Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

Ukiachana na historia ya kwenye vitabu, nimepata bahati ya kufika Zanzibar na kutembelea Soko la zamani la watumwa. . .niliyojifunza pale hakika nilisikitika, ndipo nilipoamini Waarabu (wa zama hizo) hawakuwa na utu kabisa, kuanzia kuwachukua watumwa bara na kisha kuwaleta Zanzibar,(enzi hizo bandari ipo Mangapwani) kuwafunga kwenye mti na kuwachapa mijeledi na mtumwa ambae halii ndio anaonekana mkakamavu...

kisha wanapelekwa mpaka sehemu ya kutunzia watumwa (ipo mpaka leo) ambako wanafungiwa kwa siku 3 bila chakula wala maji!!!,(kumbuka minyororo mizito bado mmefungiwa nayo mikononi, miguuni na shingoni) kisha ndio mnatolewa ambao atakutwa amekufa anatupwa na waliobaki wanaenda kuuzwa.

Ikitokea katika kundi la watumwa wa kike wanaouzwa tajiri akitaka “kuonja" alikuwa anachagua mmoja na kumfanyia hiko kitendo hapo hapo hadharani. (kama ambavyo mnafahamu wanaume tulivyo , mwenzako akifanya kitu nawe unataka kufanya, mfano katika kundi mmojà akisogea pembeni na kufungua zipu ili achimbe dawa utakuta wawili watatu wanaungana naye kufanya hivyo, hata walipokuwa wanatwaa mtumwa mmoja wa kike na kumfanyia ushenzi, basi wengine nao waliungana kufanya ufedhuli huo kwa wengine kwenye kundi hilo)

Watumwa waliteswa sana, sana , sana!!! na hao waarabu ambao leo hii watoto wao tunaishi nao kwa amani.

Cha kusikitisha zaidi ni kitendo cha kuwahasi watumwa kiume waliosafirishwa kwenda Arabuni( walienda maelfu lakini mpaka leo hii jiulize kwanini hakuna masalia ya weusi kama sio ukatili wa waarabu ambao waliwahasi bila taratibu za kitabibu, yaani wanakata hizo gololi kisha unapakwa chumvi nyingi, na kutokana na kuvuja damu nyingi wengi walikufa, wachache waliobahatika kupona waliuzwa arabuni kwa hela nyingi, walivyoona wakubwa wanakufa sana basi wakawa wanawahasi watoto).

Bado ambao walikataa utumwa na kuleta uasi njianwaligeuzwa na kuf**lwa mbele ya watoto na wanawake, ili kuwafanya wajisikie majuto, na hata waoivyokuwa wanasafiri na majahazi ilikuwa ni desturi ya waarabu kuwachukua watumwa wa kiume na kuwageuza ili kukidhi haja zao.

hivi vyote vilifanyika na historia ipo fika Zanzibar au hata Bagamoyo soko la watumwa uone historia picha na vithibitisho vingine kuhusu ufedhuli huo.waliofanyiwa mababu zetu (leo hii tunacheka nao hakika mababu zetu wakifufuka watasikitika sana).

Dini hizi hizi tulizoletewa tunafundishwa kusamehe waliotukosea, ilhali waliotuletea hizo dini walitufanyia ukatili huku tukishuhudia nasi tunachekelea kama mazombi. Tuishi kwa amani, tupendane na tusonge mbele tukitaka kuleta habari za historia na tuzibebe chuki za mababu zetu basi tutachukiana daima na tutauana.

Japo Muingereza alikomesha utumwa wa waarabu lakini naye alitesa manamba mashambani, Mbelgiji aliua watu wengi kongo,na mkaburu aliangamiza vizazi Afrika kusini, Huu ushenzi tuliofanyiwa waafrika ni mkubwa lakini tumesamehe na tuishi kwa amani bila kubaguana ili tusisahau na tuwaeleze vizazi vijavyo namna ambavyo mababu zao walipitia mateso ya wadhalimu waliokuja ili kutimiza haja za nafsi zao.
Nimesikia kanisa la kuna andaki lililohifadhi watumwa.

