Ulipokuwa mtoto ulitamani ukiwa Mkubwa uwe nani?

Sikuwahi kuhisi kubadilika pale ntakapokua mkubwa, nliamin hata ukubwani ntabaki kua mimi
 
yaani ile exchange ya unampa mtu bidhaa anakupa hela nilikua naipenda sanaπŸ˜€.. πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Ndoto za watoto wengi huzimwa na wazazi, ama umasikini au uzembe na kutokuwapa ushirikiano watoto wao
Mtoto unamuona tangu mdogo anapiga mpira vizuri ila wewe unampiga na kumwambia anajichafua
Wenzetu wengi wa watoto wanafanikiwa kufanya walichokuwa wanapenda kuwa tangu utotoni
Jana nimemuona mdada mmoja tangu alipokuwa ana miaka 12 alikuwa anapenda kuwahudumia watoto na leo anafanya kazi ya ndoto yake

Mimi nilipenda sana kuwa mjeda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…