HUYU JAMAA NI TAPERI KWA ANAYE TAKA KUJUA FREEMASON NI KINA NANI ATEMBELEE web yao.huyu jamaa naona mwishowe ata tapeli watu ,kwa mjibu wa wao ,unaweza ukajiunga na uka amua utakuwa mwanachama kwa miaka mingapi,kama hulidhiki nao unajitoa,hakuna kafara,na kama unajiunga upate utajili hukubaliwi ila ukiwa fundi ujenzi kama unanawa.freemason walikuwa chini ya kanisa la roma ,hawa ni mafundi ujenzi walobobea ambapo walikuwa wanajenga mahekalu ya kanisa la roma,baadae waliingia vita na kanisa la roma wakafukuzwa,ika undwa jesuit kama mbadala wao,wakahamia marekan waka jenga washington dc,kanisa la roma lina bifu nao coz nasikia waliiba shehena za dhahabu kuanzia hapo waumini wakaambiwa ni wafuas wa shetani hivyo wawaepuke, huyo jamaa mleta mada anaonekana haelewi chochote,nasikia halufu ya kutapeliwa watu.kama unataka kuwajua kwanini usizame hapa ?
www.dgleastafrica.com