2018 nilimbembeleza sana Yule mwanamke aendelee kubaki huku nikiomba msamaha kwa kosa silijui lakini ndio kwanza akazidisha matukio ikabidi nikubali knock out kishingo upande japo nilienda kumtumia text Mara moja moja kwa WhatsApp lakini hazikuwahi kujibiwa, hata text yangu ya pole kwa msiba wa baba yake haikujibiwa mwisho wa siku nikafuta namba..
Sasa mwaka huu 2021 siku ya Valentine namba ngeni inapiga kuuliza nani ni yeye, anaanza blah blah sijui kanimiss, nimsamehe anaomba tuanzishe maisha mapya, kumbe wahuni washamfanya single mother halafu wametokomea kusikojulikana[emoji2]