Ulichukua hatua gani baada ya kugundua umebambikwa mimba/ mtoto?

Unaweza kuwa mjanja sana ila mapenz Kuna namna kilamtu kaonja maumivu unapigwa had unajiuliza hiv ni mm huyu nadanganywa kiasi hiki 😂😂😂
Unapigwa kama ngoma, hamna mjanja wa mapenzi kila mtu ana mjanja wake 😂😂😂!!!

Shughuli inaanza unakopenda wewe 100% mwenzio anapenda 40%...Nje kuna mtu ndio anampenda by 100% ila ananyooshwa freshi tu.
 
Hasara utakayoipata ni kubwa sana sasa usubirie mtoto akue hadi miaka 20+ ili uanze kumla ni jambo la kijinga kufanya..pia mbunye haikomoleki...
 
Duh hii kiboko mno, na hio timming ndio inanipaga wasiwasi maana kuna uwezekano mwanamke akabebeshwa mimba na muhuni after 1 week ya kugundua akakuletea wewe upige. Ukiingia kingi tu ujue kakubebesha zigo.
Mimi kuna scenario ilitokea ultra sound inaonesha kuna wiki 2 tofauti na mhusika anavyodai...🤣🤣🤣
 
🤣 🤣 Siyo kwa Povu hilo, pole sana.
 
Mimba ilionekana kwenye kipimo baada ya siku mbili nikashtuka ila sikuonesha....tunalea mtoto japo hatuishi pamoja.....ndugu zake hawajui kama nmeshiriki nae hivyo huwa wananisimulia kuhusu baba wa mtoto!
Tupo baba wawili
 
Mi nilinusurika kubambikiwa nilikuwa na demu wangu mmoja hivi tulidumu miezi 8+,tuliachana katika mazingira ya ajabu ajabu tu yan hadi Leo sielewi..basi nikawa nambeleza lakini wapi,nikienda kwao anauchuna,Nikasema sio kesi,nikambwaga..nikaamua kubadilisha upepo wa Maisha nikaondoka ule mkoa nikaenda dar kupambana..hayo yote kuachana na Mimi kusafiri yalifanyika ndani ya mwezi mmoja..sasa Niko dar napigiwa simu na washkaji,waliokuwa wapangaji wenzangu,mashosti zake wananilaumu Kwa kumpa mimba rafiki yao eti nimemkimbia khaa nikabaki nashangaa tu,Kuna siku walikuja kwenye ile nyumba niliyokuwa nakaa,wazazi wake walimleta ili waniozeshe,mi napata tu info ila nikakausha..baada ya mwaka mmoja nikashangaa namba ngeni inapigwa,kupokea nasikia sauti ya mrembo anasema anakuja dar,Nikasema fresh..alipokuja tukaonana tabata baada ya kumuuliza akasema mtoto ni wa mjuba mwingine ndo aliyeolewa naye..duh kimoyomoyo Nikasema ningezubaa tu ningelea mtoto si wangu!!!
 
Mimba ilionekana kwenye kipimo baada ya siku mbili nikashtuka ila sikuonesha....tunalea mtoto japo hatuishi pamoja.....ndugu zake hawajui kama nmeshiriki nae hivyo huwa wananisimulia kuhusu baba wa mtoto!
Tupo baba wawili
Unajua mpo baba wawili na bado unaendelea kulea kwanini?
 
Huyu dem amesoma udom??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alikuwa anaenda enda kwa kusema ana biashara huwa anapeleka ila ila alikuwa akiishi maili mbili. Hebu nipe moja mbili zako yawezekana akawa ndiye huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani ulimla?
 
Mimi nilitulia...nikatuma elfu 15,mpaka niliposkia ameenda hospitali..nikajipeleka kisirisiri..nikamkuta mwanaume mwenzangu amenitangulia..nukajua ndiye Muhusika..maana mtoto alitoka wa kipemba wakati Mimi mwenyewe gunia la mkaa..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukienda kupima DNA nenda na huyo unaemhisi ni mtoto wake ila ukienda wewe,mtoto na mama mtoto lazima utaambiwa mtoto ni wako...
Wanafata kanuni ya Prof Kabudi hawataki mtoto abaki anataabika.

Maana ukishamkataa wewe bila Babab halisi kujulikana hakuna anayekubali tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…