binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Muulize mama au mlezi wako kama yupo bado ikiwa ulikuwaga mtundu? Kama ndivyo mtoto wako atakuwa *100 😂Mm sipendi matoto matundu of course siyapendagi matoto tundu😊
Kakaangu wanae ni watundu kinoma, huwa kuna muda anakasirika sana, mama yetu humwambia weeee tena kaa kimya, maana yeye ndio alikuwa balaa 🤣 ila wanae ndio hatari na nusu.