Umoja Party ni chama chenye mlengo upi, kinaamini katika maendeleo au katika Magufuli?

TOKA MAKTABA :
Kwa hisani ya benzemah wa JF
3 November 2021

Tetesi za JamiiForums
Naibu Msajili wa vyama vya siasa nchini, Sisy Nyahoza amethibitisha kuwapo kwa maombi ya usajili wa Chama hicho mezani kwake, na kwamba sheria ya vyama vya siasa inawataka kutangaza kwenye gazeti la Serikali na kutoa muda kwa wananchi pamoja na vyama vya siasa kupinga jina la chama kwa ofisi ya msajili. Baada ya mchakato huo kumalizika, hatua nyingine zitafuata kama sheria inavyoelekeza

Seif Maalim Seif si mgeni kwenye siasa za Tanzania, kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 Seif aligombea nafasi ya urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP).......
Source : NEC ONLINE TV - Tanzania


Soma zaidi kuhusu cha hiki cha UMOJA PARTY chenye makao yake makuu jijini Dar es Salaam:
Source:


 
Wenye vyeti fake na wafanyakazi hewa ndio watu timamu? Huna hoja wewe.
 
RAIS Mwinyi ndo amebaki wa maana tu ndani ya chama mboga .kikuwa chama changu ila nimeshakitoa rohoni hata kingejuvua gamba la chuma .kikafie mbali

Watu wanamkubali Mwinyi kutokana na vitendo, kazi zake, utendaji wake. Anawajibika na kuwaajibisha wote kwenye serikali yake. Hana mipasho, ngojera, vijembe, visingizio. Ameiunganisha Zanzibae.Unaweza kuona Zenji inaeelekea wapi chini ya utawala wake.

Huku bara ni visingizio kibao "bei za kila kitu lazima zipande" anasema Rais wa JMT. Sababu anakwambia ni vita vya Ukraine- Urusi, Corona.

Upinzani hawahoji chochote wanataka maendeleo ya watu sio vitu, sera za ukanda, kila tatizo sababu ni Sukuma gangs, JPM, kiongozi wao mkuu baada ya kutoka jela haizunguzii tena.

Sera kuu ya CCM, upinzani ni kumkebehi JPM wanamuita mwendazake na majna mengine mengi ya kebehi sijaona yakitumika kwa kiongozi, mtu mwingine yoyote aliyekufa. Utamaduni wetu TZ tunawaita Hayati, Marehemu.

It will interesting and fun to watch kampeni za uchaguzi CCM na upinzani wa sasa wakiuza sera zao kwa wananchi

Wananchi wakiwauliza kwanini hatuna umeme, maji, tuna kodi, tozo za ajabu, mfumuko wa bei na wao wakijibu sababu ni mwendazake.

Kwanini miradi ya kimkakati inasuasua, tunakopa hovyo, wao wakijibu ni sababu ni mwendazake.

Kwanini masoko yanachomwa moto, ajali zinaongezeka, kwanini hamna sera zenu mpya kulisaidia Taifa, Wao (CCM , upinzani) wataijibu sababu ni mwendazake, Sukuma gang, Wasukuma.

Yoyote atakayehoji, au kutoa maoni mbadala ataambiwa wewe ni Sukuma Gang.
 
RAIS Mwinyi ndo amebaki wa maana tu ndani ya chama mboga .kikuwa chama changu ila nimeshakitoa rohoni hata kingejuvua gamba la chuma .kikafie mbali
Hakuna msafi ndani ya ccm..wamejaa mafisadi..na walaghai.

#MaendeleoHayanaChama
 
Una akili wewe kweli? Zenji unaweza ilinganisha na Bara? Nchi yenye watu wengi na nchi yenye watu wachache ni ipi athari za kiuchumi zinaanza kuonekana?
 
Hoja za majigambo jigambo
 
Acha kubwabwaja Dikteta lazima asemwe ili Tanzania tusije pata dikteta mwingine kama Magufuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…