Umoja wa wanawake CCM wasikitishwa na udhalilishaji wa Makonda, watoa tamko

Ukute ndio mkeo anaambiwa vile utajisikia vibaya sana na itabidi upotezee tu ukijua hayo ni masahibu ya kazini. Pia hii iwe somo mabosi kuheshimu wake za watu huko maofisini iwe ni kwa kukosea au kutenda vema heshima lazima iwepo
 
Hajafanya vizur ndio, but je angefanyiwa mwanaume wangepaza kelele?
 
Hamto ielewa Agenda mpaka siku itakapo fika. Makonda sio wa hapo ni idara nyingine
 
Wanawake mbele kwa mbeleeeeee!🕺🕺
Mitano tena
 
Mama Samia fanya kazi yako sasa tumechoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…