Yani sina haja ya kusoma huko mbele.
Tanzania ni JAMHURI na sio FAMILIA. Hakuna sababu yoyote ya kulinganisha vitu hivi kwasababu havifanani katika asili yake, labda unielekeze wewe kwanini unaona Jamhuri ni Familia!
Viongozi wa Jamhuri wanapatikana kwa njia ya uchaguzi wa kidemokrasia ilhali Viongozi wa Familia ni waanzilishi wa familia hiyo. Kwenye Jamhuri, mamlaka ni ya wananchi wakati kwenye familia, mamlaka ni ya mwanzilishi wa familia husika.
Kwa mantiki yako, viongozi wanataka kutawala Jamhuri kama vile wanaongoza familia, na ndio tatizo kubwa la utawala wa nchi hii.Ndio maana kadhia imekuwa kubwa sana kwenu, kijana familia ndio msingi mama wa uongozi, asikudanganye mtu.
Kadhalika familia inahitaji kiongozi mmoja katika kufanya maamuzi na mama kama mshauri na watoto kama wawakilishi. Kijana una akili ndogo sana.
Huenda hata asili hujui ni nini.
Ulichokiandika kinathibitisha ya kuwa wewe hujui hata nini maana ya asili na msingi. Huo ni utaratibu tu ambao familia husika inajipangia au kuiga kutoka sehemu fulani.
Ndio ikawepo familia kama msingi mama wa utawala.
Ukinionesha wapi Padre Kitima kataja uislamu,Bakwata au msikiti Mimi nasilimu!Msiba mkubwa; mada imeanzoshwa na ***** la kitima, comments ni za machoko wa kitima pia. Hakuna kazi hapa. Nipo pamoja na masheikh wanaopinga undumilakuwili wa watu wanaojihisi ni Bora na pekee wenye haki ya kutawala.
Nop, vijana wanafahamu wazee wajinga kama ninyi hamna lolote.Sisi itikadi kali sasa ndio tunahimiza amani.
Lengo letu sisi sio vijana watusikilize Bali sisi ni kufikisha ukweli na haki. Kwahiyo mkitaka mnasikiliza na mkitaka mtaacha, na sio lengo mtusikilize.
Hao vijana wa kiislamu wanao wapuuza ni katika vijana wachache sana, kuliko wale wengi ambao wanajielewa. Bila shaka utakuta vijana hao ni wale ambao maisha yao ni kufanya challenge TikTok na kuwaza starehe, ila wamepata wajinga wenzao wa kumshawishi ndio wako nao Sasa.