Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

siku aliniita kwake usiku ile kufika tu alinirukia aisee ile siku kusema kweli nilibakwa manake sikua nimejiandaa πŸ˜„

Mwanaume habakwi.. anayataka. πŸ˜ƒ

 

Kila mtu ana kiboko yake, hata izo pisi kali zina crush kwa watu fulan yani zinakua hazielewi
 
Ila haya maisha bana.. nimefurahi kwamba na wewe ulipata mtu wa kukuganda ukaona jinsi inavyokera, so ukamuelewa imma kwanini alikuacha πŸ˜„πŸ˜„

Nakumbuka mimi pia niliwahi kuwa na demu ambae ananiganda sanaa... baada ya kuachana nae nikapata demu mwingine ambae hakua na time kabisaaa na mimi! Yaani usipomtafuta mnaweza maliza hata mwezi hamjawasiliana! Hakuulizi chochote, umtafute usimtafute sawa tuu.. aisee nikajikuta mimi sasa ndio natumia mda mwingi kumtafuta nikaanza kuona bora tena na yule aliekua ananiganda πŸ˜€
 
Heart analysis ni nini mkuu..?
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ nilishaoa kaka
 
Yaani kuna demu flani kipind nasoma secondary alikua ananipenda sana... Wakati nafanya pepa ya form four necta yeye alikua form three.... Kuna siku nafanya pepa ya hesabu mara nikasikia "HONEEEEEEEY" ghafla nikamwona huyo demu amekurupuka toka nje akaja akanibusu kwenye chumba cha mtihan halaf akasema "honey hauonekan"......... maaskar walimbutua makofi yule demu balaa
 
Wadada wafupi wanajua sana kupenda, hata ukisema upo uwani unapigiwa video callπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…