Ulioa au kuolewa ukiwa na umri gani?


Sasa hivi una miaka mingapi? Kwenye ndoa?

Pengine inakusubiria ufikishe miaka 12 ndio ndoa ivunjike!!!! Laana inasaka 12 years
 
Kipindi ukiwa na umri gani ndo uliamua KUOA AU KUOLEWA?

✨Ulimpata wapi your partner?


HAPO ONGEZEA ULIMPATA WAPI HUYO MWENZA WAKO?
Nimeolewa mwaka 1975,
Nikiwa na Miaka 20
Nilimpata kanisani, sio mchungaji ila tukikutana kanisani, tukapenda, mpaka sasa ndoa ya Miaka 48 na wajukuu 10, mjukuu WA mwisho yupo form 4
Mungu NI mwema
 

Hongera mkuu kwa experience nzuri ila kwenye ushauri tutachanganya na zetu pia 🙏🏽🙏🏽
 
Nimeoa nikiwa na miaka 27 mke wangu akuwa na 24, mpk sasa nina miaka ya ndoa 7 na nmebarikiwa watoto watatu mungu ni mwema nafuraia maisha ya ndoa sana. Wito wangu kwa vijana wa kataa ndoa msipende kusikiliza maneno mara eti kataa ndoa hapana ndoa ni jambo zuri sana tafuta mtu ambae mnaendana fanyeni maisha yangu ni ayo tu.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana mkuu
 
Mwanangu nitapokonya kutoka kwa mama yake, na matunzo nitampa mama yangu kwaajili ya mwanangu.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
yaani Mama yako kakulea wewe na ndugu zako kawafikisha ukubwani mkiwa na afya njema, badala mumpe muda sasa na yeye apumzike uzeeni kwake na ninyi ndiyo mumtunze, ndiyo kwanza mnaenda kumbebesha tena jukumu la kulea wajukuu..!!

afadhali basi iwe imetokea mambo ambayo yapo juu ya uwezo wenu hiyo inaeleweka, lakini unaenda 'kumpokonya' mtoto kwa mama yake unampelekea hekaheka tena bibi wa watu, hivi huwa hamna huruma na wazazi wetu..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…