Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

Asee no one knows their destiny
 
Let her rest in piece huko aliko πŸ™πŸΎ
 
Mvinyo mpya unalijua tatizo lako la kwanza ni pombe. Chukua hatua. Chukua likizo, hata bila malipo uende sober house.

Huko hutoweza kucheza kamari, kunywa pombe, utapata therapy, matibabu ya kiakili na kimwili kwa muda sahihi kutoka kwa wataalamu wabobezi.
 
Kumbe Jimbo lipo wazi naomba kutangaza nia rasmi.

Ila kunatabia mbili sizipendi ni makelele na ujuaji kama unazo niambie nipite mbalii 😊

NB. Mpaka muda huu naandika nipo kitandani hapa nimejilaza nimetoka kumzika baba two week zilizo pita.

Simu zangu Zina missed call zaidi 200 sipokei simu sina hamu na kazii nimepoteza furaha ya Kila kitu nilicho kipambania maishani

Leo asubuh tulikua na kikao na wapangajii maana mzee ana nyumba nyingi...

Tunajadili na wapangajii CHANGAMOTO zao na uendeshaji mpya nimetoka MACHOZI hata hapa natokwa na machozii siamini kama baba hayupo

For sure maisha yana maumivuu sio mchezooo ila najua with time every things will be okay
 
Mkuu wabongo wanaongoza dunia kwa sadism, tunafurahia sana kuona wengine wanaumia, tunashehekea kabisa, na kuua ndoto za wengine kwa namna zote, kimwili na kiroho!
Hii ipo sana kuanzia ngazi ya familia, marafiki, kwenye koo na kitaifa. Hizi ni rohombaya.

Angalia viongozi wa sasa wanayoyafanya na wanasifiwa na baadhi ya watu kwa vitendo vya uuaji, utekaji, ufiraji, ubakaji, ufisadi.
 
mkuu kweli ulisota asee
 
Mtu unapitia kukosa Hela ya kula solution unaona ni kulia sio
 
Ai
 
inauma sana kk kutokana na usaliti aliofanya kama vile nakuona vile ukimtazama hakuna jema kwake unaliona unawaza usaliti aliofanya
jeee ushawahi kumuweka mtu kati na kuliongelea ilo swala maana kama haujaongea nae itaendelea kukula ndani kwa ndani
Nimeongea naye na pia nimeongea na mpenzi wake na hata namba ya mpenzi Wake ninayo
 
Amka, maisha hayajaishia hapo mwamba.
Mzee kaondoka maisha inabidi yaendelee, hayo ni maumivu ya muda.. lazima usimame upambane, mzee uko alipo aone aliacha mtoto na sio kokoto.
 
Maisha yanavunja sana mioyo ukiwa weak i swear una RIP.

nakumbuka mwaka fulani huko nyuma nlikua chuo Γ— wakati niko final sikupata mkopo ko ada ni suala la wazazi sasa kipindi hicho ada nlio kua nimepewa nawazazi Kuna matatizo nlipata nkalipa kwa pesa ya ada.

Mda wa UE sijufanya na wazazi wanajua tayar nimelipa ilikua mtihani wa mwisho ko wakajua nmegraduate mana hata graduation skuenda nkawapiga calendar.

Baada ya kutoka chuo Kunamtu wakaribu akanipa mchongo wa sehemu flani hv nikapiga piga kazi pale baadae wakawa wanahitaji mavyeti na msela cjagraduate ikabidi nijiachishe kazi mwenyewe wakati huo mzazi wangu anajua nipo napga kazi ko akawa ananipigia simu sometimes nimsaidie koasi flani akiamini napiga kazi.

Nikazamia mbeya wakati huo sina ramani, nkakutana na masela ambao nlisomaga nao kipindi wadgo wakanipokea, aah sjawahi pigika kwnye haya maisha kama kipind kile oyaa mwaka mzma, tulikua tunaenda kuomb kazi shambani tunalima , tunang'oa visiki qmmke mm nimelalia mahindi yakukaanga kumamke, daah nakumbuka kunakipindi tulipo kua tunakaa tunakosa kodi tunafukuzwa tunaenda kulala kwenye magofu.

Baada yakuona maisha yamoto nkarudi home, kuwaeleza ukweli kwamba sikumaliza chuo kwasababu ya ada , ko ikabidi nirudi tena chuo kumalizia mtihani ule wa mwisho nkaufanya , baada ya hapo mtaani nkakaa kama mwaka hivi kama zali likajitokeza nkaja nkapata kazi .

Ila nilisota qmmke mpaka nakuja kupata kazi nlikua nimepata life lesson ya kutosha, msoto usikie tu kwajirani yako ila ukikufika haijalishi jinsia unaweza toa milio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…