fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Uzushi,uongo na propaganda feki haziwezi kukufikisha kokoteMaajabu ya Samia hayo!
Kwamba eti alipata kura zaidi ya milioni 31.
Ambazo eti ni 97.6% ya kura zilizopigwa.
Ila cha ajabu, akajiapisha uani na kuwanyima fursa hao wapiga kura wake milioni 31 kusherehekea huo ‘ushindi’ wake.
Leo ni maadhimisho ya 64 toka Tanganyika ipate uhuru.
Ni siku kubwa.
Lakini cha ajabu tena, yeye huyo Samia [sitomuita Rais kwa sababu hakuna aliyemchagua awe rais] leo yuko mafichoni.
Hajulikani alipo. Kajificha 😀.
Sikumbuki mara ya mwisho Rais wa Tanzania kujificha siku ya uhuru.
Ama kweli huyu Samia ni mtu tofauti sana.
Hata yale maonyesho ya wale makomandoo wake, wale ambao huwa wanaruka ruka na kuigiza kupigana huku wamejipaka masizi usoni na kubeba mabegi yao ya mgongoni, leo hakuna 😀.
GenZ wa Tanzania kiboko aisee.
Yaani they are basically calling the shots.
Hey Samuya, where are you? 😂
Angeolewa kama wewe ulivyofanya?Kwenda zako huko na Maujinga yako. Naona baada ya maandamano yenu uchwara kushindwa vibaya mnaanza kuleta mahasira yenu na kutapatapa kama mfa Maji. Nadhani sasa Mmeelewa kuwa Taifa letu halichezewi na Rais wetu hana utani linapokuja suala la kulinda Amani ya Taifa letu. Ungepeleka pua lako barabarani kuandamana ili ukione cha Mtema kuni.
Maajabu ya Samia hayo!
Kwamba eti alipata kura zaidi ya milioni 31.
Ambazo eti ni 97.6% ya kura zilizopigwa.
Ila cha ajabu, akajiapisha uani na kuwanyima fursa hao wapiga kura wake milioni 31 kusherehekea huo ‘ushindi’ wake.
Leo ni maadhimisho ya 64 toka Tanganyika ipate uhuru.
Ni siku kubwa.
Lakini cha ajabu tena, yeye huyo Samia [sitomuita Rais kwa sababu hakuna aliyemchagua awe rais] leo yuko mafichoni.
Hajulikani alipo. Kajificha 😀.
Sikumbuki mara ya mwisho Rais wa Tanzania kujificha siku ya uhuru.
Ama kweli huyu Samia ni mtu tofauti sana.
Hata yale maonyesho ya wale makomandoo wake, wale ambao huwa wanaruka ruka na kuigiza kupigana huku wamejipaka masizi usoni na kubeba mabegi yao ya mgongoni, leo hakuna 😀.
GenZ wa Tanzania kiboko aisee.
Yaani they are basically calling the shots.
Hey Samuya, where are you? 😂
Kumbe we jamaa ni mwe hu kiasih hiki!!?Ni siku kubwa.
Maneno ya mfa maji asiyeacha kutapatapa!! Imbecile creature!!
Nchi haiwezi angamizwa na mbwa kama nyie then tuangalie tuu!! Wengi mnaongozwa na chuki binafsi zilizopitiliza wivu na kijicho!!
Mlijipanga sana kiko wapi? Nilijua mlivyolia yaliyowapata tarehe 29 October hamjakoma kumbe kisu kiliingia kwenye mfupa!!
Samia yupo ikulu kama ambavyo nyie mbweha mlizusha ile siku kuwa kakimbia nchi!! Eti kajificha lini Rais wa nchi hii alizagaa hovyo barabarani? Halafu kuahirishwa sherehe za uhuru haikuanza leo miaka mingi tu tangu enzi za Magufuli hizi sherehe ziliahirishwa na bajeti kuelekezwa pengine!!
Mtakufa nacho kijiba cha roho Samia is there to stay shwain!!
