Ulipokuwa mtoto ulitamani ukiwa Mkubwa uwe nani?

Fanya uwe kama Macron.
 
seremala/sonara
mikono yangu ina ustadi sana,

mpira, mbio na ulengaji wa shabaa nilikua namarafiki zangu wana hivo vipaji, hadi nikawa nawaonea wivu muda huo mm sijui kipaji changu
Ila now si upo sehemu alhamdullilaah
Maana kila kitu kinatokea kwa sababu..

Kuna uzi mmoja sikumbuki ni upi ila niliona una shusha sana nondo nikawa nasema jamaa upo smart sana kichwani aiseee
 
Mimi nilitamani sana kuwa dereva. Enzi hizo magari yalikuwa machache sana kiasi kwamba unaweza kutambua gari la nani linapita kwa kusikia mlio tu na ubadilishaji wa gia. Nashukuru Mungu nilianza kujifunza udereva nikiwa darasa la sita tu. Sikuwahi kuwa proffesional driver lakini hadi sasa kila nikiendesha gari nakuwa nimetimiza ndoto yangu. πŸ˜‚
 
Kipindi hcho baiskeli zinalipiwa insurance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…