binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Muulize mama au mlezi wako kama yupo bado ikiwa ulikuwaga mtundu? Kama ndivyo mtoto wako atakuwa *100 ๐Mm sipendi matoto matundu of course siyapendagi matoto tundu๐
We kirikou unaitwa baba?? ๐คฃ๐คฃ๐คฃBinafsi nijiskia vibaya maana kutengenza familia isiyo tarajiwa kama mliooana inakua kipengele kingine
Kwa maneno haya, it means uli toboa mkuu๐.Nilitawaliwa na wasiwasi Je nitazaa salama , mwanangu atakuwa Hai , atafananaje na nitakuwa mama Kweli, nitaweza hekaheka za Leba kila siku zikisonga mawazo yalizidi
Mwishowe ๐ ๐ nikatoboa Raha sanaa.
una ushauri upi kwa vijana wanao elekea huko??.(Hasa sisi wanaume).Shukran Chief.
Mzee wa heartbreak, season 2 ya kuachwa lini?? ๐๐คฃNipo kusoma comment nipate uzoefu.
Ninae mmoja mtoto wa ujana very intelligent kwenye ndoa still inshallah mwaka huu natarajia...Hahaha, itakuwa wanao ni wakorofi ehh๐คฃ๐.
Vipi una watoto mkuu??, how did you feel ulipo pata taarifa we ni baba mtarajiwa??
Weekend nakuja na episode mpya๐คฃ๐คฃ๐คฃ kaeni na mkao wa kulaMzee wa heartbreak, season 2 ya kuachwa lini?? ๐๐คฃ
Powaaupdate chrome, uki shindwa tafuta Uzi wangu wa zamani.
Kisha andika namba ni copy chap.
Hakuna kataa ndoa ambaye ni family manI mean no malice to nobody
Hongera Sana mkuu, ulicho andika kina onesha furaha yako kwa kiasi Kikubwa.Nilikuwa na hofu sana lakini uzuri mama wa huyu mwanamke wangu alikuwepo.Nilikuwa kwenye kibar karibu karibu tu na hospitali.Hiyo hisia ya kuwa baba sijui hata niifananishe na nini.
Kuhusu malezi namlea binti yangu kwa namna mimi baba yake naona inafaa.Kwenye kila moments za maisha yake nipo na ntakuepo,elimu ameshaanza kupata ya uhakika,viboko sitaki kusikia kabisa na ole wake mtu aje athubutu kumchapa mwanangu.Atakachotaka kuwa mimi ntamsapoti asilimia 100.Kuhusu jina mama yake alikuwa anataka aitwe Gianna mimi nikaongeza na la kikwetu/kikabila .Vipaumbele na mipango sasa vinafanyika kumzunguka yeye kwanza ndio wengine wanafuata.Usikue bi mzuri wangu natamani uendeelee kuwa mtoto hivi hivi milele.
Sawa, uki weka nitag ili uifute. Uki update chrome zita funguka pm.Powaa
Of course tuliendelea kuongeza wengine, maana Wazee tulipokuwa Edeni tulipewa maagizo kwenda kuzaa na kuijaza Dunia ๐ค๐๏ธHahaha, hongera kwako mkuu. Hop e mli tengeneza wengine๐.
Vipi Kuhusu changamoto Mlizo kumbana nazo mkubwa??.
una ushauri upi kwa vijana kuhusu suala Zina la uzazi, hasa Kwa sisi wanaume!?.
vipi kuhusu kubambikiziwa, Kuna precaution gani za kuchukua ๐
Maybe talk with your parents, itakuwa Kuna kitu kina miss labda.nina week mbili toka toka mwanangu azaliwe tarh 04/04, ila nafikir reality ya sasa nmekuwa baba haijanipata vizur bado nina mawenge kuna mda siamin kama tayari ni baba, sielewi ni uoga, furaha au naona kawaida tu au sababu mambo ni mengi!
Sielewi lolote nipo tu!!
Nilitoboa vizuri Sana , Wasikurupuke kubeba Mimba , hasa Sisi wanawake ukishaingia kwenye ulezi binafsi nawekaga miaka 3 hii nikulea tu ata baadhi ya shughuli za uchumi zinazohitaji Muda wako zinaweza zikasimama.Kwa maneno haya, it means uli toboa mkuu๐.
Una ushauri upi kwa mabinti wanao elekea huko, yapi waji funze na yapi waya epuke.
Mama mzazi yuko hapa kabla wife hajajifungua, yuko bega kwa bega, nmeongea na wazazi kuwa nina mixed feelings wananiambia nitulie the right reality inaweza chukua muda ku-kick inMaybe talk with your parents, itakuwa Kuna kitu kina miss labda.
Take a vacation na familia, ili mchill ita saidia mkuu.
Vipi kuhusu shemeji yetu Baada ya kuona taarifa hizo.Nilitoboa vizuri Sana , Wasikurupuke kubeba Mimba , hasa Sisi wanawake ukishaingia kwenye ulezi binafsi nawekaga miaka 3 hii nikulea tu ata baadhi ya shughuli za uchumi zinazohitaji Muda wako zinaweza zikasimama.
Yap, wako sahihi mkuu, huenda bado huja kubaliana na matokeo.Mama mzazi yuko hapa kabla wife hajajifungua, yuko bega kwa bega, nmeongea na wazazi kuwa nina mixed feelings wananiambia nitulie the right reality inaweza chukua muda ku-kick in