Hizi propaganda tumeshazisikia miaka na miaka sasa, badilisheni santuri hiki ni kizazi tofauti!Tanzania katika utajiri ilionao imezungukwa na maadui wa humu afrika na huko ughaibuni. Haijaanza leo wala jana kupambana na maadui wanaotukwaza na vita itaendelea hata baada ya hawa vijana wa Gen Z wakishakuwa watu wazima tayari.
Mti wenye matunda mazuri hupigwa mawe, tutaendelea kuyakwepa hayo mawe yao.
Tanzania imesaidia kupatikana kwa uhuru wa mataifa mengi ya kusini mwa afrika.Hizi propaganda tumeshazisikia miaka na miaka sasa, badilisheni santuri hiki ni kizazi tofauti!
Wiki moja kabla Polisi walipiga marufuku maandamano.Mkuu wa Polisi mpaka tarehe 8 jioni hajapata barua ya maandamano, hafanyi kazi kwa kutegemea posts za instagram, ofisi yake haitakiwi kuchukuliwa poa tu.
Sheria ipi ya nchi inasema anayeandamana auawe!Maandamano wayafanyie humu humu JF na instagram huko barabarani watatafuta kifo wakiwa vijana wadogo.
Hii ndio njia ya kuponya majeraha na kulileta Taifa pamoja? Kwani huelewi malalamiko yalipelekea hii ''tipping point'.Hatutaki tena kuwaonea huruma akina mama wanaolia baada ya kutowaona watoto wao kwa siku kadhaa!.
Mimi ni amiri jeshi mkuu. Kibati kikipasuka tupo nao tumejipangaUmesahau kwamba yeye alikuwa mgombea, Je, una uhakika gani kwamba yeye ndo alitoa order kuhusu kilichotokea? Na kwa wale waliohamasisha watu kufanya fujo wao wako salama?
Ndo maana nasema hili suala halihitaji mihemko ya kisiasa na ICC hawafanyi kazi kwa mihemko.
Yalipigwa vita maandamano baada ya kauli kama vile yatakuwa maandamano yasiyo na mwisho mpaka Samia atoke madarakani. Vijana walitaka kuleta usumbufu kazi zisifanyike uchumi wa jumla na mtu mmoja mmoja uathirike!.Wiki moja kabla Polisi walipiga marufuku maandamano.
Sheria ipi ya nchi inasema anayeandamana auawe!
Hii ndio njia ya kuponya majeraha na kulileta Taifa pamoja? Kwani huelewi malalamiko yalipelekea hii ''tipping point'.
That's what is called collateral damage. Polisi walipaswa kuongoza maandamano ili kudhibiti wanaokwenda kinyume, walikaa juu ya majengo!Hayakuwa maandamano yaliyotokea tarehe 29 October, hakuna maandamano ambayo vitega uchumi vya watu vinateketezwa kwa moto.
Jiulize kwanini inatokea hivyo! kuna grievances katika jamii kwasababu ya inequalities. Jamii inapokuwa frustrated ndio matkeo yake. Jiulize kwanini wanamhusisha JK!Hakuna maandamano unachoma vituo vya petrol vya Lake Oil kisa tuhuma kwamba JK ni mmoja wa wamiliki, matokeo yake unaumiza zaidi ya familia 1,000 za wafanyakazi.
Bila takwimu nani ataamini kuna Polisi aliyeuawa! , kuna Wananchi waliouawa, Polisi wamesemaHakuna maandamano unachoma vituo vya polisi na kuwauwa baadhi yao, utataka takwimu lakini sitaweza kukupa na ushahidi upo mwingi.
With all due respect this is utterly nonsense. This kind of propaganda is archaic, outdated and distasteful.Hayakuwa maandamano yalikuwa mapinduzi ya umma ambayo chanzo chake ni nguvu za washindani wetu kiuchumi.
Kuna tatizo kati ya Wananchi na Serikali, halafu Tume inaundwa na Serikali.Tume aliyoiunda Mheshimiwa SSH hivi sasa inaongea na wahanga wa yanayoitwa maandamano muda huu.
