Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #81
Ewaaaaah yani raha fulu kula na kuliwaKuishi na mtu ambaye hamuwezi kuelewana ndio tatizo linapoanzia, wote mkiwa na ego ndio mnachochea petrol, lakini ukiwa na mtu ambaye mnaweza kukaa chini kuwekana sawa na kusikilizana inakuwa rahisi!
Aisee!Ewaaaaah yani raha fulu kula na kuliwa
Ofcourse,
Una fahamu maana ya el Nino mkuu, nenda kasome kwanza alafu uje, mvua ya El nino Haina bonde upepo ukipigwa bati kule, sijui utajikinga wapi hapohapo mjini, balaaa linakufika chezea El nino weweUnaonekana Unakaa bondeni. Mimi hapa town kila kitu kipo sokoni.
Mafuriko huko kwenu mabondeni jipangeni.
No mwanaume akiwa salama anabadilika tu ngozi ina pendeza ana kuwa smart ukiwa singo hata kufua mtihani saa ingine kuoga mtihani ila ukioa anaejielewa safi kabisa, nipate kama ephen hiviWamefundwa kunenepesha wanaume?
Mkuu nilikosea kuandika pale.Aisee!
Hujanielewa.Duh Kwa hiyo we mkuu humu amini MUNGU?
Umenikumbusha miaka kama 8-9 iliyopita eti mtu anataka aniweke ndani, ndio kwanza kumekucha akhaa💃🏽🤣Ofcourse,
Sio mwenzako Bado anataka kuendelea kula ujanja wewe umeweke ndani lazm usumbufu utokee...kwasbb anaona kama anakosa Uhuru
Hapana ni ujuaji tu waYou attract what you are, wewe kama hueleweki usitegeme kupata hiyo full package hasa katika ulimwengu wa sasa🤓
Imagine ume amka asubuhi hamja piga mswaki unataka kumnyonya denda demu wako ile ladha ya uchachu kama hampendani kweli inalera shida ila kama mnapendana full minyonyo Hadi kumeza🫣Hapo ndio neno utayari linaingia
KimbungaMkuu nilikosea kuandika pale.
MUNGU hawezi Fanya chochote bila ruhisa ya mwanadamu?Hujanielewa.
Mimi si kumuamini tu Mungu, Mimi pia ni mtumishi wa Mungu, nimeona nguvu za Mungu live, nimeona makaika live . Ninachotaka kusema ni kwamba mwanadamu kupewa uwezo mkubwa, mwanadamu ni kama Mungu hapa duniani. Mungu mwenyewe hawezi kufanya lolote duniani bila ruhusa ya mwanadamu.
Hawa wanahewa ni talented na Mungu, wana vipawa kufanya forecast ili mwanadamu awe salama. Ajabu ni kwamba huyo mwanadamu hachukui tahadhari anasema anamtegemea Mungu
Ndoa is more than that, hizo habari hata vichochoroni zipo! Changua mtu ambaye ana utu hata upendo ukiisha bado mnaweza kuvumiliana na kuoshi mpaka mwisho! Chagua mtu wa mahaba uone cha moto!Hapana ni ujuaji tu wa
Imagine ume amka asubuhi hamja piga mswaki unataka kumnyonya denda demu wako ile ladha ya uchachu kama hampendani kweli inalera shida ila kama mnapendana full minyonyo Hadi kumeza🫣
Lakini mi naamini unapo taka kupata mtu sahihi lazima akamilike kila idara walau, huwezi puuzia mahaba mana ni sehemu ya ndoaNdoa is more than that, hizo habari hata vichochoroni zipo! Changua mtu ambaye ana utu hata upendo ukiisha bado mnaweza kuvumiliana na kuoshi mpaka mwisho! Chagua mtu wa mahaba uone cha moto!
Mambo sio kama unavyoyafikiria mdogo’etu!Lakini mi naamini unapo taka kupata mtu sahihi lazima akamilike kila idara walau, huwezi puuzia mahaba mana ni sehemu ya ndoa
Nimenunua umbrella ☔ 🏖️ ☔ ☔ za kutosha.Hapa waliojiajiri wanachekelea tu, wale wa online business fresh tu, waliojenga fresh tu, una wifi Yako ndani fresh tu, una pisi au brazamen fresh tu, vyakula vya tahadhari umejanza ndani, fresh tu sijui we UMEJIPANGA vip
Tulisha separate kutokana na tofauti zetu kutokuwa solved now ni cooperating tuu 😂 naloweka tuu biabado bwana mdogo kabisa huyo
tayari kaoa na ana familia anaona rahaa kuiloweka deili😁
kama hujajenga dogo sAhau
Monetary doctor