mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Ticha wa makete au???Kama Konde Boy... Ticha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ticha wa makete au???Kama Konde Boy... Ticha.
Ahahahh umenichekesha as2That's was not your cup of tea.
Focus na hapo ulipo, ila ujitahidi kutovunja amri 10 za Mungu
Mbona Babu yenu najitahidi kutovunja, msije kunionea gere kule Peponi iwe kama kisa cha Tajiri na Masikini Razaro 🤪Ahahahh umenichekesha as2
Utakapo kuwepo na mm nipoMbona Babu yenu najitahidi kutovunja, msije kunionea gere kule Peponi iwe kama kisa cha Tajiri na Masikini Razaro 🤪
Hahaha.........ndiyo ujitahidi kutovunja amri kumi za Mungu kama Babu yako hapa 🤪Utakapo kuwepo na mm nipo
Sawa baba nimekuelwaHahaha.........ndiyo ujitahidi kutovunja amri kumi za Mungu kama Babu yako hapa 🤪
Vizuri Mkuu 🥂Sawa baba nimekuelwa
Leo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania.
Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine.
Nilivyofika form 1 ndo nikajua kumbe sio kama nilivyodhani, hapo nikapata mawazo ya kua mwanauchumi mpaka sasa napambania ndoto yangu.
Mliotimiza ndoto zenu nyoosheni mikono juu tuwapigie makofi!😹
hii ndoto mbona inatimia hii uskate tamaaRubani ila wahenga hawakukosea waliposema mipango si matumizi
Mungu akupe kazi yako!Nilivokua mtoto primary hivi nilikua natamani kuwa "mwalimu" hii ni baada ya kula fimbo nyingi shule nikawa naona walimu wanafaidi kuchapa so nilikua napenda ualimu kipengele cha fimbo,
Nikawa napenda kazi ya kuuza duka ile exchange ya vitu afu unapewa hela nzuri sana😀😀
Baada ya kujitambua sasa nikawa napenda kuwa Banker, namshukuru Mungu ndiyo nilichosomea ila kazi sasa ndiyo nimeswitch kidogoo,ila fresh tu😧