MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Uelewa wako ni mdogoZipo kampuni nyingi za Cargo wala hazijapandisha bei acha kulalamika, nenda Mo Cargo, jengo la Ushirika tower floor ya 12.Waliopandisha wnaenda na upepo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uelewa wako ni mdogoZipo kampuni nyingi za Cargo wala hazijapandisha bei acha kulalamika, nenda Mo Cargo, jengo la Ushirika tower floor ya 12.Waliopandisha wnaenda na upepo.
kati ya mkuu wa mkoa na yule dada nani alikuwa anamdalilisha mwenzake .tuanzie hapo.maana tumezoea kuitwa waheshimiwa.mfano unapoongea na mkuu wako lazima utangulize neno mheshimiwa.......lakini yule dada alikuwa mara nyingin hasemi ..mheshimiwa mkuu wa mkoa.nafikiri ndiyo maana mh Makonda akakasiririka .alikuwa naongea kama kweli anaongea na mchumba wake.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji wanawake kwenye maeneo yao ya kazi.
Chatanda ameyasema hayo leo Jumamosi, Mei 25, 2024 jijini Dodoma wakati wa semina ya wabunge wa viti maalumu, manaibu waziri, mawaziri, makatibu wa jumuiya ya wazazi ngazi ya mkoa na wilaya ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania bara, Abdurahman Kinana
"Kuna 'clip' imezunguka kule Arusha, Longido haikuwa jambo jema wala sio zuri hata kidogo, kama wewe ni kiongozi mkuu wa Serikali na umemuona mtendaji wako amekosea ni vizuri ukakaa na kuzungumza nao, kwa suala la udhalilishaji wa wanawake siwezi kukubaliana nalo, tunaomba tuheshimiwe wanawake, tena sisi wanawake ni watendaji wazuri kuliko wanaume.
Chatanda amesema kuwa clip hiyo tayari ameshamtumia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Abdulrahmani Kinana.
Hatua hii ya UWT inafuatia matamshi ya Makonda katika kipande kifupi cha video kinachosambaa katika mitandao ya kijamii ambapo anasikika akisema, ...usiongee na mimi hivyo nina mke mzuri huongei na mchumba wako hapa.
View attachment 2999802
Ulimi unaongozwa na akili!Merry chatanda amepiga kelele kumhusu makonda ,lakini pia chini chini mahali anakopita huyu kiongozi watu wanapiga kelele ambazo hazisikiki, sauti zinazomsifia ni zile ambazo zimejaa hofu. Kuogopwa! Labda anawaongoza watu kwa kuwatisha!
Moyoni hata waliomteua hawajui chakufanya! Anaweza akafanya vizuri mambo matano akaharibu mambo 20! Akipewa maiki kuhutubia watu wanashika roho mkononi kwa sababu anaweza kuongea lolote wakati wowote!
Huyu mtu ana ulemavu wa ulimi tusimhukumu ,tumuombee mungu amponye ,popote ulipo ndugu Paulo christian makonda pokea uponyaji wa ulimi katika jina la YESU kristo ,Amina
Anapinga udharirishwaji wa wanawake, wakati huo huo yeye pia anadharirisha wanaume. Hiyo ni kauli gani kama siyo dharau na udharirishaji kwa wanaume?tunaomba tuheshimiwe wanawake, tena sisi wanawake ni watendaji wazuri kuliko wanaume.
Arusha imemkubali huyu ndugu wananchi walioonewa wanatoa machozi ya furaha ,wamepata tumaini jipyaMerry chatanda amepiga kelele kumhusu makonda ,lakini pia chini chini mahali anakopita huyu kiongozi watu wanapiga kelele ambazo hazisikiki, sauti zinazomsifia ni zile ambazo zimejaa hofu. Kuogopwa! Labda anawaongoza watu kwa kuwatisha!
Moyoni hata waliomteua hawajui chakufanya! Anaweza akafanya vizuri mambo matano akaharibu mambo 20! Akipewa maiki kuhutubia watu wanashika roho mkononi kwa sababu anaweza kuongea lolote wakati wowote!
Huyu mtu ana ulemavu wa ulimi tusimhukumu ,tumuombee mungu amponye ,popote ulipo ndugu Paulo christian makonda pokea uponyaji wa ulimi katika jina la YESU kristo ,Amina
Kuna chadema wamechapana mikwaju iringa hili nalo liangaliweMwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji wanawake kwenye maeneo yao ya kazi.
