Umoja wa wanawake CCM wasikitishwa na udhalilishaji wa Makonda, watoa tamko

kati ya mkuu wa mkoa na yule dada nani alikuwa anamdalilisha mwenzake .tuanzie hapo.maana tumezoea kuitwa waheshimiwa.mfano unapoongea na mkuu wako lazima utangulize neno mheshimiwa.......lakini yule dada alikuwa mara nyingin hasemi ..mheshimiwa mkuu wa mkoa.nafikiri ndiyo maana mh Makonda akakasiririka .alikuwa naongea kama kweli anaongea na mchumba wake.

anywhere ,tusiangalia mabaya kidogo yaliyofanywa na Mheshimiwa makonda ,bali tunayakuze mema zaidi kwa ajiri ya chama chetu.Hivi kati ya yule dada na Mh Mankonda nani ni wa kuamini sana kuwa ni mwana CCM wa kukifia chama? CCM mjue kuwa kuna kikunda kinapambana kuona Makonda anaondolewa CCM kwa maslahi yao na si maslahi ya CCM
 
Ulimi unaongozwa na akili!
 
tunaomba tuheshimiwe wanawake, tena sisi wanawake ni watendaji wazuri kuliko wanaume.
Anapinga udharirishwaji wa wanawake, wakati huo huo yeye pia anadharirisha wanaume. Hiyo ni kauli gani kama siyo dharau na udharirishaji kwa wanaume?
Huo utendaji mzuri wa kwake uko wapi? Mbona hatujauona mahali popote?
 
Arusha imemkubali huyu ndugu wananchi walioonewa wanatoa machozi ya furaha ,wamepata tumaini jipya
 
Kuna chadema wamechapana mikwaju iringa hili nalo liangaliwe
 
Hafai kuwa kiongozi this time tunampeleka kolomije akalime tu,
Hela aliyonayo makonda analisha ukoo wenu wote kwa miaka mliyobakisha na mwama haogopi kitu chochote ndio maana siku ya kwanza alitamka anaweza kuwa RC Siku moja tu ila mijizi na wavivu watajua mwanaume kapita.Makoda hana njaa yoyote
 
 
 
Chatanda amewahi kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha
 
Chatanda amewahi kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha
Akafanya kazi Gani au aliwezaje kuwasaidia wanawake wa Arusha?

Mfano,Kwa Sasa kanga zote zinazovaliwa zenye picha ya Samia,ndiye mwenye kuziuza na kuzisambaza nchi nzima na wanawake hawapewi Bure zinanunuliwa kwa kuwalazimisha.
 
Hata yeye Ashawahi kujidharirisha kwani yeye sio kosa
 
Umoja wa wanawake CCM hawajawa kusikitishwa, na ukosefu wa barabara kati ya chunya kwenda Tabora Wala kwenda singida.

Hawajawahi kusikitishwa na Samia, kubinafsisha bandari, ngorongoro na uwanja wa ndege wa Kilimanjaro.
 

Umoja wa wanawake CCM hawajasikitishwa na kitendo Cha mwanamke kumuua mume wake kwa kutumia kisu huko Kilimanjaro .​

 

Attachments

  • IMG-20240526-WA0039.jpg
    104.7 KB · Views: 3
Akafanya kazi Gani au aliwezaje kuwasaidia wanawake wa Arusha?

Mfano,Kwa Sasa kanga zote zinazovaliwa zenye picha ya Samia,ndiye mwenye kuziuza na kuzisambaza nchi nzima na wanawake hawapewi Bure zinanunuliwa kwa kuwalazimisha.
Nimesema Chatanda alikuwa Katibu wa CCM na siyo mlezi wa wanawake wa Arusha
 
Makonda amesema amegundua kwamba wezi, mafisadi na wanaofanana na hao WANAUMOJA SANA. Ukimgusa mmoja tu wenzake wanainuka...
 
Mafisadi yakiongozwa na Kinana yapo kazini kuhakikisha Makonda anaondolewa U-RC maana keshaanza kugusa maslahi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…