Kuna uhusiano gn kanisa na utumwa?!?
 
Waarabu na Wazanzibari ni ndugu wa damu na wa asili kabisa maana Waarabu ndio walioleta ukombizi kwa Taifa la Zanzibar.

Waarabu ndio watu walioweza kuishi kijamii pamoja na Wazanzibari kwa miaka mingi hadi kuchanganya damu na Wazanzibar walio wengi na kuishi km jamii moja tena kwa upendo kabisa.

Waarabu ndio walioipa Nchi ya Zanzibar hadhi na heshima kimataifa na kujulikana kama ni nchi, bila ya Waarabu hata hao Vibaraka CCM-ZANZIBAR wasingeweza kupata nyadhifa mbali mbali za utawala hapo Zanzibar badala yake wangekua tu ni watu dhalili kwenye mkoa wa Tanganyika.

Kwahiyo ni wazi kuwa Waarabu walikuja Zanzibar kwa ajili ya ukombizi na kuwasaidia Wazanzibari waweze kuwa watu wenye hadhi na kuheshimika dunianiani kote.

Mwarabu hivi sasa ndio anaeijenga Zanzibar sijamuona Mtanganyika akija kuekeza Zanzibar sekta muhimu kama bandari kujenga majumba viwanja vya ndege naona mikataba imetiwa na waarabu sijamuona hata mtanganyika mmoja au.

Tusisahau fadhila kwa Uchu wa Madaraka na Njaa. WENYE AKILI WAMESHANIELEWA!!

Na anaebisha Abishe kwa Hoja na sio Porojo
Waislam wa bara wanawaona waznz ni ndugu zao zaidi kwa kuwa ni waislam. Lkn waislam waznz wanawaona watu was bara kuwa si lolote zaidi ni watanganyika
 
Vijamaa vibaguzi sana..vingekua na mamlaka kamili vingetusumbua sana..ngoja viendelee kuwa koloni la Tanganyika.

#MaendeleoHayanaChama
 
Waarabu na Wazanzibari ni ndugu wa damu na wa asili kabisa maana Waarabu ndio walioleta ukombizi kwa Taifa la Zanzibar.

Waarabu ndio watu walioweza kuishi kijamii pamoja na Wazanzibari kwa miaka mingi hadi kuchanganya damu na Wazanzibar walio wengi na kuishi km jamii moja tena kwa upendo kabisa.

Waarabu ndio walioipa Nchi ya Zanzibar hadhi na heshima kimataifa na kujulikana kama ni nchi, bila ya Waarabu hata hao Vibaraka CCM-ZANZIBAR wasingeweza kupata nyadhifa mbali mbali za utawala hapo Zanzibar badala yake wangekua tu ni watu dhalili kwenye mkoa wa Tanganyika.

Kwahiyo ni wazi kuwa Waarabu walikuja Zanzibar kwa ajili ya ukombizi na kuwasaidia Wazanzibari waweze kuwa watu wenye hadhi na kuheshimika dunianiani kote.

Mwarabu hivi sasa ndio anaeijenga Zanzibar sijamuona Mtanganyika akija kuekeza Zanzibar sekta muhimu kama bandari kujenga majumba viwanja vya ndege naona mikataba imetiwa na waarabu sijamuona hata mtanganyika mmoja au.

Tusisahau fadhila kwa Uchu wa Madaraka na Njaa. WENYE AKILI WAMESHANIELEWA!!

Na anaebisha Abishe kwa Hoja na sio Porojo
Hahah! Mtu mweusi ni mtumwa wa akili siku zote haswaa haswaa wazee wa vibandiko!! Unajua historia ya mwarabu na mtu mweusi wa zanzibar we choko! Shida yenu hamsomi historia yenu na hata kuskiliza hotuba za rais wenu wa kwanza..karume!! Ngozi nyeusi wakat wa usultani mlikuwa mnabaguliwa kama mavii huko..karume baada ya kuchukua nchi kakemea huo ushenzi wa hao makengee..hata hvi leo ww na ngozi yako nenda kajarbu kuoa hao machotaraaa uchwaraaa wapembaa..kama hujatolewaa mkuku..
 
