Ultimatum ya siku 30 ndio mtihani mkubwa kwa Samia.

Aonekane dhaifu kama yeye mmoja au aiumize nchi! Ngoja tuone kama huwa anatumia kichwa kufikiria.
 
Hataki hata mahakama imwachie anachotaka Lissu ampigie magoti kitu ambacho Lissu hataki.
 
Duh
 
1.Lisu ni vema aachiliwe na asiruhusiwe kufanya mikatano ni balaa ikiwa hivyo

2.Akiwa mkaidi wamfungulie mashtaka mengine makubwa zaidi ya haya ili awe na adabu

Yote ya yote sipendi Lisu ashikiliwe ni upumbavu na upuuzi na uzoba ila hafai kuwa kiongozi ni maoni yangu
 
Kwanini asifanye siasa una sababu za kisheria.
 
Unawezaje kumtisha Rais wa Nchi tena kutoka Africa.

Umemsahau Babu Robert wa Washona Zimbabwe?
 
Rais wetu Samia Suluhu Hassan piga chini maelekezo yote yanayotolewa na mabeberu nchi yetu ni huru
Madhara ya vikwazo siku zote huwaathiri zaidi wananchi wa kawaida kuliko viongozi wa juu. Mwambie akubali tu kushindwa ili maisha yaendelee.

Lissu siyo kiumbe wa kushindana naye. Ukimchunguza kwa kina utagundua ana nguvu isiyo ya kawaida inayomlinda siku zote.
 
Aione mwashambwa
 
N
Madhara ya vikwazo siku zote huwaathiri zaidi wananchi wa kawaida kuliko viongozi wa juu. Mwambie akubali tu kushindwa ili maisha yaendelee.
Nisiyosikia yakichangiwa humu ni namna gani fursa hii inafaa kutumiwa na waTanzania kuondoa takataka hii miongoni mwetu.
Fikra zote tunawekeza hayo wanayofanya ndiyo iwe njia ya kutukomboa sisi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…