Nina uhakikaRais wetu Samia Suluhu Hassan piga chini maelekezo yote yanayotolewa na mabeberu nchi yetu ni huru
Upo sahihi mkuu.Lissu siyo kiumbe wa kushindana naye. Ukimchunguza kwa kina utagundua ana nguvu isiyo ya kawaida inayomlinda siku zote.
Siyo hayo tu.Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.
Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.
Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki ionekane hivyo.
Akiamua kuendelea kumshikilia, Tanzania itakuwa kwenye hatari ya kuvuliwa uanachama, kufutwa kwa misaada yote iliyokuwa inatolewa na jumuiya ya commonwealth.
Chaguo ni moja, kuonekana dhaifu au kufutiwa misaada.
COUNTDOWN, leo zimebaki siku 28 za maamuzi.
Anguko huwa linatanguliwa na kiburi na kushupaza shingo kutahamaki inavunjikaNi kiburi tu kinachowasumbua.
Hao WAHUNI wataamua kuendelea kumshiklilia Lissu tu bora nchi iwe kama zimbabwe kuliko kutenda HAKI.Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.
Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.
Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki ionekane hivyo.
Akiamua kuendelea kumshikilia, Tanzania itakuwa kwenye hatari ya kuvuliwa uanachama, kufutwa kwa misaada yote iliyokuwa inatolewa na jumuiya ya commonwealth.
Chaguo ni moja, kuonekana dhaifu au kufutiwa misaada.
COUNTDOWN, leo zimebaki siku 28 za maamuzi.
wahenga walisema "Kiburi si maungwana".Anguko huwa linatanguliwa na kiburi na kushupaza shingo kutahamaki inavunjika
Hapo ndipo anguko litakapoanza mambo yakiwa magumu wananchi hawatanyamaza ikiwa sasahv hali ndio hii vp ikizidi watauwa wengi ndio utakuwa mwisho waoMadhara ya vikwazo siku zote huwaathiri zaidi wananchi wa kawaida kuliko viongozi wa juu. Mwambie akubali tu kushindwa ili maisha yaendelee.
Lissu siyo kiumbe wa kushindana naye. Ukimchunguza kwa kina utagundua ana nguvu isiyo ya kawaida inayomlinda siku zote.
Hakika kwanza kinakufanya usifikirie sawasawa zaidi ya mabavu na kukomoawahenga walisema "Kiburi si maungwana".
SAMIA NA MACHAWA WAPUMBAVU WANAO MSHAURI YAANI MASHEKH NA WAZANZIBARI NA GENGE LA RAIA FEKI KINA ROSTAM AZIZI WANAZIDI KUJI SIRIBA KINYESI NA DAMU YA WATANZANIA KAMA WENDAWAZIMU ...JF MSIFUTE HII COMMENT HATA SIKU MOJA NI COMMENT MUHIMU SANA ...MWISHO WA SAMIA NA MACHAWA WAKE UMESHA HALIBIKA.Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.
Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.
Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki ionekane hivyo.
Akiamua kuendelea kumshikilia, Tanzania itakuwa kwenye hatari ya kuvuliwa uanachama, kufutwa kwa misaada yote iliyokuwa inatolewa na jumuiya ya commonwealth.
Chaguo ni moja, kuonekana dhaifu au kufutiwa misaada.
COUNTDOWN, leo zimebaki siku 28 za maamuzi.
watanzania mjielimisheni , kwa hiyo common wealth ni mabeberu pekee?Hawa mabeberu wasitutushe kwa lolote wakiamua kukata misaada yao pampja USA na EU ni sawa kabisa ili mama aendelee kubaki madarakani alisikika mlevi mmoja mjinga wa ccm wa Tanganyika Lucas Mwashambwa
Ndani ya CCM na vyombo vya ulinzi na usalama kumejaa manguchiro, ndezi, na kenge-mijusi. Yaani pamoja na yote haya ambayo taifa linayapitia hivi sasa, lakini bado wao wanaona wamejaa upofu akilini mwao, na kuhisi ni vyema kabisa kushikamana na kumuunga mkono kiongozi wao kilaza, dhaifu, na dhalimu.Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.
Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.
Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki ionekane hivyo.
Akiamua kuendelea kumshikilia, Tanzania itakuwa kwenye hatari ya kuvuliwa uanachama, kufutwa kwa misaada yote iliyokuwa inatolewa na jumuiya ya commonwealth.
Chaguo ni moja, kuonekana dhaifu au kufutiwa misaada.
COUNTDOWN, leo zimebaki siku 28 za maamuzi.
Kwa hiyo yakiwa maoni yako ndiyo yanakosa sababu za msingi?We Fala nimesema maoni yangu.. Huelewi nini
Sina shida na upuuzi wako
Inawezekana upo sahihi, jeuri na kiburi ndicho kinachomuongoza badala ya busara, ngoja nifanye tuone watafanya nini, huku wapambe kina Mwigulu, Msigwa na Pascal Mayalla wakichombeza we are sovereign state nchi yetu ni tajiri.Nina uhakika
Ccm wangekuwa wanajali hizo pressure za mabeberu wangeshamuachia Lisu.
Na nafikiri haya matamko ya mabeberu ndio yanamtia zaidi yule bibi roho ya ukatili ili awakomeshe maadui zake.
So yale mengine yoote uliyokuwa unatuletea humu mara sijui senate ya Marekani, mara EU sijui nini hayana maana tena bali sasa ni hili.Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.
Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.
Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki ionekane hivyo.
Akiamua kuendelea kumshikilia, Tanzania itakuwa kwenye hatari ya kuvuliwa uanachama, kufutwa kwa misaada yote iliyokuwa inatolewa na jumuiya ya commonwealth.
Chaguo ni moja, kuonekana dhaifu au kufutiwa misaada.
COUNTDOWN, leo zimebaki siku 28 za maamuzi.
Seneti inasubiri kura, EU tayari €156 m zipo kapuni siku 30 za CW zimebaki 26 una lingine.So yale mengine yoote uliyokuwa unatuletea humu mara sijui senate ya Marekani, mara EU sijui nini hayana maana tena bali sasa ni hili.
Hayo yoote yatapita na TZ itabaki. Kibano chochote kikija waathirika ni Mimi na Wewe na wenzako wote mnaoshabikia wakati huo Samia atakuwa zake Oman.Seneti inasubiri kura, EU tayari €156 m zipo kapuni siku 30 za CW zimebaki 26 una lingine.
Unachotakiwa kwa sasa mshauri mama yako atekeleze siku hazigandi.
Hivi dhamira yako huwa haikushitaki ? Tupo kwenye nyakati za Uongo, utapeli, Uuaji, dhuruma ifikirie na kesho ya kizazi chako. Halafu rudi nyuma fikiria wakina Mkwawa, Songea Mbano, Mangi Meli , Mangi Sina , Bwana Heri , Isike, Bibi Liti walivyopambana na mambo yanayoendelea sasa .Endeleeni kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu