Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

wewe tukuaminije???
 
Mtoa mada nimemuelewa alivyosema kuwa hawa watu huabudu shaytan na si Mungu wa nuru kama madhehebu ya kawaida yanavyofanya. Na pia amesema ili uwe mmoja wao lazima uamini uwepo wa Mungu kisha umkane kwa kuiuza nafsi yako kwa shetani. Kitu ambacho kinaingia akilini kwa sababi lengo la Mungu kumuumba mwanadamu ni kumtaka mwanadamu amtumikie yeye, ila lengo la shaytan ni kutafuta wafuasi wake wa uhakika wakapate mateso ya milele huko kuzimu.

Kabla ya kukubali kwamba huyu jamaa ni tapeli nakuomba unijibu maswali yafuatayo:
Umesema hawatoi kafala ila je unakubali kuwa ni lazima uiuze nafsi yako kwa shetani ili uwe mfuasi wao?

Je, ni wajenzi huru wa kitu gani na wanajenga kwa manufaa ya nani?

Umesema hapo awali walikuwa chini ya kanisa la roma kabla ya mtafaruko. Je hivi sasa wana uhusiano wowote na wanachokiabudu kiroho na kanisa la roma?
 
Hadi sasa sijajibiwa swali langu hata moja[emoji706][emoji706][emoji706]
 
DP World ni Freemasons
 
Angalau nimekuelewa[emoji1545]
 
Kwani unauhusiano gani na wale wazee wa msitu wa Shakahola😂😂😂
 
walikuwa mafundi ujenzi wa majumba na mahandaki ya kuhifadhia mali za kanisa katoliki,GOd? Sijafatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…