Umoja Party: Najitolea kujenga Ofisi

Kisipohusiana na CCM nitakisapoti kwa moyo mkunjufu ila kama ni pandikizi la CCM siwez kuwa na muda mchafu
 
Kwa jinsi wanavyochelewa kulipa usajili ndivyo mashaka yanavyozidi kuongezeka .

Maana wazee wa mipango nao wasijekuwa kazini ukawa ni mtego kama mingine.

Bora kubakia hapa tu.

Kila la heri kwa watakao vamia huo mtego. Mimi siendi.
 
Jenga zahanati, shule, au hata barabara mtaani kwenu au kijijini kwenu kajengee maskini makazi bora.
 
Kitakua chama cha mfukoni hakuna jipya,
 
Ntakuunga mkono, ni muda sasa wa kuachana na wababaishaji
 
Dola wala halina shida wengi ni wazalendo wa kweli na wanaipenda nchi yao, tatizo lipo kwa wanasiasa.

Dola wangekuwa na uzalendo huo, wanasiasa wasingefanya kila watàkalo bila kuchukuliwa hatua.
 
Mimi nitajitolea kugombea Urais kwa tiketi ya hiki chama
 
Safi sana, hopeful kitakuwa ni chama angalau kinajielewa. Maana hawa wengine chenga tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…