Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

HUYU JAMAA NI TAPERI KWA ANAYE TAKA KUJUA FREEMASON NI KINA NANI ATEMBELEE web yao.huyu jamaa naona mwishowe ata tapeli watu ,kwa mjibu wa wao ,unaweza ukajiunga na uka amua utakuwa mwanachama kwa miaka mingapi,kama hulidhiki nao unajitoa,hakuna kafara,na kama unajiunga upate utajili hukubaliwi ila ukiwa fundi ujenzi kama unanawa.freemason walikuwa chini ya kanisa la roma ,hawa ni mafundi ujenzi walobobea ambapo walikuwa wanajenga mahekalu ya kanisa la roma,baadae waliingia vita na kanisa la roma wakafukuzwa,ika undwa jesuit kama mbadala wao,wakahamia marekan waka jenga washington dc,kanisa la roma lina bifu nao coz nasikia waliiba shehena za dhahabu kuanzia hapo waumini wakaambiwa ni wafuas wa shetani hivyo wawaepuke, huyo jamaa mleta mada anaonekana haelewi chochote,nasikia halufu ya kutapeliwa watu.kama unataka kuwajua kwanini usizame hapa ? www.dgleastafrica.com
wewe tukuaminije???
 
Mtoa mada nimemuelewa alivyosema kuwa hawa watu huabudu shaytan na si Mungu wa nuru kama madhehebu ya kawaida yanavyofanya. Na pia amesema ili uwe mmoja wao lazima uamini uwepo wa Mungu kisha umkane kwa kuiuza nafsi yako kwa shetani. Kitu ambacho kinaingia akilini kwa sababi lengo la Mungu kumuumba mwanadamu ni kumtaka mwanadamu amtumikie yeye, ila lengo la shaytan ni kutafuta wafuasi wake wa uhakika wakapate mateso ya milele huko kuzimu.

Kabla ya kukubali kwamba huyu jamaa ni tapeli nakuomba unijibu maswali yafuatayo:
Umesema hawatoi kafala ila je unakubali kuwa ni lazima uiuze nafsi yako kwa shetani ili uwe mfuasi wao?

Je, ni wajenzi huru wa kitu gani na wanajenga kwa manufaa ya nani?

Umesema hapo awali walikuwa chini ya kanisa la roma kabla ya mtafaruko. Je hivi sasa wana uhusiano wowote na wanachokiabudu kiroho na kanisa la roma?
 
Hadi sasa sijajibiwa swali langu hata moja[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa.

View attachment 2652303
Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo 2005, Machi 26. Na kupewa namba 9794. Sir jayantilal keshavij chande ndiye mzinduzi na mwenyekiti wa jumuiya ya FREEMASONRY afrika ya mashariki.

Karibuni kwa maswali, hoja na mjadala ndugu watanzania.
DP World ni Freemasons
 
Mtoa mada nimemuelewa alivyosema kuwa hawa watu huabudu shaytan na si Mungu wa nuru kama madhehebu ya kawaida yanavyofanya. Na pia amesema ili uwe mmoja wao lazima uamini uwepo wa Mungu kisha umkane kwa kuiuza nafsi yako kwa shetani. Kitu ambacho kinaingia akilini kwa sababi lengo la Mungu kumuumba mwanadamu ni kumtaka mwanadamu amtumikie yeye, ila lengo la shaytan ni kutafuta wafuasi wake wa uhakika wakapate mateso ya milele huko kuzimu.

Kabla ya kukubali kwamba huyu jamaa ni tapeli nakuomba unijibu maswali yafuatayo:
Umesema hawatoi kafala ila je unakubali kuwa ni lazima uiuze nafsi yako kwa shetani ili uwe mfuasi wao?

Je, ni wajenzi huru wa kitu gani na wanajenga kwa manufaa ya nani?

Umesema hapo awali walikuwa chini ya kanisa la roma kabla ya mtafaruko. Je hivi sasa wana uhusiano wowote na wanachokiabudu kiroho na kanisa la roma?
Angalau nimekuelewa[emoji1545]
 
Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa.

View attachment 2652303
Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo 2005, Machi 26. Na kupewa namba 9794. Sir jayantilal keshavij chande ndiye mzinduzi na mwenyekiti wa jumuiya ya FREEMASONRY afrika ya mashariki.

Karibuni kwa maswali, hoja na mjadala ndugu watanzania.
Kwani unauhusiano gani na wale wazee wa msitu wa Shakahola😂😂😂
 
Mtoa mada nimemuelewa alivyosema kuwa hawa watu huabudu shaytan na si Mungu wa nuru kama madhehebu ya kawaida yanavyofanya. Na pia amesema ili uwe mmoja wao lazima uamini uwepo wa Mungu kisha umkane kwa kuiuza nafsi yako kwa shetani. Kitu ambacho kinaingia akilini kwa sababi lengo la Mungu kumuumba mwanadamu ni kumtaka mwanadamu amtumikie yeye, ila lengo la shaytan ni kutafuta wafuasi wake wa uhakika wakapate mateso ya milele huko kuzimu.

Kabla ya kukubali kwamba huyu jamaa ni tapeli nakuomba unijibu maswali yafuatayo:
Umesema hawatoi kafala ila je unakubali kuwa ni lazima uiuze nafsi yako kwa shetani ili uwe mfuasi wao?

Je, ni wajenzi huru wa kitu gani na wanajenga kwa manufaa ya nani?

Umesema hapo awali walikuwa chini ya kanisa la roma kabla ya mtafaruko. Je hivi sasa wana uhusiano wowote na wanachokiabudu kiroho na kanisa la roma?
walikuwa mafundi ujenzi wa majumba na mahandaki ya kuhifadhia mali za kanisa katoliki,GOd? Sijafatilia
 
Back
Top Bottom