Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Mi naolewa namtu ambaye nitampa mapenzi matamu nitapata penzi tamu sana hadi achanganyikiwe
Hata wanasiasa huwa wanatupa ahadi Kama hizi kipindi Cha uchaguzi ila baada ya uchaguzi mambo huwa tofauti
Mi navo iomba huwa nalia kama Beberu,🐐..yaaani we acha tu😊
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unaianzia mbaaaali
 
Kuna changamoto nyingine umri wa makamo.

Wakati wake wameshapoteza mvuto wa ujana. Wanaume wengi huanza kutoka na wanawake wenye umri mdogo utakuta anampangia hadi geto au nyumba.

Hiki ndio kipindi wanawake wengi husalitiwa sana na waume zao
Kimsingi hakuna formula maalumu
 
You are well noted
 
Ambia moyo wako kuwa chochote kinaweza kutokea kwenye ndoa yako ,hivyo utakuwa tayar kukabiliana na matatizo yote yanayoweza jitokeza tena kwa nidhamu ...naukawa mshindi mwisho wa siku . Kataa roho chafu ndugu
Kweli kabisa
 
Sikukatishi tamaa lakini nasikitika kukuambia hiyo ndoa yako siyo ndoa. Narudia tena siyo ndoa na sidhani kama itadumu. Inaonekana huyo mwenza wako hamuendani kabisa na pengine ulilazimisha kumuoa na yeye huenda alikubali tu ili mradi aolewe. Hiyo indicator ya kusema unapangiwa siku za sex tena ndoa bado mpya kabisa ni kidhibitisho kuwa mwanamke haridhiki na wewe.
 
yaa umeongea UKWELI wa 80 asilimia ya ndoa nyingi hapo ndipo neno upendo linapoleta maana kama unampenda sana utakua ukisamehe na kujifanya huyaoni yote hayo mabaya kwa ukubwa
 
Unavyonibishia ndo unazidi kuonyesha madhaifu yako. Wewe unadhani akili za mwanamke ni kama zako? Hivi pia ndo unavyombishia mkeo... acha aendelee kukunyima papuchi na wahuni wamtundike mimba. Acha ujinga aisee
Katika vitu ambavyo sitacheka naye, kwenye Hilo la kuchepuka

Atafanya ujinga wote ila hapo hatotoboa
 
9
Unavyonibishia ndo unazidi kuonyesha madhaifu yako. Wewe unadhani akili za mwanamke ni kama zako? Hivi pia ndo unavyombishia mkeo... acha aendelee kukunyima papuchi na wahuni wamtundike mimba. Acha ujinga aisee


Hakuna haja ya kuishi na mwanamke asiyefuata falsafa zangu

Ni swala la muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…