Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

Jimbo liko wazi lakini bado sijafikiria kupenda..!! 😹

Pole kwa msiba wa baba yako, wewe mwanaume unatakiwa ukubaliane na matokeo na uanze kusimama kama mzee wako sio kulia lia…!! Kwani mzee wako hakukufundisha kuwa jasiri?
 
So a ushauri huo.. Mawazo ya kuacha hayasaidii ni kama kujitia moyo then unaendelea. Kila la kheri

Pia umeulizia maandishi.. JF unatupa fursa ya kutumia hiyo
Sijaelewa paragraph ya kwanza. Kuna mtu kaniambia niende sober! Nitafanya hivyo kwani ofisini hiyo huduma ipo, shida Sasa sipendi watu wajue nipo sober
 
Pole sana mshikaji wangu
 
Binafsi Mimi Huwa naaamini everything is blessing.

Hisia za kukata TAMAA Huwa hazina nafasi yoyote kwangu na hazitowahi kuja kupata nafasi.

I believe kuwa Kila kitu kinatokea kwa sababu nothing is randomly.
Ishu sio kukata tamaa au kukatishwa tamaa. Ukiona hukati tamaa fahamu kuna tatzo hapo.

Ishu ni huqa unatokaje baada ya kukata/tishwa tamaa? Hapa ndio tatzo lilipo..
 
Jimbo liko wazi lakini bado sijafikiria kupenda..!! 😹

Pole kwa msiba wa baba yako, wewe mwanaume unatakiwa ukubaliane na matokeo na uanze kusimama kama mzee wako sio kulia lia…!! Kwani mzee wako hakukufundisha kuwa jasiri?
ILO Jimbo nimetangaza nia tayar.. lami, maji,umeme, madawati kifupi nimeanza na miundo mbinu yote kwa ujumla?

Ila TU Mimi sio professor jay wa Sio mzeee..

☺️😊

NB. Sisi wengine Mungu alitupa BABA nawaza nilipata muda niandike kitu kwa ajiri ya woteeeeeee walio baba au ma upcoming BABA.

Lamomy ushawai ona mkuu wa majeshi CDF analia.. nenda Iran na Israel uta shuhudia

Mimi ni mdau wa afya waandamizi senior nimeona mengi ila hili la baba angu bado kinaniumiza na sio Mimi ni dhaifu ila kwakua sikutarajia kua siku moja hatutokua nae.

Mimi na ROHO ngumu chuma... Kwa kua nimetangaza nia jimboni utanijua vizuri 😊
 
Ishu sio kukata tamaa au kukatishwa tamaa. Ukiona hukati tamaa fahamu kuna tatzo hapo.

Ishu ni huqa unatokaje baada ya kukata/tishwa tamaa? Hapa ndio tatzo lilipo..
Kupitia uandishi wa mtu unaweza ku portray mtu alivyo WEWE NI MTU MZURII

Najifunza mengi kwako...Mimi now NIMEKUA mvivu mvivu kuandika
 
Hii comment nitaijibu baadae nikiwa na muda.... Very interesting topic...
 
Ukisoma posts zote kwa huu uzi utaona kila mtu hapa alitaka kukata tamaa kwa sababu ya kuumizwa na mtu mwingine tazama dada yetu Joanah aliyeanzisha uzi hadi wa mwisho kbs hamna aliyekutana na tukio natural, ni watu tu waliotaka aumie na wakamuumiza!
Mkuu, 99% ya maumivu ya mtu yanasababishwa na mtu mwenzake.
 
Mi nakata kiuno tu bro tamaa sijawahi kabisa
 
Mkuu pole sana,,natumai unaweza kuanza kubadilika taratibu kwa kuacha pombe na kamari..mengine yatakaa sawa...kwani una mkopo benki ambao unakatwa kwenye salary i mean...sijamaanisha madeni ya mitaani. Maana kama hyo ni basic take home inaweza kuwa siyo haba pia
 
Benki wanapita na laki tisa! Inabaki 1m plus posho ya nauli around 300k.
 
Yes mdogo mdogo shida nikishika pesa nafanya vitu tofauti na mipango
 
2021 alipokufa Magu. mother alipoingia na kuanza kuondoa baadhi ya taasisi , uhamisho ..Baadaye , unaanza kukosa mapene , sina hamu na hizi kazi ila kwangu sio kesi . Sitamani kufa ila niliona wanasiasa ni watu wa hovyo sana , all of sudden unakuja kuambiwa ,serikali imefuta taasisi yenu so wengine watapelekwa halmashauri tena porini huko.

Wawekezaji wanapewa dili ili kufungua uchumi , hizo taasisi huko awali chadema walidai ni miradi ya Magufuli. Niliona nyota ila kwa level zangu , ndani ya mwezi maisha yakaendelea mpaka leo .​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…