Hayakuwa maandamano kwa maana tuliyoizoea, Serikali isingekuwa makini ilikuwa inapinduliwa jioni ile ile ya tarehe 29 October.That's what is called collateral damage. Polisi walipaswa kuongoza maandamano ili kudhibiti wanaokwenda kinyume, walikaa juu ya majengo!
Jiulize kwanini inatokea hivyo! kuna grievances katika jamii kwasababu ya inequalities. Jamii inapokuwa frustrated ndio matkeo yake. Jiulize kwanini wanamhusisha JK!
Bila takwimu nani ataamini kuna Polisi aliyeuawa! , kuna Wananchi waliouawa, Polisi wamesema
Swali kwanini takwimu zinafichwa badala yake tunaletewa takwimu za bajaji na boda boda!
Kumbuka jukumu la kwanza la Serikali ni kulinda WATU na ipo embedded katika Katiba.
With all due respect this is utterly nonsense. This kind of propaganda is archaic, outdated and distasteful.
Chanzo kinajulikana wala si uchumi hata kwa bahati mbaya.
Propaganda zina namna zake , ni kazi ya kitaalamu not every Tom , Dick and Harry can do it.
Please stop propagating this nonsense
Watanzania wa leo si wale wa Mwinyi au Nyerere. Kuwadharau kwamba hawajui na wanadanganyika ni kuwadhalilisha. Hiki ni kizazi tofauti kabisa acheni kufanya masihara.
Kuna tatizo kati ya Wananchi na Serikali, halafu Tume inaundwa na Serikali.
Ilikuwa ipinduliwe na nani?Hayakuwa maandamano kwa maana tuliyoizoea, Serikali isingekuwa makini ilikuwa inapinduliwa jioni ile ile ya tarehe 29 October.
Wakenya hawahusiki na lolote la MO29.Naamini kuna nguvu kubwa kutoka kwa majirani zetu katika kuhakikisha tunakwama kumalizia kujenga miradi yetu. Kuna mradi wa Tanga mpaka Uganda unaendelea kujengwa huko mikoani. Kuna mradi mkubwa wa gesi kule Lindi.
Bandari ya Tanga imefanyiwa ukarabati wa shilingi bilioni 580 foleni ya malori ya kuchukua mizigo Dar imehamia kule Tanga, usidhani wakenya wanafurahia kuona bandari yao ya Mombasa inapata ushindani kutoka kwa bandari ya Tanga na hapo hatujaongelea bandari ya Bagamoyo ambayo itaanza kujengwa hivi karibuni.
Majirani wanapambana kutuchafua lakini Tanzania ipo imara siku zote. Bila kile kikosi maalum kuingia na kuanza kutuliza ghasia ile kauli ya Tundu Lissu ya kukinukisha ilikuwa inatimia.
Good, unakiri risasi zilifanya kazi. Unakubali waliuawa watu, usichosema ni wangapiInapotolewa amri ya kutotembea zaidi ya saa 12 jioni, maana yake hali huko mtaani haifai kwa asiyehusika. Huko mtaani unakuwa ni mwendo wa risasi tu. Haya ni masuala tunatakiwa tuyajue sio kubweteka na amani siku zote kumbe jirani yetu anatupiga sana vita.
Huyo mwanajeshi alifunguliwa kesi mahakama gani!Kumbuka alikamatwa mwanajeshi pale mpakani akiwa na mabomu na silaha nyingine, huyo ni askari wa zamani wa jeshi la Marekani.Lengo la silaha zile ni kutaka zitumike tarehe 9 Desemba, tayari kuna uhusiano kati yake yeye mwanajeshi na kile kikundi cha wapuuzi wa kitanzania waliokuwa wakitunzwa hotelini kule Nairobi wakiandaa uasi dhidi ya Tanzania.
