Wewe huwaga ni zero, nadhani ulishuhudia maelfu waliomzika, unashuhudia UN kumtambua, utashuhudia mengi sana. Sasa Hamishia kisirani chako kwa kagame, sababu utakuwa unapambana mfu, chuma kitakachoheshimiwa, milele, ukiwa na kumbukumbu kwamba chuma kiliongoza kwa span ya 5 yrs only.
 
Sio kila nchi ipo kwenye hiyo jumuia ya umoja wa mataifa. Hizo nchi ujue hazikuwemo umoja wa mataifa

Acha uongo bwana mdogo.
Mimi kwa macho yangu mwenyewe nilimuona Gadaffi akiwa anahutubia UN assembly mara kibao tu.
Tena baadaye alikuwa mtu mzuri tu, kila akihutubia nje ya Afrika alikuwa akisema nawasalimu katika jina la Umoja wa Afrika.

In the name of the African Union, I would like to greet the members of the General Assembly of the United Nations,



 

Chuma:
Hakuwahi toka nje ya Afrika. Lakini habari zake zimevuma kote kote, huko na huko mpaka kwenye miisho ya dunia (yaani sayari yetu).

Wanaotaka kumuua Magufuli hawatafanikiwa.
 
Kwa wasioelewa wataona hivi lakini ni tofauti., UN wanatafuta getaway kupitia kwa mama samia kwa maslahi mapana ya mashrikiano, otherwise ni lazima waanzie kwa JPM kuonyesha sympathy fulani lakini actually hakuna uhalisia wowote wa hicho walichokiongea.
 
Hakuwemo kwenye umoja wa mataifa

Bwana mdogo kutuongopea hapa JF ni serious offence.
Wewe unasema Iraq siyo member wa UN wakati ni one of founding members.
Fyi only two countries are not members of UN. i.e. Vatican City and Palestine.
 
Kumbe mabeberu mnawafatilia sana?
Situlikubaliana mabeberu sio watu wazuri? Inakuaje mnawafatilia mpaka kuwaona wa maana kwa kumkumbuka JPM?
 
Bwana mdogo kutuongopea hapa JF ni serious offence.
Wewe unasema Iraq siyo member wa UN wakati ni one of founding members.
Fyi only two countries are not members of UN. i.e. Vatican City and Palestine.
Bwana mdogo eliakeem utazeeka haraka kama kila kitu unakichunguza hiki uongo hiki kweli. Utakufa upesi kama kila kitu unakichukulia serious. Hii topic mbovu tu hii,unakomaa nayo
 
..kila raisi anayefariki huombolezwa na umoja wa mataifa / un.

..na hotuba nzuri-nzuri hutolewa ktk kumuomboleza.

..miaka yote alipokuwa raisi magufuli hakuwahi kuhudhuria vikao vya UN.
Leta ushahidi na sio uongo uliozoea
 
Deep down hao wazungu wanajua kabisa jinsi Magufuli alivyokuwa rais wa mfano ambao hata wao wangetamani awaongoze! Ila sasa kuwepp kwake kulitishia maslahi yao! Kelele za pungu lisu walijua kabisa ni za kizushi tu ila walizihitaji kwa maslahi yao pia! Mungu tunaomba umrehemu na umpumzishe mpendwa wetu Mh Dr JPM mahala pema peponi penye raha ya milele shujaa wetu Mh Dr JPM 🙏😭!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…