Umeshawahi kulipigania penzi lisivunjike lakini mwisho wa siku ukakubali kushidwa

dust to dust ,kaza mkuu usilegeze kupumzikiwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
Niliamua kumpa simu yangu ikawa yake Mimi nikaamua kuchukua kitochi, alikuwa na hesabu zake
Kunguru kunguru tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatari
 
Daah demu alikuwa black beauty chocolate sio poa alinipenda kichiz mnoo tulikuwa tuna similar hobbies mpira, movies ,comics books na nk kiufup tulikuwa nerds


Alikuwa genius mambo ya cryogenics , cryobiology ,alikuwa anapenda sana kumsoma Stephen Hawking hasa vitabu vyake vya briefly history in time 1988, the theory of everything nk demu anapenda sana kucheki national geographic Chanel's na on top of anacheza forex huyo sio poa demu yuko real sana

Alinifuma ghetto namnjunja manzi fulani hivi alilia sana kila nikiomba msamaa wapi
Kunguru wa Manzese najutia

Ni almost 2yrs hataki kuniona na view status zake zenye memes embu nipeni mbinu za kumrudisha
 
Dah nakumbuka nilimpigia magoti mtu barabarani
Daaah mapenz haya [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Pole

Usisahau kunawa maji tirilika kwa sanitizer au sabuni . usisahau kuvaa barakoa na kufanya social distance jitahidi kuzingatia nakufuata ushauri wa wataalam
Na oktoba 20 asisahau kwenda kupiga Kura au tushapiga
 
Dah nakumbuka nilimpigia magoti mtu barabarani
Daaah mapenz haya [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] my dear acha tu mapenzi yanatesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…