Chatanda ameyasema hayo leo Jumamosi, Mei 25, 2024 jijini Dodoma wakati wa semina ya wabunge wa viti maalumu, manaibu waziri, mawaziri, makatibu wa jumuiya ya wazazi ngazi ya mkoa na wilaya ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania bara, Abdurahman Kinana
"Kuna 'clip' imezunguka kule Arusha, Longido haikuwa jambo jema wala sio zuri hata kidogo, kama wewe ni kiongozi mkuu wa Serikali na umemuona mtendaji wako amekosea ni vizuri ukakaa na kuzungumza nao, kwa suala la udhalilishaji wa wanawake siwezi kukubaliana nalo, tunaomba tuheshimiwe wanawake, tena sisi wanawake ni watendaji wazuri kuliko wanaume.
Chatanda amesema kuwa clip hiyo tayari ameshamtumia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Abdulrahmani Kinana.
Hatua hii ya UWT inafuatia matamshi ya Makonda katika kipande kifupi cha video kinachosambaa katika mitandao ya kijamii ambapo anasikika akisema, ...usiongee na mimi hivyo nina mke mzuri huongei na mchumba wako hapa.
View attachment 2999802
Hela aliyonayo makonda analisha ukoo wenu wote kwa miaka mliyobakisha na mwama haogopi kitu chochote ndio maana siku ya kwanza alitamka anaweza kuwa RC Siku moja tu ila mijizi na wavivu watajua mwanaume kapita.Makoda hana njaa yoyoteHafai kuwa kiongozi this time tunampeleka kolomije akalime tu,
Akafanya kazi Gani au aliwezaje kuwasaidia wanawake wa Arusha?Chatanda amewahi kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha
Hata yeye Ashawahi kujidharirisha kwani yeye sio kosaMwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji wanawake kwenye maeneo yao ya kazi.
Chatanda ameyasema hayo leo Jumamosi, Mei 25, 2024 jijini Dodoma wakati wa semina ya wabunge wa viti maalumu, manaibu waziri, mawaziri, makatibu wa jumuiya ya wazazi ngazi ya mkoa na wilaya ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania bara, Abdurahman Kinana
"Kuna 'clip' imezunguka kule Arusha, Longido haikuwa jambo jema wala sio zuri hata kidogo, kama wewe ni kiongozi mkuu wa Serikali na umemuona mtendaji wako amekosea ni vizuri ukakaa na kuzungumza nao, kwa suala la udhalilishaji wa wanawake siwezi kukubaliana nalo, tunaomba tuheshimiwe wanawake, tena sisi wanawake ni watendaji wazuri kuliko wanaume.
Chatanda amesema kuwa clip hiyo tayari ameshamtumia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Abdulrahmani Kinana.
Hatua hii ya UWT inafuatia matamshi ya Makonda katika kipande kifupi cha video kinachosambaa katika mitandao ya kijamii ambapo anasikika akisema, ...usiongee na mimi hivyo nina mke mzuri huongei na mchumba wako hapa.
View attachment 2999802
Nimesema Chatanda alikuwa Katibu wa CCM na siyo mlezi wa wanawake wa ArushaAkafanya kazi Gani au aliwezaje kuwasaidia wanawake wa Arusha?
Mfano,Kwa Sasa kanga zote zinazovaliwa zenye picha ya Samia,ndiye mwenye kuziuza na kuzisambaza nchi nzima na wanawake hawapewi Bure zinanunuliwa kwa kuwalazimisha.
Uko sawa mkuu na nimekusoma, swali langu yeye akiwa mwanamama , na katibu wa ccm mkoa wa Arusha. Aliwezaje kuwasaidia wanawakeNimesema Chatanda alikuwa Katibu wa CCM na siyo mlezi wa wanawake wa Arusha
Makonda amesema amegundua kwamba wezi, mafisadi na wanaofanana na hao WANAUMOJA SANA. Ukimgusa mmoja tu wenzake wanainuka...Merry chatanda amepiga kelele kumhusu makonda ,lakini pia chini chini mahali anakopita huyu kiongozi watu wanapiga kelele ambazo hazisikiki, sauti zinazomsifia ni zile ambazo zimejaa hofu. Kuogopwa! Labda anawaongoza watu kwa kuwatisha!
Moyoni hata waliomteua hawajui chakufanya! Anaweza akafanya vizuri mambo matano akaharibu mambo 20! Akipewa maiki kuhutubia watu wanashika roho mkononi kwa sababu anaweza kuongea lolote wakati wowote!
Huyu mtu ana ulemavu wa ulimi tusimhukumu ,tumuombee mungu amponye ,popote ulipo ndugu Paulo christian makonda pokea uponyaji wa ulimi katika jina la YESU kristo ,Amina
Mafisadi yakiongozwa na Kinana yapo kazini kuhakikisha Makonda anaondolewa U-RC maana keshaanza kugusa maslahi yao.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji wanawake kwenye maeneo yao ya kazi.