Mange anakuwa vipi na ushawishi kwa Umma kuliko serikali yenye kila kitu! Kwanini umma ukubali ushahiwishi wa Mange na si ushawishi wa viongozi wengi na wenye nguvu kuliko MangeKule USA Mange kakatiwa mawasiliano na META, hawezi kuingia whatsapp na hatarudishiwa tena mawasiliano na mtandao huo baada ya yule mama bosi wa META kuapa kutomrudishia mawasiliano hayo. Mama wa kizungu alitoa machozi wakati anaambiwa unyama anaoufanya Mange kwa Tanzania nchi aliyozaliwa Baba yake Mzazi marehemu Kimambi.
Hivi unajua mwiko umevunjwa? Do you think it's the same Tanzania!Juhudi inayofanywa na maafisa wa juu wa serikali ya JMT angalau imepunguza uasi wa Mange, aliyetumia page zake za instagram katika kuipiga vita Tanzania. Vinginevyo hata hiyo tarehe 9 Desemba na tarehe 25 siku ya krismasi angeiweka Tanzania kwenye wakati mgumu.
Umeamua kuanzisha ligi isiyo na sababu lakini ukweli ni kwamba Kenya wanatupiga sana vita, mengi ya kiusalama hayawezi kuandikwa humu.Ilikuwa ipinduliwe na nani?
Wakenya hawahusiki na lolote la MO29.
Mzee Warioba na Butiku si walitaka kutafuta suluhu wakapigwa stop! Wakenya wanahusikaje
Ukiwasiliza Wananchi, malalamiko yao ni ''utekaji na upoteaji wa watum, suala la rasilimali, kufuru ya viongoz katika matumizi ya fedha za ummai, uminyaji wa Demokrasia, kufungiwa shughuli za vyama vya siasa kupitia mahakama na kukamatwa viongozi wa Upinzani bila sababu''
Haya yanawahusu vipi Wakenya? Mzee Warioba na Butiku ni Wakenya
Good, unakiri risasi zilifanya kazi. Unakubali waliuawa watu, usichosema ni wangapi
Huyo mwanajeshi alifunguliwa kesi mahakama gani!
Mange anakuwa vipi na ushawishi kwa Umma kuliko serikali yenye kila kitu! Kwanini umma ukubali ushahiwishi wa Mange na si ushawishi wa viongozi wengi na wenye nguvu kuliko Mange
Hivi unajua mwiko umevunjwa? Do you think it's the same Tanzania!
Hakuna mahali katika bandiko tumeeleza ugumu wa maisha. Tualichosema ambacho Wananchi wanawaambia viongozi na ambacho kipo midomoni mwa jamii ni haya;Huo ugumu wa maisha kwa nchi hii haujaanza jana wala juzi umekuwepo kila awamu ya kila rais.
Uelewe vijana wa leo si wa 80,70 au 60. Dunia imebadilika, wanaona na wanajua.Vijana wanajazwa sana habari hasi zenye harufu ya uchochezi matokeo yake hawawezi kuona mengi mazuri ambayo ni fursa kwa maisha yao.
Yalirudisha heshima? Hivi unaifahamu chuki iliyopo mitaani?Wasingeuliwa watu huko mtaani, wale wapuuzi wangepindua nchi, yale mauaji ingawa ni haramu lakini yalisaidia kurudisha heshima kati ya wananchi wa kawaida na mamlaka ya kiserikali.
Tunasheria za uhalifu hakuna inayosema Watu wauawe wakifanya uhalifu. Sheria zetu zinaruhusu watu kunyongwa si kwa hiari ya Askari bali idhini ya mamlaka ya Mahakama. Kazi za Polisi ni kuwaweka wahalfu chini ya ulinzi na kuwafikisha mbele ya sheria. Hawaruhusiwi hata kupiga kwaAkili zile zile za kizungu, kwamba anayechoma moto treni ya mwendokasi ana haki ya kuendelea kufanya hivyo lakini anapopigwa risasi na kufa basi serikali inaingia lawamani kwa vifo vya raia, vipi kuhusu ubaya wa malengo ya hao raia kwa mustakabali mzima wa uwepo wa Dola?.