Ulikutana vipi na mwenza wako? Je, mazingira yanafungamana na tabia ya mtu?

Kweli, nilikuwa surprised na muonekano wake, then akavua underwear ili apimwe. Hope unajua vile inakuwa. Haired p, ngozi nyeupe nyororo, umbo namba 8, huge hips.

Huyo wako aliamua liwalo na liwe, huchomoki. ๐Ÿ˜
 
Nilikutana chuo na mme wng,alionesha kunipenda na kunijali sana,tukaanza kuishi akiwa maskini sana tukawa tunaungaunga maisha,Mungu akasaidia tuna vihela vya mboga,hamna rangi naacha kuona jamani,nna kila kitu ndani ila nna majuto sana,kanifanya nijione sina thamani,moyo wangu una maumivu na majeraha saaaana,nna uchungu Moyoni ilikhali yeye haoneshi kujali hata kidooogo,kanenepa ananioneshea mifano ya wanaume wengine wanaochepuka na wake zao hawalalamiki,anajiona yuko sahihi,ama hakika binadam wanabadilika!!!
 
Kweli, nilikuwa surprised na muonekano wake, then akavua underwear ili apimwe. Hope unajua vile inakuwa. Haired p, ngozi nyeupe nyororo, umbo namba 8, huge hips.

Huyo wako aliamua liwalo na liwe, huchomoki. ๐Ÿ˜
Haya mambo haya Mungu atutetee ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Kwahiyo ukamla mgonjwa?
 
Aisee dada pole sana , ukiona bado haeleweki piga chini tafuta mwamba mwengine anayejielewa
 
Ebu njoo PM nikuambie kitu...๐Ÿ˜‹
 
Si uliache umeambiwa ukifa utazikwa naye??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