Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

Tayari kaachika kitambo, yani katika umri huo tayari anajua mema na mabaya ya ndoaπŸ€¦πŸ½β€β™€οΈ

Hahhaah ajenge njiani sio?
Niliachika πŸ€” kwamba sifai ??

Tulitengana

Hakuwa mbaya wala mzuri, kwa mwenendo ila tuliafikiana tuachane na ndoa tu focus na maisha

Juzi kavishwa pete πŸ˜‚ na kadi ninayo na mwakani kwenye send off ntasimama kama kaka πŸ˜…πŸ˜«

Bwana harusi hatoamini
 
Niliachika πŸ€” kwamba sifai ??
Sababu ni nyingi sio kwamba hufai, hata kutofautiana tu..
Tulitengana
Inaumiza sana!
Hakuwa mbaya wala mzuri, kwa mwenendo ila tuliafikiana tuachane na ndoa tu focus na maisha
Kwanini
Juzi kavishwa pete πŸ˜‚ na kadi ninayo na mwakani kwenye send off ntasimama kama kaka πŸ˜…πŸ˜«

Bwana harusi hatoamini
Hee unawezaje?? Mimi siwezi aisee..
 
Sababu ni nyingi sio kwamba hufai, hata kutofautiana tu..

Inaumiza sana!

Kwanini

Hee unawezaje?? Mimi siwezi aisee..
Binti alinipenda, sikuwa nimemwelewa kihivyo katika naye kutaka aonekane yumo,

Nikamchukua akawa mpango wa kando, hivyo nilicho kuwa nakitaka kipindi hiko ni mtoto na ilifanikiwa!!

Ishu moja alihitaji nimuoe kitu ambacho sikuwez na sababu ambazo hazitawekwa hapa

Tupo na furaha tunawafurahia wanetu,.unyama tuu hata mwezi km wa nne tulikuonana kupata dinner, hata October tume arrange.....

Hatukuwa na ugomvi Kuna mambo yaliyokuwa kati yetu na kupelekea this

Nimechoka kutype
 
Mkuu ina mana sahivi Kuna baharia mwingine au bado SITI Yako ipo mkuu? Sorry Kwa swali ka hili, sababu kama umeshaachana, ni muda mwingine nae ajaribu kuusukuma siku nae, au bado mko closely
 
Mkuu usiwe unamchapia sasa bwana harusi ndio UUNGWANA HUO mkuu, tafuta mwingine, nilivuta single mother nafahamu maumivu ya kujua bamtoto anakuchapia bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…