Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

Kawaida tu tena ilikua night kama saa tano au sita nipo ferry napiga tangawizi na stori kibao kwenye kativii basi akaja dem toka kwenye pantoni wakati tunaenda geto akaniambia rais kafa sikumtilia maanani nikasema stori zote nitapata kesho jioni kwenye kahawa na kweli jioni nikaenda kupata stori nzima na yale niliokua siyajui japo sikutilia maanani stor za kahawa uongo mwingi na ferry kila mtu unamuhofia kuropoka watu wanajichunga sana
 
Nilikua nipo Lodge na Mwanadada Fulani mzuriiii amenona mapaja kwelikweli.

Nikiwa nmeshapiga kamoja, tupo kwenye mchakato wa Cha pili, TV ikiendelea ,ghafla Samia huyo!!.

Kiukweli hata kupiga shooo nilishindwa, Moyo ukatetemeka, nguvu siku nazo huku machoz yananitoka, na ukiwaa yaaan kulala sikulala na shooo ikaishaaa Asubuhi tukasepa.



Kwann niliumia ? Niliwaza ,hivi ndivo tunarudi kwenye Tanzania ya miaka 10 nyuma?....japo zilikua nihisia, ila ndio kumbe nilikua kweli
 
Sikua na huzuni yoyote wala furaha kwasababu hakukua na ukaribu wowote kati yangu na yeye wala uhusiano wa kindugu, ugumu na wepesi wa maisha yangu haujawahi kutatuliwa na rais yoyote zaidi ya Nyerere aliyetupatia huduma za afya na elimu bure.

Maisha ni mapambano yako mwenyewe na sio rais I aliyoko madarakani, hats yeye Magufuli alihimiza sana watu kufanya kazi,kwa maana nyingine hakutaka watu wamtegemee yeye.
 
Umenikumbusha Yule mzee aliposema..tumuombe Mungu amshukuru Magufuli..
 
Aisee ninakumbuka ulikuwa wakati wa UE aisee nililia mtu mzima nikapoteza ufanisi siku hiyo kwenye mtihani.it was the saddest day.
Wewe ulikuwa na upendo zaidi ya mama janet aliyekuwa anatabasamu siku mwili unaagwa chato?
 
Ilikua ni habari ya kusikitisha lakini kwa muda mchache tulisahau na kumshukuru Mungu kwa kutuletea mkombozi wa Tanzania Rais Samia Suluhu aliyekuja kuimboa Tanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii
 
Mbona huulizinwa MKAPA ambazo ulikuwa wa ghafla?
Wa huyu tuliambiwa na Waziri Mkuu kwamba yuko fiti anafanya shughuuli kama kawaida! mnamtaka aende Kariakoo mmuone huko?
Daah hii ni wiki Moja mbaya sana!
 
Nikifupisha habari yako kwa neno moja ni kuwa
ulifurahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…