Umoja Party ni chama chenye mlengo upi, kinaamini katika maendeleo au katika Magufuli?

Maombi yangu kwa Mungu ni kuona chama kipya kinaibuka ndani ya CCM .
 
Nimemis sana hotuba za Rais zenye nguvu na mvuto na ushawishi kama za Hayati Magafuli .
 
Potelea pote, tunahitaji kuwaonesha ccm kwamba, nchi siyo ya ukoo
 
Hiki chama inabidi Dr. Slaa awe moja ya viongozi wakuu kabisa.
Slaa yule mliyesema ameiba mke wa mtu hapo 2010 hadi mkamtegea vinyasa sauti hotelini mwanza?
Kweli ukiwa ccm unakuwa mwehu? Yule mke wa mtu alimrudisha vile??
 
Unafikiri watafika mbali?
Tunapinga nje ndani ...yaani ccm tupo na upinzani tupo usidhani watatoka wote ccm ili kujiunga umoja part ...wengine wanabakishwa ndani ya ccm kuendeleza mapambano dhidi ya WAHUNI hii ni vita baina ya WAHUNI NA WAZALENDO
 
Duh, hii Safi Sana. Baadae wanaungana na chadema, halafu CCM ya Samia chali.

Hii nimeipenda Sana, najua kushinda hawawezi, Ila wakishamiri CCM itabidi 2025 wa rethink watuletee Chuma Kama mzee baba mwenda zake.
Chadema nani wa kuungana nayo? Chadema ni ADUI WA UZALENDO
 
Opportunist. Ingawa kuanzisha chama ni rahisi, ila kukifanya kiwe pendwa mioyoni mwa watu ndio ugumu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…