Umewahi kutana na Mpenzi kichefuchefu wa namna hii?

Mnawatoaga wapi hao?
Mapenzi ni kama una bet kuna wengine anajua kuact haswa ukishaingia nae kwenye uhusiano ndio unaona rangi yake halisi mimi kuna mmoja alikuja ghetto ulivyofika muda wa kuondoka nikampa elfu 20 ya matumizi eti anasema ni ndogo akawa anasema kwa uzuri wake huo nampaje elfu 20 nikamuuliza kwa upole na unyenyekevu ulitaka nikupe sh ngapi akasema elfu 50 at least basi nikamdanganya basi lete hiyo 20 nilipe umeme nina hela ipo kwenye simu nikupe hiyo 50 unayoitaka si akanirudishia nikamwambia sepa sikupi chochote uondoka kama ulivyo unaniletea ustaa kwenye hela kikaanza kujiliza kikataka nikape hiyo hiyo 20 nilitaka nisimamie msimamo wangu kikaanza kutia huruma nikaamua nimpunguzie kutoka 20 nikakipa 5000 anajikuta sister duu kumbe akina lolote
Beesmom
Chizi Maarifa
Tafuta Hela
Joannah
 
Mapenzi ni kama una bet kuna wengine anajua kuact haswa ukishaingia nae kwenye uhusiano ndio unaona rangi yake halisi mimi kuna mmoja alikuja ghetto ulivyofika muda wa kuondoka nikampa elfu 20 ya matumizi eti anasema ni ndogo akawa anasema...
🤣🤣🤣
 
Mapenzi ni kama una bet kuna wengine anajua kuact haswa ukishaingia nae kwenye uhusiano ndio unaona rangi yake halisi mimi kuna mmoja alikuja ghetto...
Ulimkomesha buku 5 daah🤣🤣🤣
Wengi wa hivyo njaa zinawasumbua

Bora mtu akuuzie ujue moja unanunua akupe bei elekezi kuliko drama za kijinga
 
Mapenzi ni kama una bet kuna wengine anajua kuact haswa ukishaingia nae kwenye uhusiano ndio unaona rangi yake halisi mimi kuna mmoja alikuja...
Nimecheka sana.... Nlitamani niwepo nasikiliza mazungumzo yenu au nikione sasa kinapotoka..... Ulifanya jambo la kiume sana. Katakuwa kamejifunza.
 
Vinachukuliaga pesa kirahis rahis sana,yaan wanawake wa sasa sjui akili zao zipoje,kwel utumie 300 000 kisimple simple tu

Kuna kengine niliwah kukaambia nikatafutie kazi kakawa kimya,yaan kumbe kanapenda pesa za kupewa tu
Wajinga sana hawa. Hawataki kazi. Wanataka wawe kama Kajala au Wema.... Yaani msichana kwenye profile yake kaweka picha ya Kajala....tayari naona hana akili.
 
Vinachukuliaga pesa kirahis rahis sana,yaan wanawake wa sasa sjui akili zao zipoje,kwel utumie 300 000 kisimple simple tu

Kuna kengine niliwah kukaambia nikatafutie kazi kakawa kimya,yaan kumbe kanapenda pesa za kupewa tu
Mkuu alijua utamtafutia kazi yenye mshahara mdogo siunajua dada zetu wanapenda kazi za kuonekana wapo ofisi kubwa.
 
Demu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula...
Kwani mkuu unaweza kuniambia kw pm Ni mtaji wa Kia's gani umempa na ukapotea

Nataka kufahamu ndiye huyu huyu ama Ni story tofauti
 
Mapenzi ni kama una bet kuna wengine anajua kuact haswa ukishaingia nae kwenye uhusiano ndio unaona rangi yake halisi mimi kuna mmoja ...
HV wako serious kweli mm nilimbloku mtu jusi tu baada ya kuunita mm bahili eti nilikPa elf tano ya kula anasema mm bahili nikamwambie Mbna ulikuwa umepauka umekah stand unanisubiria s ungenda hotel kunisubir Kama una ubavu
 
Ulimkomesha buku 5 daah🤣🤣🤣
Wengi wa hivyo njaa zinawasumbua

Bora mtu akuuzie ujue moja unanunua akupe bei elekezi kuliko drama za kijinga
Ni mjinga alafu ana nyodo za kipuuzi kuna mademu wanaenda kwa wapenzi wao na wanarudi wakavu no kupewa hela mimi nimejaribu kukupa elfu 20 eti unaanza kunipangia as if kama tuliingia mkataba yaani anabahati hata ya kumpa hiyo buku 5 bila kujiliza nisingempa chochote hii ndio dawa ya watu wenye nyodo
 
Ni njaa zinakusumbua ,,
 
HV wako serious kweli mm nilimbloku mtu jusi tu baada ya kuunita mm bahili eti nilikPa elf tano ya kula anasema mm bahili nikamwambie Mbna ulikuwa umepauka umekah stand unanisubiria s ungenda hotel kunisubir Kama una ubavu
Hili swali lilikuwa zuri. Alikujibu nini? Mtu anawezaje kuita bahili pesa ya wenzie? Yeye ambaye hakuwa bahili alikupa nini?
 
Visa vya hao ni vingi sana na vya kuumiza, alikuwa na kisimu cha ajabu ajabu, nikajichanga nikamnunulia simu nzuri tu baada ya wiki 2 akaja ananiambia ile simu aliisahau alipokuwa amekaa wakaiba, Toka siku hiyo nikaachana naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…