Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Je kuna uwezekano wa kumtambua mwanachama wa freemason kwa kumuangalia tu, kama ni ndio je ni sifa zipi zinazomtambulisha kuwa huyu ni mmoja ya wanachama.
Ukimwona mtu amevaa kofia, tisheti au shati ama kwenye gari yake ameweka stika, kwa maneno haya, 2B1 ASK 1. huyo ni wakala wa chama, au mtu akivaa Pete au mkufu wa alama ya bikari au pembe tatu na jicho huyo ni mwanachama. Mfuate akusaidie kuingia.
 

Hakuna unachojua kuhs freemason, ile ni illuminat religion. Kafara lazima utoe, utake usitake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naishia hapahapa

Etc niwe na blufcase sasa ya nini
 
Watu mnaowaua/kuwatoa kafara huwa mnawahifadhi wapi na wanafanya kazi gani ?

Maana naskiaga wanatoweka tu duniani physically ila huko mnakuwa nao kwenye ulimwengu wenu wa maajabu
 
Watu mnaowaua/kuwatoa kafara huwa mnawahifadhi wapi na wanafanya kazi gani ?

Maana naskiaga wanatoweka tu duniani physically ila huko mnakuwa nao kwenye ulimwengu wenu wa maajabu
Kabla hujatawazwa kuwa mwanachama Basi kuna kiapo unasema, MBELE DAIMA, NYUMA MWIKO. Hakuna kurudi nyuma hivyo ukirudi nyuma inakuwa umekiuka masharti upaswa kufa. Kisha utapelekwa kwa mkuu wa Giza mwenye kutoa mwanga katika ulimwengu, atakuhifadhi katika malazi yake huko kuzimu. Atakupa mateso makali Sana.
 
Duuuuh[emoji3061]
 
Hivi bado mnafirana kama ilivyo kwa Diddy na Usher Raymond pia Will Smith ama Alsina ?

Kwanini member wote nakuwa na kupewa maagiza ya kuwa wa penzi wa Jinsia moja ?

Kwanini Enter detainment mnaitumia kulaani maisha ya watu huku mkiwa mnaosema mnawaburudisha ?

Kwanini mnapinga uwepo wa Mungu huku mnasema Be ya own God ?
 
Asante sana mkuu lazima nitatembelea taasisi yenu
 
Believe in supreme being. Maana take lazima uamini uwepo wa Mungu Mwenyezi, Mtukufu na mwenza katika Mambo yote mema katika ulimwengu na mbingu.

Bila kujali ni dini gani, ukristo au uislamu, mpagani haruhusiwi kwa sababu hana Mungu ndani yake hakuna anacho amini.
 
Unaongelea version gani ya Mungu
 
Asante sana mkuu lazima nitatembelea taasisi yenu
Kwa mwezi huwa Mara 1 tunakutana katika ukumbi kujadiliana maswala kadhaa. Unaweza kutafuta mwaliko wa mlo wa jioni kuifahamu mengi kuhusu chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…