Waislam wa bara wanawaona waznz ni ndugu zao zaidi kwa kuwa ni waislam. Lkn waislam waznz wanawaona watu was bara kuwa si lolote zaidi ni watanganyika

Ni kwa sababu wengi waliokuja kuuwar watu kwa maelfu walikuwau wakijiita waislamu.
Walitokea Tanga, mkoa wa Pwani , Mtwara Na Lindi. Na jaza yao hawakupata chochote isipokuwa laana. Mikoa yote imekuwa masikini Na ukosefu wa usalama.
Na waliouwa woter mwisho wao ulikuwa mbaya . Karma ilifanyar kazir yake Na inaendelea kutesa
 
Hahah! Mtu mweusi ni mtumwa wa akili siku zote haswaa haswaa wazee wa vibandiko!! Unajua historia ya mwarabu na mtu mweusi wa zanzibar we choko! Shida yenu hamsomi historia yenu na hata kuskiliza hotuba za rais wenu wa kwanza..karume!! Ngozi nyeusi wakat wa usultani mlikuwa mnabaguliwa kama mavii huko..karume baada ya kuchukua nchi kakemea huo ushenzi wa hao makengee..hata hvi leo ww na ngozi yako nenda kajarbu kuoa hao machotaraaa uchwaraaa wapembaa..kama hujatolewaa mkuku..

Wakati wa usultani Kama kulikuwa Kuna ubaguzi ,Jumbe kutoka bara asingalisoma mpaka Makerere , Mwinyi Mzee wa Mkuranga asingalipewa ubalozi wa Zanzibar ,Indonesia. Na wengine tele tu
 
Waarabu na Wazanzibari ni ndugu wa damu na wa asili kabisa maana Waarabu ndio walioleta ukombizi kwa Taifa la Zanzibar.

Waarabu ndio watu walioweza kuishi kijamii pamoja na Wazanzibari kwa miaka mingi hadi kuchanganya damu na Wazanzibar walio wengi na kuishi km jamii moja tena kwa upendo kabisa.

Waarabu ndio walioipa Nchi ya Zanzibar hadhi na heshima kimataifa na kujulikana kama ni nchi, bila ya Waarabu hata hao Vibaraka CCM-ZANZIBAR wasingeweza kupata nyadhifa mbali mbali za utawala hapo Zanzibar badala yake wangekua tu ni watu dhalili kwenye mkoa wa Tanganyika.

Kwahiyo ni wazi kuwa Waarabu walikuja Zanzibar kwa ajili ya ukombizi na kuwasaidia Wazanzibari waweze kuwa watu wenye hadhi na kuheshimika dunianiani kote.

Mwarabu hivi sasa ndio anaeijenga Zanzibar sijamuona Mtanganyika akija kuekeza Zanzibar sekta muhimu kama bandari kujenga majumba viwanja vya ndege naona mikataba imetiwa na waarabu sijamuona hata mtanganyika mmoja au.

Tusisahau fadhila kwa Uchu wa Madaraka na Njaa. WENYE AKILI WAMESHANIELEWA!!

Na anaebisha Abishe kwa Hoja na sio Porojo
Kazi ya watanganyika ni fitina na kuhangaika na neno udini 🤔🤔
 
Bora mzungu kuliko mwarabu..waarabu wabaguzi kuliko..

