Nilikutana chuo na mme wng,alionesha kunipenda na kunijali sana,tukaanza kuishi akiwa maskini sana tukawa tunaungaunga maisha,Mungu akasaidia tuna vihela vya mboga,hamna rangi naacha kuona jamani,nna kila kitu ndani ila nna majuto sana,kanifanya nijione sina thamani,moyo wangu una maumivu na majeraha saaaana,nna uchungu Moyoni ilikhali yeye haoneshi kujali hata kidooogo,kanenepa ananioneshea mifano ya wanaume wengine wanaochepuka na wake zao hawalalamiki,anajiona yuko sahihi,ama hakika binadam wanabadilika!!!