Uliza swali lolote kuhusu Mzumbe, wahenga tutakujibu

ok mkuu tuko pamoja, nyaruba hafai yule pia yupo kijana mmoja wa ppp (managing partinership in public service ) nae hafai aseee
Kesale

the great
 
Hujui kiu? Bas ww sio mhitimu wa mzumbe utakua ulisoma ile sekondari ya adrian mukoba njia ya kwenda changarawe

Sent from koromije using bashite
 
Hujui kiu? Bas ww sio mhitimu wa mzumbe utakua ulisoma ile sekondari ya adrian mukoba njia ya kwenda changarawe

Sent from koromije using bashite
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu hiyo kiu iliisha

the great
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu hiyo kiu iliisha

the great
Ah! Bas utam wa mzumbe umeisha, kiu ni tamu sana hasa kipindi mwaka wa kwanza wanahangaika na QMS 100

Sent from koromije using bashite
 
Ah! Bas utam wa mzumbe umeisha, kiu ni tamu sana hasa kipindi mwaka wa kwanza wanahangaika na QMS 100

Sent from koromije using bashite
Qms 100 sio ya mchezo aisee

the great
 
Mbona MBA za Mzumbe za Dar zinadharauliwa,tatizo nini?

Inasemekana ni rahisi sana kupata admission na uhakika wa kumaliza chuo Kwa zaidi ya 100% kitu ambacho Kwa vyuo vyenye hadhi ya kimataifa Kama vile UD hali ni kinyume chake!
 
Inasemekana ni rahisi sana kupata admission na uhakika wa kumaliza chuo Kwa zaidi ya 100% kitu ambacho Kwa vyuo vyenye hadhi ya kimataifa Kama vile UD hali ni kinyume chake!
Mkuu njoo Mzumbe main campus unaliwa kichwa kawaida tu

the great
 
Kuna tofauti gani kati ya Bachelor of accounting in public sector na Bachelor of accounting in Business sector Mzumbe vip kuhusu BAF haipo tena??
 
Chuo cha mzumbe system yao ya kulipa kwa tigo pesa inazingua yaani haikubali lolote, warekebishe kama hawawezi waseme tujue tusipoteze muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo cha mzumbe system yao ya kulipa kwa tigo pesa inazingua yaani haikubali lolote, warekebishe kama hawawezi waseme tujue tusipoteze muda

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usikate tamaa ukikata tamaa mapema hivi vipi kuhusu kukaa vimbweta ukisubiria venue[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

the great
 
Hivi zile Master's za maharage ya mbeya bado zipo mzumbe?
 
1 BSc Economics - Economic Policy and Planning (EPP)
2 BSc Economics - Project Planning and Management (PPM)
3 Bachellor of Education - Economics and Mathematics (BEEM)
4 Bachellor of Accounts and Finance (BAF)
Bsc Economics- Population and Development imefutwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…