#MaendeleoHayanaChama

Ni kweli kwani Mzungu mpaka wachungaji wanaowa waafrika makanisani

5b5f2a784ac7c.png
 
Yaani unawatukuza Waarab makatili, na walio wageuza kuwa Watwana wao miaka nenda! Mpaka pale mlipokuja kukombolewa tarehe 12 January 1964 na yule Mgalatia John Okello, mwenye asili ya Uganda!
Ila ukweli mchungu hiyo 12 januwary 1964ndio ulikuwa mwanzo wa kutawaliwa na ilipofika 26 apirili 1964 ndio wakatawaliwa rasmi hadi hii leo hawafurukuti
 
Kwa akili yako unadhani Biashara ya utumwa Duniani ilifanywa na waarabu pekee?
Wale watumwa black Americans kutoka West Africa kwenda America walipelekwa na waarabu?
Tena wazungu walivyowadharau waafrika mpaka walikuwa wakiwabadilisha surnames zao kuwa za kwao mpaka wamepoteza uasili na majina yao ya kiafrika. Unakuta mtu anaitwa Lebron James, Michael Jackson, Chris Curter, Mike Tyson.. etc ila ni Pure African..!
Vipi kuhusu. Kuitwa Mohamed,abbul,,Ali Hashim,kwaNi haya ni majina ya Kiafrika?
 
Ukiachana na historia ya kwenye vitabu, nimepata bahati ya kufika Zanzibar na kutembelea Soko la zamani la watumwa. . .niliyojifunza pale hakika nilisikitika, ndipo nilipoamini Waarabu (wa zama hizo) hawakuwa na utu kabisa, kuanzia kuwachukua watumwa bara na kisha kuwaleta Zanzibar,(enzi hizo bandari ipo Mangapwani) kuwafunga kwenye mti na kuwachapa mijeledi na mtumwa ambae halii ndio anaonekana mkakamavu...

kisha wanapelekwa mpaka sehemu ya kutunzia watumwa (ipo mpaka leo) ambako wanafungiwa kwa siku 3 bila chakula wala maji!!!,(kumbuka minyororo mizito bado mmefungiwa nayo mikononi, miguuni na shingoni) kisha ndio mnatolewa ambao atakutwa amekufa anatupwa na waliobaki wanaenda kuuzwa.

Ikitokea katika kundi la watumwa wa kike wanaouzwa tajiri akitaka “kuonja" alikuwa anachagua mmoja na kumfanyia hiko kitendo hapo hapo hadharani. (kama ambavyo mnafahamu wanaume tulivyo , mwenzako akifanya kitu nawe unataka kufanya, mfano katika kundi mmojà akisogea pembeni na kufungua zipu ili achimbe dawa utakuta wawili watatu wanaungana naye kufanya hivyo, hata walipokuwa wanatwaa mtumwa mmoja wa kike na kumfanyia ushenzi, basi wengine nao waliungana kufanya ufedhuli huo kwa wengine kwenye kundi hilo)

Watumwa waliteswa sana, sana , sana!!! na hao waarabu ambao leo hii watoto wao tunaishi nao kwa amani.

Cha kusikitisha zaidi ni kitendo cha kuwahasi watumwa kiume waliosafirishwa kwenda Arabuni( walienda maelfu lakini mpaka leo hii jiulize kwanini hakuna masalia ya weusi kama sio ukatili wa waarabu ambao waliwahasi bila taratibu za kitabibu, yaani wanakata hizo gololi kisha unapakwa chumvi nyingi, na kutokana na kuvuja damu nyingi wengi walikufa, wachache waliobahatika kupona waliuzwa arabuni kwa hela nyingi, walivyoona wakubwa wanakufa sana basi wakawa wanawahasi watoto).

Bado ambao walikataa utumwa na kuleta uasi njianwaligeuzwa na kuf**lwa mbele ya watoto na wanawake, ili kuwafanya wajisikie majuto, na hata waoivyokuwa wanasafiri na majahazi ilikuwa ni desturi ya waarabu kuwachukua watumwa wa kiume na kuwageuza ili kukidhi haja zao.

hivi vyote vilifanyika na historia ipo fika Zanzibar au hata Bagamoyo soko la watumwa uone historia picha na vithibitisho vingine kuhusu ufedhuli huo.waliofanyiwa mababu zetu (leo hii tunacheka nao hakika mababu zetu wakifufuka watasikitika sana).

