Tukipata ban ya miaka 10 nitafurahi sana, hii serikali inachokijua ni kupiga dili tuu ila kuboresha miundombinu hawajui.
 
AIBU saana
 
Diesel Generator 2 za KVA150 x 02 zinatosha kabisa kuwa standby hapo PUMBAVU KABISA.

huwa tunatabia yakuwategemea walewale waliotengeneza tatizo kuwa sehemu ya utatuzi wa Tatizo.... ndio maana kila siku tunategemea CCM iliyoleta matatizo itatue matatizo.
 
Yaani, TANESCO Dar wanatakiwa kufukuzwa kazi haraka sana, hii aibu, lakinin iweje uwanja wa Taifa hauna hata Standby generator kweli? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Umeme haujkatika , ni mataa yamezima uongozi wa uwanja ndio tatizo

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Ingekuwa ni uwezo wangu, waziri wa michezo na Meneja wa Uwanja muda huu huu wangerudi makwao na daladala.
 
Halafu JPM walikuwa wanamuita dikteta, pumbavu zenu wote.
Watu wa hii nchi bila kupelekwa na kipigo hawaelewi.
 
Mwendazake angekaa kwenye Circuit Breaker isi trip?
Hivi shida ya ku-trip kwa circuit breaker husababishwa na nini? Naulizia kwenye nyumba ndogo za vyumba vichache ukiachana na viwanja vikubwa
 
hahahaha, shida kweli kweli.

kwanini game haikuanza saa kumi kamili au tisa kabisa, tunaleta mbwembwe ilihali miundo mbinu yetu mibovu.

Kesho Mama ulipaswa kutumbua Waziri wa michezo, Naibu, katibu mkuu nk na hao viongozi wa uwanja ungewaacha.
 
Unaweza kuta KOLO moja limefanya ujinga huo …… Alisisika mlevi mmoja akiropoka mitaa ya keko magurumbasi
Hii ni issue sensitive ila nadhani haichukuliwi katika uzito wowote, kama kumbukumbu zangu ziko vizuri hii si mara ya kwanza.
 
hahahaha, shida kweli kweli.

kwanini game haikuanza saa kumi kamili au tisa kabisa, tunaleta mbwembwe ilihali miundo mbinu yetu mibovu.

Kesho Mama ulipaswa kutumbua Waziri wa michezo, Naibu, katibu mkuu nk na hao viongozi wa uwanja ungewaacha.
Kuwatoa kwenye vyeo haisaidii wawe wana-confiscate hata mali zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…