Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kwnn mzeeKaka amka usije uka kojoaz hiyo ndoto mbaya sana ,ππ
Sema nyie mme Barikiwa, meno yenu yote ni ya dhahabuπ€£πKwnn mzee
Mi sijaathirika sana japo hayang'aiππSema nyie mme Barikiwa, meno yenu yote ni ya dhahabuπ€£π
Kaka una tembea na utajiri πππMi sijaathirika sana japo hayang'aiππ
Karma ni upuuzi tu ,Dogo acha uhuni.Huja wahi kuni takiwa jemaππ, I remind you, karma sio kitu kizuriπ€£π
Uhuni tu,endelea kuwapachika rungu nyama wakuroge uibebe wewe hiyo mimba.Mimba gani??, halafu binti gani huyoπ€£π
bro these days una smoke bhangi ehhπ€£π€£, binti gani huyo??Karma ni upuuzi tu ,Dogo acha uhuni.
Umempandia pandia binti wa watu,ona sasa umempatia ujauzito hutaki kukubali kiumbe chako.
Your completely crazy ππ€£Uhuni tu,endelea kuwapachika rungu nyama wakuroge uibebe wewe hiyo mimba.
Nimtaje hapa?bro these days una smoke bhangi ehhπ€£π€£, binti gani huyo??
Nakuambia,nilipitia sehemu kwa mtandao nikaona hayo.Your completely crazy ππ€£
taja hapa, maana ma bro mmesha kuwa wambea ππNimtaje hapa?
Usipo taja, we huna tofauti na gazeti la chooniπππNakuambia,nilipitia sehemu kwa mtandao nikaona hayo.
Subiri afike onlinetaja hapa, maana ma bro mmesha kuwa wambea ππ
Yeye bado hajaruhusuπ€£Usipo taja, we huna tofauti na gazeti la chooniπππ
Niki sema brother wangu we ni mwanga, Nita kuwa nakosea ππSubiri afike online
We ni kenge vumbi tuππππYeye bado hajaruhusuπ€£
Lazima upate wazimjmu mwaka huu,yule binti anakuuma sana.Niki sema brother wangu we ni mwanga, Nita kuwa nakosea ππ
Bro halafu collaboration yetu haija Isha, verse yako Ina subiriwa studioπππLazima upate wazimjmu mwaka huu,yule binti anakuuma sana.
Aisee mbona una msemea Sana, au mli panga mni toe kafaraππLazima upate wazimjmu mwaka huu,yule binti anakuuma sana.