Dini hizi hizi tulizoletewa tunafundishwa kusamehe waliotukosea, ilhali waliotuletea hizo dini walitufanyia ukatili huku tukishuhudia nasi tunachekelea kama mazombi. Tuishi kwa amani, tupendane na tusonge mbele tukitaka kuleta habari za historia na tuzibebe chuki za mababu zetu basi tutachukiana daima na tutauana.

Japo Muingereza alikomesha utumwa wa waarabu lakini naye alitesa manamba mashambani, Mbelgiji aliua watu wengi kongo,na mkaburu aliangamiza vizazi Afrika kusini, Huu ushenzi tuliofanyiwa waafrika ni mkubwa lakini tumesamehe na tuishi kwa amani bila kubaguana ili tusisahau na tuwaeleze vizazi vijavyo namna ambavyo mababu zao walipitia mateso ya wadhalimu waliokuja ili kutimiza haja za nafsi zao.
Lakini waafrika wenyewe ndio walipenda kuchukuliwa utumwani hata leo maelfu wanazamia huko utumwani kihalali au kwa njia haramu.
Mwarabu, Mzungu hakuingia vijijini kukamata watu bali sisi waafrika wenyewe ndio tuliwakamata wenzetu na kuwauzia wao. Pili kwann mababu zetu awakutumia uchawi kuwasambaratisha waarabu wasiwachukue utumwani ña pia kuwazuia wakoloni wasitutawale. Kwann waafrika hawakuwaua wafanyabiashara walionekana vijijini kununua watumwa au kuwawinda usiku na kuwaua kisha kuwakomboa watumwa. Hakuna sehemu yeyeto katika dini hizo kuu kumelezwa wawafanyie ukatili au unyama wanadamu wengine. Kuwa muarabu au Mzungu hakumaanishi wewe ni muislamu au mkristo.
 
Kwa akili yako unadhani Biashara ya utumwa Duniani ilifanywa na waarabu pekee?
Wale watumwa black Americans kutoka West Africa kwenda America walipelekwa na waarabu?
Tena wazungu walivyowadharau waafrika mpaka walikuwa wakiwabadilisha surnames zao kuwa za kwao mpaka wamepoteza uasili na majina yao ya kiafrika. Unakuta mtu anaitwa Lebron James, Michael Jackson, Chris Curter, Mike Tyson.. etc ila ni Pure African..!
Kweli Elimu yako ndogo sana au hukupata ukabahatika tu ya Ilimu dunia
huko Arabuni kuna ukoo wa Waafrika km huko Marekani?
umeshaambiwa waarabu walikuwa wakiwalawiti watumwa na kuwaua, au wanawaHASI ili kizazi kisiendelee.
wale wanawake walikuwa wanapelekwa Pemba na kuzalishwa. Vijana wa kiarabu wanakuja na kupewa kina mama wakishamaliza haja wanaondoka na kuwaachia mimba dada zetu, ndio hao sasa waarabukoko hwaruhusiwi kufika arabuni kudai ukoo zao , ila tu hapa watatafuta asili kama ni waYemen au Oman au Bahrain utatajiwa asili yenu na walikuwa na ofisi zao huko Temeke, km ni wa Mahra, wagunya wanajuana
 
Ila ukweli mchungu hiyo 12 januwary 1964ndio ulikuwa mwanzo wa kutawaliwa na ilipofika 26 apirili 1964 ndio wakatawaliwa rasmi hadi hii leo hawafurukuti
Huwezi kutawala nchi kimabavu milele. Ufaransa ilitawala Algeria miaka 140 mwisho wake ikatimuliwa, Marekani ilitawala Afghanistan kupitia serikali kibaraka kwa miaka 20 mwisho wake ikatimuliwa pamoja na vibaraka wao. Na nyie mtaondoka tuu.
 
Tuondoke tuiache zenji?
Sahau mkuu
 
Back
Top Bottom